JE UNATAKA KUJUA WEMA SEPETU KAZALIWA MWAKA GANI, WAPI NA KASOMA WAPI! SOMA HAPA
Akiwa mmoja kati ya wanadada wanofanya vizuri sana kwenye Tasnia hii ya Bongo Movies ,Wema Sepetu ni msichana anayetoka kwenye Familia ya kibalozi ni mtoto wa mwisho katika familia ya wasichana wanne wa Balozi Isaack Sepetu Ibrahimu.Ana sura na umbo zuri sana, na mvuto mkubwa sana kutokana na rangi yake nzuri ya ngozi. Wema sepetu alizaliwa mnamo mwaka 1988 katika hospitali ya ST. Andrew’s jijini Dar es Salaam na ni mtoto wa mwisho kuzaliwa katika familia yao yenye watoto wanne wa kike.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo27 Feb
Sikiliza hapa remix ya Nitampata Wapi inayomsifia Wema Sepetu
![](http://i2.wp.com/sammisago.com/wp-content/uploads/2015/02/wema-45.jpg?resize=442%2C436)
10 years ago
Bongo Movies09 Mar
Wimbo wa “Ntampata Wapi”, Diamond Hakuniimbia Mimi- Wema Sepetu
Mrembo na staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu ametoboa kuwa wimbo wa “Ntampata Wapi” ulioimbwa na aliekuwa mpezi wake, Diamond Platnumz hakuimbiwa yeye, hii ni kutokana na watu wengi kudhani kuwa wimbo huu alitungiwa yeye ukizingatia kuwa wakati wimbo huo unatoka ndio kilikuwa kipindi wametoka kuachana.
“Leo nasema rasmi kuwa hii nyimbo hakuniandikia mimi….because nilikuwa naisikia hii nyimbo hata wakati tulipokuwa kwenye uhusiano amekuwa akiimba, akiindika kwahiyo ilikuwa tu ni moja ya...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/K6CBBOJeKwECIeVdVSdy73p7ETehUggkLo72LyDIFQSNOfu9qiyLyypUClUHKL2EHZkIy9lxyymtt*8R6ajCazDKj2srjMay/blgal1134.jpg?width=650)
UNATAKA KUZAA MAPACHA? SOMA HAPA-2
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y8Xf2kBXWFlc70Dvmq5zbchDUzR0bJj2RLFE4pyNVUoQDSRRlrM-BPd395lAPz-F8rAJykwxHZQYs3jl7aEits5bG6nXsJqr/ObimcjX.jpg?width=650)
UNATAKA KUZAA MAPACHA? SOMA HAPA
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/Sajent-1.jpg?width=650)
SAJENTI, SIASA NA MALEZI YA MTOTO WAPI NA WAPI?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mJm3snXM0mwUlDpOqjgUPIHRiQqzD-OhlAL-KnDDk8w0qGxGgA*Gao5GgdZIZbgZ3HbZCJzr6ZvhBRo0GGHNtdnpf*W4*gXH/MaishanaMahusiano.jpg?width=650)
UMETENDWA, UNATAKA KUANZISHA UHUSIANO MPYA? SOMA HAPA!
10 years ago
Bongo521 Oct
Unataka kula bata na Akon jijini New York? Soma hapa
9 years ago
Mwananchi30 Oct
DNA inapatikana wapi na ni kwa ajili ya kazi gani?
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-GEwZipmkdbg/VCYik6mLifI/AAAAAAAGmEU/O0dQQ5TyO7w/s72-c/0L7C1232.jpg)