MAJALIWA: MKURUGENZI WA BODI YA MKONGE ARUDISHWE ALIKOTOKA
![](https://1.bp.blogspot.com/-rmXYUUaLByI/XmK6Osgf1GI/AAAAAAALhp4/PcsnuZsbCCUtykIntqWcnlyMvR4sZVRUACLcBGAsYHQ/s72-c/20ea8236-4b99-4398-b111-c7c37781d7e7.jpg)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wajumbe wa Bodi ya Mkonge Tanzania na viongozi wa mkoa wa Tanga kwenye ukumbi wa Hoteli ya Tanga Beach Resort, Machi 6, 2020. Kushoto ni Naibu Waziri wa Kilimo, AMgumba na katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWALIOFUJA MALI ZA MKONGE KUCHUKULIWA HATUA-MAJALIWA
Pia, Waziri Mkuu amesema Serikali itafanya uchunguzi katika mashamba yote ya mkonge ili kubaini yameendelezwa kwa kiasi gani na sehemu ambazo hazijaendelezwa zitachukuliwa na kugawiwa kwa wananchi ili walime mkonge.
Waziri Mkuu ameyasema hayo leo(Jumanne, Machi 3, 2020) wakati akizungumza kwa nyakati tofauti na wananchi wa kata za Segera...
5 years ago
MichuziMAJALIWA AZUNGUMZA NA WAJUMBE KAMATI MAALUM YA KUIMARISHA ZAO LA MKONGE
5 years ago
CCM BlogMAJALIWA AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI MAALUM YA KUIMARISHA ZAO LA MKONGE.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-GRAfkYuCHW4/XtVI0h_TgpI/AAAAAAALsQ4/3owZndX7p9wnA3hsalI49wdMovZUuKzgwCLcBGAsYHQ/s72-c/PMO_1737-768x503.jpg)
MALI ZOTE ZA WAKULIMA WA MKONGE KURUDISHWA-WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-GRAfkYuCHW4/XtVI0h_TgpI/AAAAAAALsQ4/3owZndX7p9wnA3hsalI49wdMovZUuKzgwCLcBGAsYHQ/s640/PMO_1737-768x503.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/PMO_1801AAA-1024x631.jpg)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Naibu Waziri...
9 years ago
Dewji Blog04 Jan
Majaliwa atembelea NFRA na ujenzi wa ofisi ya Mkurugenzi Peramiho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Peramiho akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Januari 4, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mahindi yaliyohifadhiwa nje ya majengo ya maghala ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula NFRA mjini Songea akiwa katika ziara ya siku tatu mkoani Ruvuma Januari 4, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akivalishwa vazi la jadi la Wangoni baada ya kuwasili kwenye kwenye...
11 years ago
Mwananchi25 Mar
Mkurugenzi Bodi ya Utalii nchini avuliwa madaraka
10 years ago
Dewji Blog11 Jun
Mh. Majaliwa amwagiza mkurugenzi kuwajengea vyoo wanafunzi wa kike wa Kihadzabe
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (OWM) – TAMISEMI (Elimu), Mhe. Kassim Majaliwa (MB) (aliyevaa miwani) akisalimiana na viongozi pamoja na wazazi wa wanafunzi wa shule ya msingi Munguli, kata ya Mwangeza,tarafa ya Kiru mi, wilayani Mkalama wakati wa ziara ya siku moja wilayani humo kutembelea maeneo ya wanayoishi wanafunzi wa jaamii ya kabila la Wahaadzabe.
Wanafunzi wa shule ya msingi Munguli wakiimba wimbo wa shule yao wakati wakimpokea Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu...
10 years ago
Mtanzania18 Feb
Sitta, Bodi wasigana kuhusu mkurugenzi mpya ATCL
Na Michael Sarungi, Dar es Salaam
WAZIRI wa Uchukuzi, Samweli Sitta na Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) wametofautiana kauli kuhusu atakayebeba mikoba ya Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo, Kapteni Lazaro Militon ambaye amestaafu kwa mujibu wa sheria, Februari mosi mwaka huu.
Tofauti hizo zilibainika jana baada ya Waziri Sitta kuliambia MTANZANIA kuwa hana taarifa za uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi mpya wa ATCL, Jonson Mfinanga, huku Bodi ya shirika hilo ikitoa...
9 years ago
Dewji Blog10 Nov
‘Hapa Kazi Tu’ yaondoka na Mkurugenzi Mkuu wa Muhimbili, Bodi yavunjwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali mmoja wa wagonjwa waliolazwa kwenye kwenye wodi ya sewahaji, kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, jijini Dar es salaam jana wakati wa ziara yake ya kushtukiza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli , jana mchana amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na kukutana na hali ya kumsikitisha.
“ Rais amesikitishwa na kuhuzunishwa na hali ya huduma kwa...