Babu Tale adai anatamani kufanya kazi tena na Z Anto
Meneja wa Tip Top Connection, Babu Tale amesema miongoni mwa wasanii wake wa zamani anaotamani kufanya nao kazi tena, ni Z Anto. Tale amesema Z Anto ni msanii mwenye heshima na kipaji. “Natamani nifanye naye tena kazi Z Anto,” Tale alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio. “Z Anto ana heshima, anaweza kazi. […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo530 Oct
Z Anto asema yupo tayari kufanya kazi chini ya Tip Top Connection tena

10 years ago
Bongo502 Nov
Cassim adai Babu Tale hakuwa ‘kiongozi’ wakati yupo Tip Top

9 years ago
Bongo523 Nov
Diamond hana mpango wa kufanya nyimbo za Kiingereza – Asema meneja wake Babu Tale

Muziki ni lugha ya dunia, ndio sababu kuna wanamuziki wengi wanaimba lugha za kwao lakini bado wanafanya vizuri katika nchi nyingine zisizoongea lugha hizo.
Diamond Platnumz ametokea kuwa balozi mzuri wa lugha ya Kiswahili, kwasababu mafanikio aliyonayo sasa ya kufanya vizuri ndani na nje ya Afrika yametokana na nyimbo za Kiswahili alizotoa hadi sasa.
Baada ya kugundua kuwa kinachoweza kusababisha wimbo upendwe kimataifa sio lugha, hit maker huyo wa ‘Nana’ hana mpango kabisa wa kurekodi...
10 years ago
Vijimambo05 May
BREAKING NEWS:BABU TALE APATA PIGO ZITO TENA HII LEO!!,SOMA HAPA

Hamisi Shaban ‘Bab Tale’.MENEJA wa Kundi la Tip Top Connection na Diamond Platnumz, Hamisi Shaban ‘Bab Tale’, amefiwa na baba yake mzazi leo.Msiba huo umetokea ikiwa ni mwezi mmoja umepita tangu Bab Tale afiwe na kaka yake ambaye alikuwa mwanzilishi na meneja wa Kundi la Tip Top Connection, Abdul Shaban Taletale.
9 years ago
Bongo520 Nov
Z Anto kufanya kazi na management mbili kwa pamoja

Z Anto amesema huenda akafanya kazi na management mbili katika huu ujio wake mpya.
Muimbaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa sasa hivi yupo kwenye mazungumzo na management hizo ambazo zinataka kufanya naye kazi pamoja.
“Mimi kazi zangu zitaanda kutoka December, video na audio,” asema. “Pia nipo kwenye mazungumzo na management mpya sio ya Babu Tale, lakini kwa sababu tupo kwenye mazungumzo na zote zinaonesha nia ya kufanya kazi na mimi, sioni tatizo la kuwa na management mbili kwa wakati mmoja....
11 years ago
Vijimambo24 Sep
Babu Tale azungumzia ujio mpya wa Diamond, kazi zote zimetayarishwa nje

10 years ago
Bongo Movies26 Jan
JB:Baada kufanya kazi na Thea, Wastara na Wellu, pendekeza nani tufanyenae kazi tena?..soma vigezo
Muigizaji na muongozaji wa filamu, Jacob Stephen “JB”aliweka bandiko hili mtandaoni, tumeona sio mbaya kulukuletea hapa na wewe uchangie. Nakuu;
“Wakati naanda mzee wa swaga niliomba mapendekezo mkachagua wengi hatimaye tukawapata Thea,Wastara na Wellu nakubali mapendekezo yenu sana.
Lakini sera ya kampuni ni kujaribu kuwapa nafasi wasanii ambao wana majina lakini sio makubwa ila wana vipaji ili tutengeneze mastaa wengi.
Swali safari hii tumpe nani nafasi ambae unaona anakipaji lakini...
10 years ago
Vijimambo23 May
11 years ago
GPL
BABU TALE, KWA HILI LA DIAMOND UMEBUGI!