Z Anto asema yupo tayari kufanya kazi chini ya Tip Top Connection tena
Baada ya meneja wa Tip Top Connection, Babu Tale kutangaza kutamani kufanya kazi na Z Anto, msanii huyo naye amesema yupo tayari kurudi kundini. Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio, Z Anto amesema ana uwezo wa kufanya kazi na Tip Top Connection kama wataafikiana. “Mimi sina tatizo na Tale na hatujawahi kukoseana […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo530 Oct
Babu Tale adai anatamani kufanya kazi tena na Z Anto
10 years ago
Mwananchi30 Mar
PIGO:Msiba mzito Tip Top Connection
11 years ago
Tanzania Daima19 Jul
Dogo Janja arejea Tip Top Connection
KINDA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Abdulaziz Abubakari ‘Dogo Janja’ amerejea tena jijini Dar es Salaam katika kundi la Tip Top Connection baada ya kuwa mbali na kundi hilo...
10 years ago
Bongo529 Mar
Muasisi wa Tip Top Connection Abdul Bonge afariki dunia
11 years ago
CloudsFM02 Jul
News:Dogo Janja arudi rasmi Tip Top Connection
Msanii wa Bongo Fleva,Dogo Janja ameAkifunguka kupitia XXL Clouds Fm Radio alisema kuwa ameona muziki wake hauendi sawa baada ya kuondoka kwenye kundi hilo ambapo sasa hivi yupo chini ya Meneja Babu Tale.rudi rasmi kwenye kundi lake la zamani Tip Top Conection baada ya kuzunguuka katika makundi tofauti tofauti.
9 years ago
Bongo502 Nov
Cassim adai Babu Tale hakuwa ‘kiongozi’ wakati yupo Tip Top
![12063201_825333404252455_334874297_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/12063201_825333404252455_334874297_n-94x94.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uw8ZJ9XBTbU9euw*eWS3x23gd40ViLJxB8gYzzXZl29O3HfQTNwiF5o4V8WUEGR7GYlOjG7Dm8Z*zDBSKwrwTj1vcwtI7T6j/TMKWANAUMEFAMILY5.jpg?width=650)
TMK WANAUME, TIP TOP CONNECTION, MASHAUZI CLASSIC NA YAMOTO BAND KUIPAMBA BIRTHDAY PARTY YA MHE. TEMBA LEO
9 years ago
Bongo520 Nov
Z Anto kufanya kazi na management mbili kwa pamoja
![Z Anto](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Z-Anto-300x194.jpg)
Z Anto amesema huenda akafanya kazi na management mbili katika huu ujio wake mpya.
Muimbaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa sasa hivi yupo kwenye mazungumzo na management hizo ambazo zinataka kufanya naye kazi pamoja.
“Mimi kazi zangu zitaanda kutoka December, video na audio,” asema. “Pia nipo kwenye mazungumzo na management mpya sio ya Babu Tale, lakini kwa sababu tupo kwenye mazungumzo na zote zinaonesha nia ya kufanya kazi na mimi, sioni tatizo la kuwa na management mbili kwa wakati mmoja....
10 years ago
Bongo Movies21 Jan
Kajala Asema Yupo Tayari Kugharamia Harusi ya Wolper na Manaiki
UBUYU: Mrembo na mwigizaji anayefanya vizuri kunako soko la filamu za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’ ameweka wazi kuwa yuko tayari kugharamia sherehe ya harusi ya Manaiki Sanga na Jacqueline Wolper Massawe kama mambo yataenda sawa.
Akizungumzia swala la mwigizaji na rafiki yake Jackline Wolper kuchumbiwa na msanii Manaiki Sanga,Kajala alisema kutokana na ukaribu alionao kwa watu hao basi mambo yote yanayohusiana na sherehe yatakuwa chini yake kwa maana ya gharama zote na kikubwa ni kuwaombea...