JINA LA WAZIRI MKUU MTEULE MHE. MAJALIWA KASSIM MAJALIWA LILIPOWASILISHWA BUNGENI DODOMA LEO
![](http://2.bp.blogspot.com/-91OlTIPqjuc/Vk3UYxwpXMI/AAAAAAAIG2Q/syFrnKI7eY0/s72-c/e016df6a-9405-4fcb-8a4c-a6cc56bfa773.jpg)
Mpambe wa Rais Kanali Mkeremi akiingia bungeni mjini Dodoma leo asubuhi akiwa na bahasha yenye jina la Waziri Mkuu mteule lililowasilishwa na Rais Dkt.John Pombe Joseph Magufuli ili kupigiwa kura na hatimaye kuridhiwa na wabunge,
Mpambe wa Rais Kanali Mkeremi akimkabidhi Spika Job Ndugai bahasha yenye jina la Waziri Mkuu mteule lililowasilishwa na Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ili kupigiwa kura na hatimaye kuridhiwa na wabunge,
Spika Job Ndugai akiinua bahasha kabla ya kusoma...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziMATUKIO YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA BUNGENI LEO JIJINI DODOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Bumbuli, January Makamba, Bungeni jijini Dodoma, Juni 11, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/PMO_9764-scaled.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/PMO_9887-scaled.jpg)
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ALIPOKUWA AKIWAHI BUNGENI LEO JIJINI DODOMA.
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-nEjqVtOzpAw/Vk4WgeqDrNI/AAAAAAAIG4U/vLbV7_5mKHo/s72-c/56ea3d30-79b4-4e99-8503-3764367fc668.jpg)
Waziri Mkuu Mteule Mheshimiwa Majaliwa Kassim Majaliwa kuapishwa kesho
![](http://1.bp.blogspot.com/-nEjqVtOzpAw/Vk4WgeqDrNI/AAAAAAAIG4U/vLbV7_5mKHo/s640/56ea3d30-79b4-4e99-8503-3764367fc668.jpg)
Sherehe za kumuapisha Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa (pichani), Waziri Mkuu Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zitafanyika katika Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Novemba, 2015 kuanzia saa 4.00 Asubuhi. Sherehe hizo zinafanyika siku moja baada ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitisha jina lake kwa kura nyingi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia uteuzi uliofanywa na Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKITETA JAMBO NA WAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU BUNGENI LEO JIJINI DODOMA.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-bm9PfE6iN50/Xt9Semqk7cI/AAAAAAALtJQ/CaaFitet2tESZV1JMX_oti1eGm7rVF-mwCLcBGAsYHQ/s72-c/PMO_0305-2048x1366.jpg)
MATUKIO YA PICHA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA BUNGENI JIJINI DODOMA
![](https://1.bp.blogspot.com/-bm9PfE6iN50/Xt9Semqk7cI/AAAAAAALtJQ/CaaFitet2tESZV1JMX_oti1eGm7rVF-mwCLcBGAsYHQ/s640/PMO_0305-2048x1366.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/PMO_0280-scaled.jpg)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria, Mwigulu Nchemba, Bungeni jijini Dodoma, Juni, 8, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-7deyA4RdEQI/VlGrqcbO8hI/AAAAAAAIHvc/RMp4d9BfZSw/s72-c/e26121f6-4093-4c72-8361-ea2fe0d3036d.jpg)
WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA ASAFIRI KWA GARI TOKA DODOMA KWENDA DAR ES SALAAM
![](http://4.bp.blogspot.com/-7deyA4RdEQI/VlGrqcbO8hI/AAAAAAAIHvc/RMp4d9BfZSw/s640/e26121f6-4093-4c72-8361-ea2fe0d3036d.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Z3OSe5ncMYc/XsgN-5U29fI/AAAAAAALrU8/83Q4u4kM82AwfJfT0CTaIE-P0eKELWvmgCLcBGAsYHQ/s72-c/825934d2-74d5-4249-8b75-3ae8cfa220de.jpg)
MATUKIO YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA BUNGENI LEO
![](https://1.bp.blogspot.com/-Z3OSe5ncMYc/XsgN-5U29fI/AAAAAAALrU8/83Q4u4kM82AwfJfT0CTaIE-P0eKELWvmgCLcBGAsYHQ/s640/825934d2-74d5-4249-8b75-3ae8cfa220de.jpg)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Uwekezaji, Angelah Kairuki, Bungeni jijini Dodoma, May 22, 2020. ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/a3d051c5-22c6-4aa4-a053-9af1d8908dad.jpg)
9 years ago
Dewji Blog19 Nov
Breaking News: Waziri Mkuu mteule ni Kassim Majaliwa Kassim!
Kassim Majaliwa
Tayari dakika chache zilizopita kutoka ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Dk, John Pombe Magufuli ametuma jina la Waziri Mkuu, ambaye ni Kassim Majaliwa aliyekuwa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Jina hilo limefikishwa kwa mbwembwe likiwa ndani ya bahasha tatu huku likiwa limeandikwa kwa mkono. Kwa hatua hiyo sasa Bunge limeenda mapumziko na dakika chache kutoka sasa litarejea kwa ajili ya kupigia kura na wabunge...
9 years ago
CCM Blog![](http://3.bp.blogspot.com/-slj5kZenQ3E/VmG0l_MVMzI/AAAAAAAA1b4/FHGu_bGtYuo/s72-c/1.jpg)
PICHA RASMI ZA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA NA MKEWE MAMA MARY MAJALIWA
![](http://3.bp.blogspot.com/-slj5kZenQ3E/VmG0l_MVMzI/AAAAAAAA1b4/FHGu_bGtYuo/s640/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Vd0xHojhppo/VmG0lexvtUI/AAAAAAAA1b0/iW1seV--6-0/s640/2.jpg)