MILLEN HAPPINESS MAGESE: ASIMULIA AMBAVYO HAWEZI KUBEBA UJAUZITO, ASEMA YUPO TAYARI KUASILI
![](http://api.ning.com:80/files/JKksqYJJ9Yis6-MiGx1S5PLeTZuR9Yuwc71w2xgWaIyHKX*pljHQKPUIlJupV9Cmd7mHFZ5FhoTcl6aZ4wjZZNiytTl2g1r*/HAPPINESSMAGESE2.jpg?width=720)
Millen Happiness Magese. Na Martha Mboma (ANAJIANDAA, anaonekana kuwa ni mtu mwenye hisia sana kabla ya kuanza kuzungumza, anamuuliza jambo Lucy Ngongoseke maarufu kwa jina la Lucy Kiwele ambaye anamwambia ajikaze azungumze, baada ya sekunde kadhaa anaanza kujielezea…) Naitwa Millen Happiness Magese ni mrembo wa Tanzania na Miss Tanzania wa mwaka 2001, kwa sasa nafanya kazi za mitindo nchini Marekani, kabla sijafika...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi18 Jul
MASIKINI HAPPINESS MILLEN MAGESE!!!
![](https://3.bp.blogspot.com/-tkovKxT_G2U/U8a6OlIxZ1I/AAAAAAAALJ0/eViPVAMjtBk/s1600/10527555_785900104822601_446683285170656669_n.jpg)
![](https://2.bp.blogspot.com/-2QhvdTB3zqE/U8a6OkVbppI/AAAAAAAALJw/fLP9qbkmlj4/s1600/25a05eef7763a2bf_11.preview.jpg)
10 years ago
Bongo Movies21 Jan
Kajala Asema Yupo Tayari Kugharamia Harusi ya Wolper na Manaiki
UBUYU: Mrembo na mwigizaji anayefanya vizuri kunako soko la filamu za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’ ameweka wazi kuwa yuko tayari kugharamia sherehe ya harusi ya Manaiki Sanga na Jacqueline Wolper Massawe kama mambo yataenda sawa.
Akizungumzia swala la mwigizaji na rafiki yake Jackline Wolper kuchumbiwa na msanii Manaiki Sanga,Kajala alisema kutokana na ukaribu alionao kwa watu hao basi mambo yote yanayohusiana na sherehe yatakuwa chini yake kwa maana ya gharama zote na kikubwa ni kuwaombea...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-zNXr_3Q7MCk/VL9XGfZd6WI/AAAAAAAAm4o/_wyVOV8w0gY/s72-c/8.jpg)
Kajala Asema Yupo Tayari Kugharamia Harusi ya Wolper na Manaiki
![](http://4.bp.blogspot.com/-zNXr_3Q7MCk/VL9XGfZd6WI/AAAAAAAAm4o/_wyVOV8w0gY/s640/8.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-fY0YE5sttPI/VL9XcUyHenI/AAAAAAAAm4w/tRsL3Lsjf68/s640/wolper%2Bna%2Bmanaiki%2Bsanga.jpg)
9 years ago
Bongo530 Oct
Z Anto asema yupo tayari kufanya kazi chini ya Tip Top Connection tena
![Z Anto na Babu Tale](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/Z-Anto-na-Babu-Tale-94x94.jpg)
10 years ago
TheCitizen05 Jun
Millen Magese: My voice has been heard
10 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-fIDrl2uXoiI/Ui3yl7f2koI/AAAAAAAAMmw/7Pfwc22x7P8/s640/MAGEZA.png?width=650)
MILLEN MAGESE AMSAPRAIZ JOKATE
11 years ago
Dewji Blog02 Jun
Naiomba Serikali kunipa eneo la Hospitali ya Wanawake — Millen Magese
MWANAMITINDO wa kimataifa wa hapa nchini na Miss Tanzania 2001 anaefanya kazi yake hiyo nchini Marekani Millen Magese ameiomba serikali kumpatia eneo ambalo atalitumia kujenga hospitali maalum ya kushugulikia afya ya wanawake.
Millen alitoa ombi hilo jana wakati akizungumza na watu mbalimbali waliohudhuria semina ya bure kuhusiana na hali ya Endometriosis inayowakabili wanawake wengi hapa nchini na Afrika kwa ujumla.
Millen anakabiliwa na tatizo hilo la Endometriosis ambalo ni hali ya...
11 years ago
MichuziMILLEN MAGESE AOMBA USHIRIKIANO SERIKALINI NA WANANCHI KWA UJUMLA
Millen alitoa ombi hilo jana wakati akizungumza na watu mbalimbali waliohudhuria semina ya bure kuhusiana na hali ya Endometriosis inayowakabili wanawake wengi hapa nchini na Afrika kwa ujumla. Millen anakabiliwa na tatizo hilo la Endometriosis ambalo ni hali ya...