VULUGU KALI ZATOKEA LEO BUNGENI SOMA HAPA
Wabunge wa Chadema wakiwa wamesimama kukaidi amri ya Naibu spika, Job Ndugai ya kuwataka wakae chini
Wabunge wa CHADEMA wakipambana na Polisi, Bungeni Mjini Dodoma leo
Mbunge wa Kuteuliwa na Mwenyekiti wa NCCR_MAGEUZI, James Mbatia akisahangaa kuona mapambano kati ya wabunge wa CHADEMA na Polisi Bungeni Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi aakiwa ameng'ang'ania Migrophone ya sehemu ya Kuzungumzia wapinzani Bungeni wakati polisi walipokuwa wakimtoa Bungeni...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/gikBPgJguSWCrCq-bZfb0JiY3MYiwI1Vm6aRCwYo99kF5TJAVc0QjLPVvlc-N*M34VYpZP4VBlqxzA4NFWirv42NzsNbY2Ls/MKUYA.jpg?width=650)
SOMA BAJETI YA MWAKA 2015/16 ILIYOWASILISHWA NA WAZIRI WA FEDHA BUNGENI LEO
10 years ago
GPLSOMA TAARIFA YA PROF.MUHONGO KUHUSIANA NA SAKATA LA IPTL NA TEGETA ESCROW ALIYOIWASILISHA BUNGENI LEO
10 years ago
Vijimambo05 May
BREAKING NEWS:BABU TALE APATA PIGO ZITO TENA HII LEO!!,SOMA HAPA
![](http://api.ning.com/files/Ytz*1w0-YzA0axHNXa1QL0MxF0lKc0r3*4UZ*aFlO30mzKI0cOd5544TiZf2wd5FdRTxeYlPy7llI4qfKI2loEFBPKHDU9wS/babtale.png)
Hamisi Shaban ‘Bab Tale’.MENEJA wa Kundi la Tip Top Connection na Diamond Platnumz, Hamisi Shaban ‘Bab Tale’, amefiwa na baba yake mzazi leo.Msiba huo umetokea ikiwa ni mwezi mmoja umepita tangu Bab Tale afiwe na kaka yake ambaye alikuwa mwanzilishi na meneja wa Kundi la Tip Top Connection, Abdul Shaban Taletale.
10 years ago
Dewji Blog12 Apr
Ajali 3 zatokea leo Nchini: Ya Ruaha Mbuyuni 18 wadaiwa kupoteza maisha
Mabaki ya ajali iliyotokea maapema asubuhi ya leo inayoelezwa kuuwa watu 18 na kujeruhi 10 huko Ruaha Mbuyuni.
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Hadi tunaendelea kuwapatia taarifa hizi usiku huu, tayari imeelezwa kuwa zaidi ya abiria 18, wameripotiwa kupoteza maisha huku 10 wakijeruhiwa vibaya katika ajali ya gari iliyotokea mapema leo majira ya asubuhi iliyohusisha basi la Abiria la Nganga lililogongana na lori aina ya Fuso uso kwa uso, hali iliyopelekea kuungua kwa magari hayo.
Awali...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-TLmRyEsKEBh1SNpe5wV-BFdGEdgKPJ7-S09RSUqWyMMmwfqcBnegZ8dJesU-WFPM1Bqy-dwWOWWCNIPfVP6aU3CoMU0ufja/3.jpg?width=650)
MMESHINDWA KUPATA WATOTO? SOMA HAPA
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y8Xf2kBXWFlc70Dvmq5zbchDUzR0bJj2RLFE4pyNVUoQDSRRlrM-BPd395lAPz-F8rAJykwxHZQYs3jl7aEits5bG6nXsJqr/ObimcjX.jpg?width=650)
UNATAKA KUZAA MAPACHA? SOMA HAPA
10 years ago
BBCSwahili19 Mar
Je umetoboa sehemu za siri?soma hapa.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/K6CBBOJeKwECIeVdVSdy73p7ETehUggkLo72LyDIFQSNOfu9qiyLyypUClUHKL2EHZkIy9lxyymtt*8R6ajCazDKj2srjMay/blgal1134.jpg?width=650)
UNATAKA KUZAA MAPACHA? SOMA HAPA-2