Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha za kuapishwa kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika Ikulu ya Chamwino Dodoma leo!

IMGS1255 Rais John Magufuli akimwapisha  Mheshimiwa Majaliwa kassim Majaliwa  kuwa Waziri Mkuu kwenye Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma Novemba 20, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

IMGS1311

IMGS1327

Waziri Mkuu, Majliwa Kassim Majaliwa akiopongezwa na Mkewe  Mary baada ya kuapishwa kwenye ikululu ya Chamwino mjini Dodoma Novemba 20, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

IMGS1347

IMGS1373

Rais John Magufuli  akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa na mkewe  Mary Majaliwa baada ya kumwapisha Waziri...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA KUAPISHWA WAZIRI MKUU WA AWAMU YA TANO VIWANJA VYA IKULU NDOGO CHAMWINO MJINI DODOMA

Rais Dkt. John Pombe Magufuli, akimwapisha Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa, kuwa Waziri Mkuu wa awamu ya tano, wakati wa sherehe hizo zilizofanyika leo Nov 20, 2015 kwenye Viwanja vya Ikulu ndogo Chamwino mjini Dodoma.Rais Dkt. John Pombe Magufuli, akimkabidhi nyaraka za Serikali baada ya kumwapisha Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa, kuwa Waziri Mkuu wa awamu ya tano, wakati wa sherehe hizo zilizofanyika leo Nov 20, 2015 kwenye Viwanja vya Ikulu ndogo Chamwino mjini Dodoma.Makamu wa Rais wa...

 

9 years ago

Michuzi

JINA LA WAZIRI MKUU MTEULE MHE. MAJALIWA KASSIM MAJALIWA LILIPOWASILISHWA BUNGENI DODOMA LEO


 Mpambe wa Rais Kanali Mkeremi akiingia bungeni mjini Dodoma leo asubuhi akiwa na bahasha yenye jina la Waziri Mkuu mteule lililowasilishwa  na  Rais Dkt.John Pombe Joseph Magufuli ili kupigiwa kura na hatimaye kuridhiwa na wabunge,  Mpambe wa Rais Kanali Mkeremi akimkabidhi Spika Job Ndugai bahasha yenye jina la Waziri Mkuu mteule lililowasilishwa  na  Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ili kupigiwa kura na hatimaye kuridhiwa na wabunge, Spika Job Ndugai akiinua bahasha kabla ya kusoma...

 

9 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu Mteule Mheshimiwa Majaliwa Kassim Majaliwa kuapishwa kesho


Sherehe za kumuapisha Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa (pichani), Waziri Mkuu Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zitafanyika katika Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Novemba, 2015 kuanzia saa   4.00 Asubuhi. Sherehe hizo zinafanyika siku moja  baada ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitisha jina lake kwa kura nyingi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia uteuzi uliofanywa na Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

5 years ago

Michuzi

MATUKIO YA PICHA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA BUNGENI JIJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Mwigulu Nchemba, Bungeni jijini Dodoma, Juni, 8, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria, Mwigulu Nchemba, Bungeni jijini Dodoma, Juni, 8, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA ASAFIRI KWA GARI TOKA DODOMA KWENDA DAR ES SALAAM

Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa na mkewe Mama Mary Majaliwa wakisalimiana na viongozi wa mkoa wa Morogoro wakati waliposimama kwa muda mjini  Morogoro wakiwa njiani kuelekea Dar es salaam wakitoka Dodoma kwa gari leo Novemba 22, 2015. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Rajabu Rutengwe (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

5 years ago

Michuzi

MATUKIO YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA BUNGENI LEO JIJINI DODOMA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Bumbuli, January Makamba,  Bungeni jijini Dodoma, Juni 11, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Paramagamba Kabudi, Bungeni jijini Dodoma, Juni 11, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango (kushoto) na Waziri wa Elimu, Sayansi na...

 

9 years ago

CCM Blog

PICHA RASMI ZA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA NA MKEWE MAMA MARY MAJALIWA

 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa
Mke wa waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKITETA JAMBO NA WAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU BUNGENI LEO JIJINI DODOMA.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 30, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ALIPOKUWA AKIWAHI BUNGENI LEO JIJINI DODOMA.

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwasili Bungeni Dodoma leo Mei 8/2020 kuhudhuria kikao cha Bunge la Bajeti linaloendelea  na mjadala wa Wizara ya Nishati.(Picha na PMO).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani