MATUKIO YA WAZIRI MKUU BUNGENI JIJINI DODOMA LEO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akimpongeza Mbunge wa Momba, David Silinde baada ya kuchangia Azimio la kumpongeza Rais John Magufuli kwa namna alivyoongoza taifa katika mapambano dhidi ya janga la Corona, Bungeni jijini Dodoma, Juni, 8, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziMATUKIO YA WAZIRI MKUU BUNGENI LEO JIJINI DODOMA
5 years ago
MichuziMATUKIO YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA BUNGENI LEO JIJINI DODOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Bumbuli, January Makamba, Bungeni jijini Dodoma, Juni 11, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/PMO_9764-scaled.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/PMO_9887-scaled.jpg)
5 years ago
CCM BlogMATUKIO YA WAZIRI MKUU BUNGENI DODOMA LEO
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-bm9PfE6iN50/Xt9Semqk7cI/AAAAAAALtJQ/CaaFitet2tESZV1JMX_oti1eGm7rVF-mwCLcBGAsYHQ/s72-c/PMO_0305-2048x1366.jpg)
MATUKIO YA PICHA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA BUNGENI JIJINI DODOMA
![](https://1.bp.blogspot.com/-bm9PfE6iN50/Xt9Semqk7cI/AAAAAAALtJQ/CaaFitet2tESZV1JMX_oti1eGm7rVF-mwCLcBGAsYHQ/s640/PMO_0305-2048x1366.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/PMO_0280-scaled.jpg)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria, Mwigulu Nchemba, Bungeni jijini Dodoma, Juni, 8, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKITETA JAMBO NA WAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU BUNGENI LEO JIJINI DODOMA.
5 years ago
CCM BlogMATUKIO YA WAZIRI MKUU BUNGENI DODOMA
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ALIPOKUWA AKIWAHI BUNGENI LEO JIJINI DODOMA.
11 years ago
Dewji Blog05 Jun
Matukio ya Waziri Mkuu Pinda Bungeni mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu Mawsali Bungeni mjini Dodoma Juni 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji ambaye pia ni Mbunge wa Hanang, Dr. Mary Nagu, Bungeni mjini Dodoma Juni 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Ndege akiwa kwenye zuria la Bungeni mjini Dodoma Juni 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wabunge Zainab Kawawa...
11 years ago
Dewji Blog28 May
Matukio mbalimbali ya Waziri Mkuu Pinda Bungeni mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Madiwani na Watendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga kwenye ukumbi wa Spika .Bungeni mjini Dodoma Mei 27, 2014.Walipotembelea Bunge kwa mwaliko wa Mbunge wao, Suleiman Nchambi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia jambo katika mazungumzo kati yake na Mbunge wa Moshi Vijijini, Cyrli Chami kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mwandishi wa habari...