BREAKING NEWS:BABU TALE APATA PIGO ZITO TENA HII LEO!!,SOMA HAPA
Hamisi Shaban ‘Bab Tale’.MENEJA wa Kundi la Tip Top Connection na Diamond Platnumz, Hamisi Shaban ‘Bab Tale’, amefiwa na baba yake mzazi leo.Msiba huo umetokea ikiwa ni mwezi mmoja umepita tangu Bab Tale afiwe na kaka yake ambaye alikuwa mwanzilishi na meneja wa Kundi la Tip Top Connection, Abdul Shaban Taletale.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo530 Oct
Babu Tale adai anatamani kufanya kazi tena na Z Anto
10 years ago
Bongo Movies26 Jan
Nini tena kimemsibu Jacqueline Wolper? Hebu soma alivyofunguka hapa
Kupitia kwenye page yake moja ya mtandao maarufu wa kijamii nchini, mwanadada wolper amefunguka haya yafuatayo…
"Maandishi ya uwongoo yananiharibia sana huusianao wangu plz stok na msani yoyote Tanzania wala nyege zangu azimalizwi na msani yoyote Tanzania ninamwanaume wangu namuheshm ananiheshim nasipo kuweka mahusiano yangu adharanii wala mitandaoni Maana nimtu na heshima zake.. nimeumwa na nyoka mara ya kwAnza so ata jani likinigusa ninashtuka kikubwa sina mapenz ya matangazo wala...
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-wSbg2UO_RxI/Ve_t1Q5pk3I/AAAAAAAAIjs/iLsi4o3hATM/s72-c/mrema%252Bleo.jpg)
UMESIKIA HII KAULI YA MREMA BAADA YA KUKOSA WATU KWENYE KAMPENI ZAKE? SOMA HAPA
![](http://3.bp.blogspot.com/-wSbg2UO_RxI/Ve_t1Q5pk3I/AAAAAAAAIjs/iLsi4o3hATM/s1600/mrema%252Bleo.jpg)
Mwenyekiti Taifa wa chama cha Tanzania Labour Party TLP, na mgombea Ubunge jimbo la Vunjo Augustino Mrema, amelalamikia kuwa anafanyiwa siasa chafu na wapinzani wake.Akizungumza na waandishi wa habari jimboni Vunjo, Mrema amepeleka lawama moja kwa moja kwa viongozi wa chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA, kwa kumchafua kwa matusi kwenye kampeni pamoja na kufanyiwa ubaguzi.“Siwalaumu wanachama wa CHADEMA, viongozi wao ndio wenye fujo na mimi, sasa najiuliza tatizo ni nini uzee wangu?...
11 years ago
VijimamboVULUGU KALI ZATOKEA LEO BUNGENI SOMA HAPA
10 years ago
Vijimambo23 May
9 years ago
Bongo514 Dec
Utamaduni wa nyimbo za kundi umepungua – Babu Tale
![Babu Tale](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2012/06/DSC_8752-146x200.jpg)
Ni muda mrefu sana hatujasikia nyimbo za makundi kama Tip Top au TMK Wanaume Family ambayo kipindi cha nyuma yalikuwa yakitoa nyimbo za kundi huku wasanii wake wakiendelea kutoa kazi za mmoja mmoja.
Meneja wa Tip Top Connection, Babu Tale amezungumzia swala la makundi na kutoa sababu kwanini Tip Top hawajatoa nyimbo za kundi kwa kipindi kirefu.
“Utamaduni wa nyimbo za kundi umepungua, sio tu Tip Top, hakuna nyimbo ya kundi ya East Coast, hakuna nyimbo ya Kundi ya TMK wala ya Tip Top,...
10 years ago
Mtanzania06 Feb
Babu Tale: Diamond hajapokea fedha za Lowassa
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
MENEJA wa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nasib Abdul ‘Diamond’, Babu Tale, amesema hawajawahi kupewa kiasi cha fedha Sh mil 500 na Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, ili wampigie kampeni za urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza na MTANZANIA hivi karibuni, Babu Tale alisema watakuwa wehu kukataa fedha nyingi kiasi hicho wakati wenyewe wanafanya muziki ili kupata fedha, lakini ukweli ni kwamba hawajapewa kitu chochote.
Alisema hata hivyo...