Cassim adai Babu Tale hakuwa ‘kiongozi’ wakati yupo Tip Top
Cassim Mganga amezungumza kwa kwanza sababu ya kuondoka Tip Top Connection ambapo amemtuhumu Babu Tale kuwa hakuwa kiongozi mzuri kwake. Cassim alikiambia kipindi cha Mkasi kuwa hakufurahishwa na maisha aliyoishi Tip Tip ndio maana aliamua kuondoka. “Toka nimeondoka Tip Top Tale hajawahi kuniletea deal hata moja,” alisema. “Kwenye familia yoyote hakukosi migogoro, mzazi usipokuwa strong […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo530 Oct
Babu Tale adai anatamani kufanya kazi tena na Z Anto
9 years ago
Bongo530 Oct
Z Anto asema yupo tayari kufanya kazi chini ya Tip Top Connection tena
![Z Anto na Babu Tale](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/Z-Anto-na-Babu-Tale-94x94.jpg)
10 years ago
Vijimambo23 May
10 years ago
Mtanzania06 May
Baba wa Babu Tale azikwa Mkuyuni Morogoro
NA THERESIA GASPER
BABA mzazi wa Meneja wa Abdul Nassib ‘Diamond’, Babu Tale, amezikwa jana kijijini kwao Mkuyuni, mjini Morogoro.
Baada ya mazishi hayo, baadhi ya wasindikizaji walirejea jijini Dar es Salaam kuendelea na shughuli zao na mipango mingine ya kumaliza msiba.
Msanii wa kundi hilo, Madee, alisema baada ya mazishi wote watarejea jijini Dar es Salaam, ambapo itasomwa dua ya kuhitimisha msiba huo nyumbani kwa Babu Tale, Magomeni Kagera.
“Tupo njiani kuelekea Morogoro kwa ajili ya...
9 years ago
Bongo514 Dec
Utamaduni wa nyimbo za kundi umepungua – Babu Tale
![Babu Tale](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2012/06/DSC_8752-146x200.jpg)
Ni muda mrefu sana hatujasikia nyimbo za makundi kama Tip Top au TMK Wanaume Family ambayo kipindi cha nyuma yalikuwa yakitoa nyimbo za kundi huku wasanii wake wakiendelea kutoa kazi za mmoja mmoja.
Meneja wa Tip Top Connection, Babu Tale amezungumzia swala la makundi na kutoa sababu kwanini Tip Top hawajatoa nyimbo za kundi kwa kipindi kirefu.
“Utamaduni wa nyimbo za kundi umepungua, sio tu Tip Top, hakuna nyimbo ya kundi ya East Coast, hakuna nyimbo ya Kundi ya TMK wala ya Tip Top,...
10 years ago
Mtanzania06 Feb
Babu Tale: Diamond hajapokea fedha za Lowassa
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
MENEJA wa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nasib Abdul ‘Diamond’, Babu Tale, amesema hawajawahi kupewa kiasi cha fedha Sh mil 500 na Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, ili wampigie kampeni za urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza na MTANZANIA hivi karibuni, Babu Tale alisema watakuwa wehu kukataa fedha nyingi kiasi hicho wakati wenyewe wanafanya muziki ili kupata fedha, lakini ukweli ni kwamba hawajapewa kitu chochote.
Alisema hata hivyo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zXzp3DhECP7B74WnTcIb6OLywuW-hNxNNBZjl8x9690qyACtGEA5Xq6dLeEbIwSqf5UwAN79vZeaa0xO5gmhY6*oG2KFMdSP/Diamond.jpg)
DIAMOND ASAKWA MAZISHI YA BABA WA BABU TALE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/po*b5pjX*ek-K37XIOx4u5GmUvTeyjN6ddBXBes2T0GAfrn9eBf3eNgW-Zn3z98rzIEWoz69laXQ1pVhbhiUjVKn-WCvISiR/MAMAWEMA.jpg?width=650)
BABU TALE, KWA HILI LA DIAMOND UMEBUGI!
10 years ago
Mtanzania05 May
Babu Tale afiwa na baba yake mzazi
BABA mzazi wa Babu Tale ambaye ni meneja wa Abdul Nassib ‘Diamond’, amefariki dunia mchana wa jana Manzese jijini Dar es Salaam.
Kifo hicho kimetokea ikiwa ni miezi kadhaa tu tangu kaka wa Babu Tale, Abdu Bonge kufariki dunia.
Msanii wa kundi hilo, Madee alithibitisha kutokea kwa kifo hicho huku akieleza kwamba msiba utakuwa nyumbani kwao Manzese ambako palifanyika msiba wa Abdu Bonge.
“Ni kweli baba wa Abdu Bonge amefariki leo (jana) na msiba upo Manzese jijini Dar es Salaam ila chanzo cha...