Je! Unataka kushinda safari ya Paris, kushuhudia michuano ya Eufa Euro 2016? soma hapa!
Michuano mikubwa kabisa ya soka itakayoikutanisha miamba ya timu za Taifa za Bara la Ulaya itakayomenyana kuwania kombe la Uefa Euro2016, michezo itakayopigwa nchini Ufaransa katika majiji kadhaa ya nchi hiyo kwa muda wa mwezi mmoja.
Katika hatua hiyo, wewe na yule unayo nafasi ya kushinda safari ya kwenda katika jiji la Paris kushuhudia ufunguzi wa michuano hiyo ya Uefa Euro 2016, ambapo utapata nafasi ya kulipiwa kila kitu pamoja na kushuhudia shoo kali ya mwanamuziki nguli ambaye...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y8Xf2kBXWFlc70Dvmq5zbchDUzR0bJj2RLFE4pyNVUoQDSRRlrM-BPd395lAPz-F8rAJykwxHZQYs3jl7aEits5bG6nXsJqr/ObimcjX.jpg?width=650)
UNATAKA KUZAA MAPACHA? SOMA HAPA
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/K6CBBOJeKwECIeVdVSdy73p7ETehUggkLo72LyDIFQSNOfu9qiyLyypUClUHKL2EHZkIy9lxyymtt*8R6ajCazDKj2srjMay/blgal1134.jpg?width=650)
UNATAKA KUZAA MAPACHA? SOMA HAPA-2
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mJm3snXM0mwUlDpOqjgUPIHRiQqzD-OhlAL-KnDDk8w0qGxGgA*Gao5GgdZIZbgZ3HbZCJzr6ZvhBRo0GGHNtdnpf*W4*gXH/MaishanaMahusiano.jpg?width=650)
UMETENDWA, UNATAKA KUANZISHA UHUSIANO MPYA? SOMA HAPA!
10 years ago
Bongo521 Oct
Unataka kula bata na Akon jijini New York? Soma hapa
9 years ago
Bongo510 Oct
England wafuzu michuano ya Euro 2016 baada ya kuifunga timu ya taifa ya Estonia
9 years ago
Bongo514 Dec
Droo ya makundi Euro 2016 hii hapa
![euro20161](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/euro20161-300x194.png)
Droo ya makundi ya mashindano ya kombe la Ulaya 2016 yatakayofanyika nchini Ufaransa imetoka ambapo wenyeji wako Kundi A pamoja na Uswisi, Albania na Romania.
Uingereza iko Kundi B na ndugu zake Wales, pamoja na Urusi na Slovakia.
Mashindano ya Kombe la Ulaya yanatarajiwa kufanyika kuanzia Juni 10, 2016 hadi Julai 10, 2016.
MAKUNDI YA EURO 2016 UFARANSA
KUNDI A
1 France
2 Romania
3 Albania
4 Switzerland
KUNDI B
1 England
2 Russia
3 Wales
4 Slovakia
KUNDI C
1 Germany
2 Ukraine
3 Poland
4...
9 years ago
Dewji Blog16 Nov
SHAMBULIZI LA PARIS: Mashindano ya EURO 2016 pale pale! -Waratibu
Jiji la Paris nchini Ufaransa linavyoonekana ambapo baadhi ya vwanja vyake kadhaa vinatarajiwa kutimua vumbi hapo baadae katika michuano ya soka ya Ulaya maarufu kama EURO 2016.
Na Rabi Hume, Modewjiblog na Mashirika ya Habari.
Mratibu wa Mashindano ya Euro kwa mwaka 2016, Jacques Lambert yanayotarajiwa kufanyika Ufaransa amesema kutokea kwa shambulio la Paris hakuwezi kuwa sababu ya kusimamisha mashindano ya Euro 2016.
Akizungumza na kituo cha redio cha Ufaransa cha RTL, Lambert...
10 years ago
Vijimambo07 Oct
JE UNATAKA KUJUA WEMA SEPETU KAZALIWA MWAKA GANI, WAPI NA KASOMA WAPI! SOMA HAPA
![wema sepetu bongoclan.co.tz](http://www.bongoclan.co.tz/wp-content/uploads/2014/10/wema-sepetu-bongoclan.co_.tz_.jpg)
![wema sepetu bongoclan.co.tz..](http://www.bongoclan.co.tz/wp-content/uploads/2014/10/wema-sepetu-bongoclan.co_.tz_..-300x201.jpg)
9 years ago
Bongo526 Oct
Swizz Beatz ampongeza Diamond kwa kumuita ‘King’ baada ya kushinda tuzo za MTV EMA, soma pongezi za mastaa wengine hapa
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10