MALI ZOTE ZA WAKULIMA WA MKONGE KURUDISHWA-WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia mti wa mkonge uliopandwa nje ya Jengo la Mamlaka ya Mkonge Mkoani Tanga, baada ya kuzindua rasmi Jengo la Mamlaka hiyo, kutoka kushoto ni Naibu Waziri Wizara ya Kilimo Mhe. Omar Mgumba, Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martin Shigella na Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mkonge Tanzania Saad Kambona, akiwa katika ziara ya siku moja ya Mkoa huo, kukagua maendeleo ya zao la mkonge, Juni, 1, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Naibu Waziri...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASEMA ANATAMBUA UMUHIMU WA DINI ZOTE,AFUNGUA MSIKITI WA ANNUR WILAYANI RUANGWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiitikia dua, iliyosomwa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Al-Hikma, Sheikh Sharif Abdulqader, kwenye Msikiti wa Annur baada ya swala ya ijumaa na baadae kufungua rasmi Msikiti huo, uliyojengwa...
9 years ago
CCM BlogPICHA RASMI ZA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA NA MKEWE MAMA MARY MAJALIWA
Mke wa waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa
9 years ago
Dewji Blog19 Nov
Breaking News: Waziri Mkuu mteule ni Kassim Majaliwa Kassim!
Kassim Majaliwa
Tayari dakika chache zilizopita kutoka ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Dk, John Pombe Magufuli ametuma jina la Waziri Mkuu, ambaye ni Kassim Majaliwa aliyekuwa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Jina hilo limefikishwa kwa mbwembwe likiwa ndani ya bahasha tatu huku likiwa limeandikwa kwa mkono. Kwa hatua hiyo sasa Bunge limeenda mapumziko na dakika chache kutoka sasa litarejea kwa ajili ya kupigia kura na wabunge...
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA KWENYE MCHAPALO WA KUZINDUA BUNGE
9 years ago
MichuziWaziri Mkuu Mteule Mheshimiwa Majaliwa Kassim Majaliwa kuapishwa kesho
Sherehe za kumuapisha Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa (pichani), Waziri Mkuu Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zitafanyika katika Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Novemba, 2015 kuanzia saa 4.00 Asubuhi. Sherehe hizo zinafanyika siku moja baada ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitisha jina lake kwa kura nyingi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia uteuzi uliofanywa na Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
9 years ago
Michuzi9 years ago
Michuzi21 Dec
WAZIRI MKUU MAJALIWA, KASSIM MAJALIWA AHUTUBIA RUANGWA
9 years ago
MichuziJINA LA WAZIRI MKUU MTEULE MHE. MAJALIWA KASSIM MAJALIWA LILIPOWASILISHWA BUNGENI DODOMA LEO
Mpambe wa Rais Kanali Mkeremi akiingia bungeni mjini Dodoma leo asubuhi akiwa na bahasha yenye jina la Waziri Mkuu mteule lililowasilishwa na Rais Dkt.John Pombe Joseph Magufuli ili kupigiwa kura na hatimaye kuridhiwa na wabunge, Mpambe wa Rais Kanali Mkeremi akimkabidhi Spika Job Ndugai bahasha yenye jina la Waziri Mkuu mteule lililowasilishwa na Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ili kupigiwa kura na hatimaye kuridhiwa na wabunge, Spika Job Ndugai akiinua bahasha kabla ya kusoma...
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA ASAFIRI KWA GARI TOKA DODOMA KWENDA DAR ES SALAAM