Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Je,kompyuta zinatuelekeza wapi?

Akili ya kompyuta ni mojawapo ya maswala yanayowakuna vichwa watu duniani kote hivi sasa.Baadhi ya watu wanasema itawaokoa binaadamu hata kufanya tuishi milele.Wengine wanasema inaweza kutuangamiza sote.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

JE UNATAKA KUJUA WEMA SEPETU KAZALIWA MWAKA GANI, WAPI NA KASOMA WAPI! SOMA HAPA

wema sepetu bongoclan.co.tzAkiwa mmoja kati ya wanadada wanofanya vizuri sana kwenye Tasnia hii ya Bongo Movies ,Wema Sepetu ni msichana  anayetoka kwenye Familia ya kibalozi ni mtoto wa mwisho katika familia ya wasichana wanne wa Balozi Isaack Sepetu Ibrahimu.Ana sura na umbo zuri sana, na mvuto mkubwa sana kutokana na rangi yake nzuri ya ngozi. Wema sepetu alizaliwa mnamo mwaka 1988 katika hospitali ya ST. Andrew’s jijini Dar es Salaam na ni mtoto wa mwisho kuzaliwa katika familia yao yenye watoto wanne wa kike.wema sepetu bongoclan.co.tz..

 

9 years ago

GPL

SAJENTI, SIASA NA MALEZI YA MTOTO WAPI NA WAPI?

MAISHA ya Kibongo kwa kweli ni magumu sana. Kuna msemo mmoja maarufu sana mtaani unaosema kuwa bora jana kuliko leo, wakimaanisha angalau jana walikuwa na uhakika, hawajui leo itakuwaje. Vijana wako bize kutafuta hela kwa kila mbinu, wenye haraka wakitumia silaha, ushirikina na hata utapeli, ili mradi kila mmoja anajitahidi kuhakikisha maisha yake ya leo yanakwenda sawa, huku akijiweka vizuri kuishika kesho yake isiingie...

 

10 years ago

Mwananchi

Uchunguzi wa kompyuta wakamilika

Jeshi la Polisi Zanzibar, limesema kazi ya kuchunguza kompyuta mpakato ya waziri wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, (SMZ), Mansoor Yussuf Himid, aliyefunguliwa mashtaka matatu yakiwamo ya kukamatwa na silaha ya moto na risasi 407, imekamilika.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ijue kompyuta na kazi zake

KOMPYUTA ama Takirishi kwa kiswahili fasaha ni mashine au chombo cha kielektroniki chenye uwezo wa kupokea taarifa, kufanya hesabu, kushughulikia au kufanyia kazi na kutoa matokeo ya kazi hiyo na...

 

11 years ago

Habarileo

Tusiime kufundisha kwa kompyuta

SHIRIKA la Opportunity Education Foundation (OEF) la nchini Marekani, limeichagua Shule ya Sekondari Tusiime ya Tabata kuwa ya majaribio katika ufundishaji kwa njia ya kielektroniki mkoani Dar es Salaam na kuipatia kompyuta ndogo 100.

 

10 years ago

Mwananchi

Njia za kuongeza kasi ya kompyuta- 1

Kompyuta nyingi zinaponunuliwa huwa na kasi kubwa, lakini baada ya muda kasi hiyo huanza kupungua.Kuna njia mbalimbali za kuongeza kasi ya kompyuta yako na vifaa vingine kama simu za mikono na Ipad .

 

11 years ago

Mwananchi

Mitandao ya kompyuta inavyoharibu uwezo wa kumbukumbu

Watafiti, walimu na wanasaikolojia wanakiri kuwa utegemezi wa mitandao ya kijamii kama vile ‘Google’ hasa katika nyanja ya taaluma unasababisha udumavu wa kumbukumbu.

 

11 years ago

Habarileo

‘Simu, kompyuta hupunguza nguvu za kiume’

WATANZANIA wametakiwa kuwa makini wanapotumia simu na kompyuta, kwani ndio chanzo cha matatizo mbalimbali yakiwemo ya kutoona, kutosikia, upungufu wa nguvu za kiume na vifo.

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yaanza kusambaza kompyuta vyuoni

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali kwa sasa imeanza kusambaza kompyuta katika vyuo vikuu nchini kwa lengo la kuboresha elimu kwa wanafunzi. Pia, amesema baadaye Serikali itaanza kusambaza kompyuta ndogo zinazobeba vitabu kidijitali, maarufu kama tabuleti (tablets) kwa wanafunzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani