Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SAJENTI, SIASA NA MALEZI YA MTOTO WAPI NA WAPI?

MAISHA ya Kibongo kwa kweli ni magumu sana. Kuna msemo mmoja maarufu sana mtaani unaosema kuwa bora jana kuliko leo, wakimaanisha angalau jana walikuwa na uhakika, hawajui leo itakuwaje. Vijana wako bize kutafuta hela kwa kila mbinu, wenye haraka wakitumia silaha, ushirikina na hata utapeli, ili mradi kila mmoja anajitahidi kuhakikisha maisha yake ya leo yanakwenda sawa, huku akijiweka vizuri kuishika kesho yake isiingie...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

JE UNATAKA KUJUA WEMA SEPETU KAZALIWA MWAKA GANI, WAPI NA KASOMA WAPI! SOMA HAPA

wema sepetu bongoclan.co.tzAkiwa mmoja kati ya wanadada wanofanya vizuri sana kwenye Tasnia hii ya Bongo Movies ,Wema Sepetu ni msichana  anayetoka kwenye Familia ya kibalozi ni mtoto wa mwisho katika familia ya wasichana wanne wa Balozi Isaack Sepetu Ibrahimu.Ana sura na umbo zuri sana, na mvuto mkubwa sana kutokana na rangi yake nzuri ya ngozi. Wema sepetu alizaliwa mnamo mwaka 1988 katika hospitali ya ST. Andrew’s jijini Dar es Salaam na ni mtoto wa mwisho kuzaliwa katika familia yao yenye watoto wanne wa kike.wema sepetu bongoclan.co.tz..

 

10 years ago

Michuzi

9 years ago

Mwananchi

Wapi Tutakimbilia

Wapi Tutakimbilia Wapi tutakimbilia, wanyonge wa udhalili Kusudi kujiokoa dhidi ya hili afali, Ajali ya kuchujua, mahuruki kutudhili Vita visivyoamulika?

 

9 years ago

BBCSwahili

Je,kompyuta zinatuelekeza wapi?

Akili ya kompyuta ni mojawapo ya maswala yanayowakuna vichwa watu duniani kote hivi sasa.Baadhi ya watu wanasema itawaokoa binaadamu hata kufanya tuishi milele.Wengine wanasema inaweza kutuangamiza sote.

 

9 years ago

Mwananchi

Ajira ziko wapi?

Kijana Mtanzania, jaribu kuthubutu, Jitume onyesha nia, mbele utapata jibu, Usiwaone wanalia, mengi yamewasibu, Usiongoje kuletewa,  jitume utatoboa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Ndumbaro unaturejesha wapi?

NI Jumatatu nyingine tena, tunakutana wadau wa Uwanja wa Kuchonga, kama ada kupeana changamoto za kispoti, kiroho safi, ili kuchochea ufanisi katika sekta hii muhimu katika jamii. Bila shaka mu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Je Nguo kuukuu zinatoka wapi ?

Je unafahamu nguo kuu kuu zinatoka wapi ?

 

10 years ago

GPL

WATANZANIA TEKNOLOJIA INATUPELEKA WAPI?

KWENU Watanzania wenzangu popote pale  mlipo. Bila shaka kila mmoja wetu anaendelea na majukumu yake ya kila siku kuhakikisha mkono unaenda kinywani. Binafsi mimi ni mzima wa afya. Naendelea na majukumu ya kila siku likiwemo hili la kuwaandikia barua.
Madhumuni ya kuwakumbuka Watanzania wenzangu leo ni kuhusu maendeleo ya teknolojia hususan suala zima la mitandao ya kijamii na simu hizi za kisasa. Ndugu zangu, nimelazimika...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tiba ya Ebola-imefikia wapi?

Kwa kuongezeka kwa idadi ya vifo na ugonjwa kuendelea kusambaa, harakati za kutafuta tiba ya Ebola zinaendelea.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani