Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MATUKIO YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA BUNGENI LEO JIJINI DODOMA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Bumbuli, January Makamba,  Bungeni jijini Dodoma, Juni 11, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Paramagamba Kabudi, Bungeni jijini Dodoma, Juni 11, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango (kushoto) na Waziri wa Elimu, Sayansi na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MATUKIO YA PICHA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA BUNGENI JIJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Mwigulu Nchemba, Bungeni jijini Dodoma, Juni, 8, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria, Mwigulu Nchemba, Bungeni jijini Dodoma, Juni, 8, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ALIPOKUWA AKIWAHI BUNGENI LEO JIJINI DODOMA.

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwasili Bungeni Dodoma leo Mei 8/2020 kuhudhuria kikao cha Bunge la Bajeti linaloendelea  na mjadala wa Wizara ya Nishati.(Picha na PMO).

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKITETA JAMBO NA WAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU BUNGENI LEO JIJINI DODOMA.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 30, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

5 years ago

Michuzi

MATUKIO YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA BUNGENI LEO



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Uwekezaji, Angelah Kairuki, Bungeni jijini Dodoma, May 22, 2020. ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, Bungeni jijini Dodoma, May 22, 2020. ( Picha na Ofisi ya Waziri...

 

9 years ago

Michuzi

JINA LA WAZIRI MKUU MTEULE MHE. MAJALIWA KASSIM MAJALIWA LILIPOWASILISHWA BUNGENI DODOMA LEO


 Mpambe wa Rais Kanali Mkeremi akiingia bungeni mjini Dodoma leo asubuhi akiwa na bahasha yenye jina la Waziri Mkuu mteule lililowasilishwa  na  Rais Dkt.John Pombe Joseph Magufuli ili kupigiwa kura na hatimaye kuridhiwa na wabunge,  Mpambe wa Rais Kanali Mkeremi akimkabidhi Spika Job Ndugai bahasha yenye jina la Waziri Mkuu mteule lililowasilishwa  na  Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ili kupigiwa kura na hatimaye kuridhiwa na wabunge, Spika Job Ndugai akiinua bahasha kabla ya kusoma...

 

5 years ago

Michuzi

MATUKIO YA WAZIRI MKUU BUNGENI LEO JIJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wabunge, kutoka kushoto ni Mbunge wa Lulindi Jerome Bwanausi na Mbunge wa Chemba Juma Nkamia, Bungeni jijini Dodoma, Juni, 8, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Korogwe Mjini, Mary Chatanda, Bungeni jijini Dodoma, Juni, 8, 2020

 

5 years ago

Michuzi

MATUKIO YA WAZIRI MKUU BUNGENI JIJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akimpongeza Mbunge wa Momba, David Silinde baada ya kuchangia Azimio la kumpongeza Rais John Magufuli  kwa namna alivyoongoza taifa katika mapambano dhidi ya janga la Corona, Bungeni jijini Dodoma, Juni, 8, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

5 years ago

CCM Blog

MATUKIO YA WAZIRI MKUU BUNGENI DODOMA LEO

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mvomero,  Suleiman Ahmed Saddiq kwenye Viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 15, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa  Kiembesamaki, Ibrahim Raza kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 15, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Baraza la Wawakilishi, Amina Mabrouk kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 15, 2020. (Picha...

 

9 years ago

Dewji Blog

Picha za kuapishwa kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika Ikulu ya Chamwino Dodoma leo!

IMGS1255 Rais John Magufuli akimwapisha  Mheshimiwa Majaliwa kassim Majaliwa  kuwa Waziri Mkuu kwenye Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma Novemba 20, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

IMGS1311

IMGS1327

Waziri Mkuu, Majliwa Kassim Majaliwa akiopongezwa na Mkewe  Mary baada ya kuapishwa kwenye ikululu ya Chamwino mjini Dodoma Novemba 20, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

IMGS1347

IMGS1373

Rais John Magufuli  akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa na mkewe  Mary Majaliwa baada ya kumwapisha Waziri...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani