Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UNATAKA KUZAA MAPACHA? SOMA HAPA

Leo nimeonelea kuwaletea elimu mpya kabisa ya uzazi ambapo mwanamke yeyote anaweza kupata ujauzito wenye watoto mapacha hata kama si asili ya ukoo wake. Nimetumia neno ‘mwanamke yeyote’ kwa sababu kuna imani ya miaka na miaka kwamba, si kila mwanamke anaweza kupata ujauzito bali itategemea na asili yake. IMANI ZA KALE KUHUSU UJAUZITO
Baadhi ya mila na desturi, hasa katika nchi za Kiafrika zinaamini kwamba, mwanamke kupata...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

UNATAKA KUZAA MAPACHA? SOMA HAPA-2

Leo namalizia kuwaletea makala haya yanayohusu elimu mpya ya uzazi, mwanamke yeyote anaweza kupata ujauzito wenye watoto mapacha hata kama si asili ya ukoo wake, ungana nami sehemu ya mwisho. WENYE TABIA HII NDIYO WANAONGOZA Wanawake wengi wanaoongoza kwa kushika mimba za mapacha ni wale ambao wakati wa kulala wanabadili staili mara kwa mara.Mara nyingi inashauriwa kuwa, mwanamke akishaingia kwenye siku zake za hatari kulingana...

 

10 years ago

GPL

UMETENDWA, UNATAKA KUANZISHA UHUSIANO MPYA? SOMA HAPA!

UHALI gani mpenzi msomaji wa safu hii. Ni Jumamosi nyingine tunakutana tena katika uwanja wetu wa kujidai na kuweza kupeana darasa la uhusiano.Ni dhahiri kwamba asilimia kubwa ya watu kabla ya kufikia kwenye hatua ya kufunga ndoa, wanakuwa wamepitia maumivu mengi. Wanatendwa vya kutosha. Wanakuwa na ‘majeraha’ ya kutosha. Kuna ambao huenda mbali zaidi kimawazo hadi kufikia hatua ya kusema ‘sitapenda...

 

10 years ago

Bongo5

Unataka kula bata na Akon jijini New York? Soma hapa

Ni kama zali vile.. Piga 0901002233 na unaweza kwenda majuu na kula bata na Akon jijini New York! #AirtelTraceStar

 

9 years ago

Dewji Blog

Je! Unataka kushinda safari ya Paris, kushuhudia michuano ya Eufa Euro 2016? soma hapa!

1966143_w2

Michuano mikubwa kabisa ya soka itakayoikutanisha miamba ya timu za Taifa za Bara la Ulaya itakayomenyana kuwania kombe la Uefa Euro2016, michezo itakayopigwa nchini Ufaransa katika majiji kadhaa ya nchi hiyo  kwa muda wa mwezi mmoja.

Katika hatua hiyo, wewe  na yule unayo nafasi ya kushinda safari ya kwenda katika jiji la Paris kushuhudia ufunguzi wa michuano hiyo ya Uefa Euro 2016, ambapo utapata nafasi ya kulipiwa kila kitu pamoja na kushuhudia shoo kali ya mwanamuziki nguli ambaye...

 

10 years ago

Vijimambo

JE UNATAKA KUJUA WEMA SEPETU KAZALIWA MWAKA GANI, WAPI NA KASOMA WAPI! SOMA HAPA

wema sepetu bongoclan.co.tzAkiwa mmoja kati ya wanadada wanofanya vizuri sana kwenye Tasnia hii ya Bongo Movies ,Wema Sepetu ni msichana  anayetoka kwenye Familia ya kibalozi ni mtoto wa mwisho katika familia ya wasichana wanne wa Balozi Isaack Sepetu Ibrahimu.Ana sura na umbo zuri sana, na mvuto mkubwa sana kutokana na rangi yake nzuri ya ngozi. Wema sepetu alizaliwa mnamo mwaka 1988 katika hospitali ya ST. Andrew’s jijini Dar es Salaam na ni mtoto wa mwisho kuzaliwa katika familia yao yenye watoto wanne wa kike.wema sepetu bongoclan.co.tz..

 

11 years ago

GPL

UNATAKA KUMUOA JOHARI? BOFYA HAPA!

Staa mkubwa wa filamu za Kibongo Blandina Changula "Johari" Makala: Sifael Paul
Julai 28, 1983 mkoani Shinyanga, alizaliwa mtoto wa kike ambaye sasa ni staa mkubwa wa filamu za Kibongo. Ni maarufu kwa jina

la kistaa la Johari lakini majina yake kamili ni Blandina Changula.
Kama kawaida yetu huwa tunatoa nafasi kwa staa kusimulia alikopitia hadi akafikia mafanikio aliyonayo ili kutoa chansi kwa …
...

 

11 years ago

Mwananchi

Siri ya mapacha wa Snura hii hapa

Kila anapopanda jukwaani huambatana na ‘pacha’ wake wanaopamba maonyesho yako, kuongeza ladha ya muzikin wake

 

10 years ago

GPL

MMESHINDWA KUPATA WATOTO? SOMA HAPA

Hashim Aziz Ni matumaini yangu kwamba mpenzi msomaji wa safu hii uko poa na unaendelea na majukumu yako ya kila siku. Wiki iliyopita tulihitimisha mada ya namna ya kuishi na mwenzi wako akiwa mjamzito. Hata hivyo, baadhi ya wasomaji wangu waliniomba pia tujadiliane kuhusu namna ya kuishi katika uhusiano wa kimapenzi ambao umeshindwa kuleta watoto. Kwa kuwa nakujali msomaji wangu, leo nimeamua kuiweka mezani mada hii. ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani