Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uchunguzi wa kompyuta wakamilika

Jeshi la Polisi Zanzibar, limesema kazi ya kuchunguza kompyuta mpakato ya waziri wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, (SMZ), Mansoor Yussuf Himid, aliyefunguliwa mashtaka matatu yakiwamo ya kukamatwa na silaha ya moto na risasi 407, imekamilika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Uchunguzi wa kifo wakamilika

Hatimaye uchunguzi wa mwili wa marehemu Liberatus Matemu (55) umefanyika jana katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) baada ya Serikali kulipa Sh260,000 kwa Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili (Moi), ikiwa ni gharama za matibabu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mkutano wa G20 wakamilika

Waziri mkuu wa Australia Tonny Abott amefunga mkutano wa mataifa tajiri duniani G20 akielezea ahadi za kiuchumi zilizoafikiwa

 

10 years ago

Mwananchi

Ujenzi Barabara Korogwe wakamilika

Ukarabati wa Barabara ya Korogwe – Mkumbara uliogharimu Sh94.5 bilioni zikiwa ni mkopo kutoka Benki ya Dunia (WB), umekamailika.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Upelelezi kesi ya Madabida wakamilika

UPANDE wa Jamhuri katika kesi ya kusambaza dawa za kupunguza makali ya ukimwi (ARVs) inayomkabili  Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na wenzake...

 

11 years ago

Habarileo

Upimaji mashamba ya mkonge wakamilika

 Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey ZambiSERIKALI imekamilisha awamu ya kwanza ya upimaji mashamba ya wakulima wadogo wa mkonge ili kuwapatia hati miliki zitakazowezesha kupata mikopo katika taasisi za fedha kwa ajili ya kuendeleza zao la mkonge.

 

5 years ago

Michuzi

UKARABATI WA MV BUTIAMA, MV VIKTORIA WAKAMILIKA

 Muonekano wa Chelezo (kulia) ambacho kimekamilika kwa asilimia mia moja  na maendeleo ya Ujenzi wa Meli Mpya ya MV Mwanza (kushoto) ambayo ujenzi wake umefikia zaidi ya asilimia 30 katika bandari ya Mwanza South, Mkoani Mwanza. Mafundi wa Kampuni ya Gas Entec kutoka Korea ya Kusini, wakiendelea na kazi ya ujenzi wa meli Mpya ya MV Mwanza katika bandari ya Mwanza South. Meli hiyo inatarajiwa  kukamilika mapema mwaka 2021. Mafundi wa Kampuni ya Kampuni ya Songoro Marine Limited, wakikamilisha...

 

11 years ago

Michuzi

UPELELEZI KESI YA MBASHA WAKAMILIKA

Na Mwene Said wa Globu ya Jamii MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam, imeambiwa kwamba upelelezi wa kesi ya ubakaji inayomkabili Msanii Emmanuel Mbasha (32) - pichani - na mume wa Mwimbaji wa Injili, Flora Mbasha, umekamilika.  Hatua hiyo imefikiwa leo mbele ya Hakimu Mkazi Mh. Wilberforce Luago aliyepangiwa kusikiliza kesi hiyo.  Wakili wa Serikali Nassoro Katuga alidai kuwa kesi hiyo ilipangwa kutajwa jana na kwamba upelelezi wake umekamilika. “Mheshimiwa kwa kuwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

AFCON:Mzunguko wa kwanza wakamilika

Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika,zinaendelea nchini Equatorial Guinea zilikamilisha mzunguko wa kwanza kwa timu zote 16.

 

10 years ago

Mwananchi

Upelelezi kesi ya Gwajima wakamilika

Upelelezi wa kesi zinazomkabili, Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima na wenzake watatu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, umekamilika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani