Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Upimaji mashamba ya mkonge wakamilika

 Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey ZambiSERIKALI imekamilisha awamu ya kwanza ya upimaji mashamba ya wakulima wadogo wa mkonge ili kuwapatia hati miliki zitakazowezesha kupata mikopo katika taasisi za fedha kwa ajili ya kuendeleza zao la mkonge.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Serikali yasisitiza kufutwa hati mashamba ya mkonge

SERIKALI imesisitiza kufuta baadhi ya hati miliki za mashamba ya mkonge katika Mkoa wa Tanga na kugawia wananchi. Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher Chiza, aliliambia Bunge jana kuwa tayari baadhi ya mashamba yamepelekwa Ofisi ya Rais kwa ajili ya kufutiwa hati miliki.

 

10 years ago

GPL

KOROGWE VIJIJINI WANANCHI: TUPEWE MASHAMBA YA MKONGE TUYAENDELEZE

Mheshimiwa Stephen Hilary Ngonyani ‘Profesa Maji Marefu’. Na Abdallah Juma, Tanga Korogwe ni moja kati ya wilaya nane zinazounda Mkoa wa Tanga. Upande wa Kaskazini, Korogwe imepakana na Wilaya ya Lushoto, Mashariki kuna Wilaya ya Muheza, Kusini kuna wilaya ya Handeni na Magharibi kuna Mkoa wa Kilimanjaro. Ndani ya wilaya hiyo, kuna majimbo mawili ya uchaguzi, likiwemo Korogwe Vijijini linaloongozwa na Mheshimiwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Wakulima wa mkonge wapatiwa hatimiliki

Baada ya kusota kwa miaka takribani 15 tangu mashamba ya mkonge kubinafsishwa na kuanzishwa kwa kilimo cha mkonge, wakulima wadogo jana wameanza kupata ahueni baada ya mchakato wa kuwakabidhi hati miliki kuanza.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Tunazalisha bidhaa za mkonge, hakuna soko’

Baada ya utafiti wa miaka kadhaa, kampuni ya Mkonge wa Katani Limited imefanikiwa kuthibitisha kuwa kuna bidhaa nyingine zinazoweza kuzalishwa kibiashara kutokana na mkonge kama vile, mazulia, vifaa vya ujenzi wa nyumba za gharama nafuu na sukari maalumu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge ahoji hatma zao la mkonge

MBUNGE wa Korogwe Mjini, Yusufu Nassir (CCM), ameitaka serikali ieleze ni hatua gani zimechukuliwa juu ya kauli iliyotolewa kuhusu hatma ya zao la mkonge na wafanyakazi wa mashamba kuhusu mafao...

 

5 years ago

Michuzi

WALIOFUJA MALI ZA MKONGE KUCHUKULIWA HATUA-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itawachukulia hatua watu wote waliohusika na ubadhilifu wa mali zikiwemo nyumba za Mamlaka ya Mkonge Tanzania.
Pia, Waziri Mkuu amesema Serikali itafanya uchunguzi katika  mashamba yote ya mkonge ili kubaini yameendelezwa kwa kiasi gani na sehemu ambazo hazijaendelezwa zitachukuliwa na kugawiwa kwa wananchi ili walime  mkonge.
Waziri Mkuu ameyasema hayo leo(Jumanne, Machi 3, 2020) wakati akizungumza kwa nyakati tofauti na wananchi wa kata za Segera...

 

5 years ago

CCM Blog

KUCHUKULIWA HATUA KALI WALIOFUJA MALI ZA MKONGE

 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itawachukulia hatua watu wote waliohusika na ubadhilifu wa mali zikiwemo nyumba za Mamlaka ya Mkonge Tanzania.
Pia, Waziri Mkuu amesema Serikali itafanya uchunguzi katika  mashamba yote ya mkonge ili kubaini yameendelezwa kwa kiasi gani na sehemu ambazo hazijaendelezwa zitachukuliwa na kugawiwa kwa wananchi ili walime  mkonge.
Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Jumanne, Machi 3, 2020) wakati akizungumza kwa nyakati tofauti na wananchi wa kata za...

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA: MKURUGENZI WA BODI YA MKONGE ARUDISHWE ALIKOTOKA


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na wajumbe wa Bodi ya Mkonge Tanzania na viongozi wa mkoa wa Tanga  kwenye ukumbi wa Hoteli ya Tanga Beach Resort, Machi 6, 2020. Kushoto ni  Naibu Waziri wa Kilimo, AMgumba na katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani