Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASEMA ANATAMBUA UMUHIMU WA DINI ZOTE,AFUNGUA MSIKITI WA ANNUR WILAYANI RUANGWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwasalimia wananchi, kwenye Msikiti wa Annur, baada ya swala ya ijumaa na kufungua rasmi Msikiti huo uliyojengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Al-Hikma Foundation, wilayani Ruangwa katika Mkoa wa Lindi Machi 13, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiitikia dua, iliyosomwa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Al-Hikma, Sheikh Sharif Abdulqader, kwenye Msikiti wa Annur baada ya swala ya ijumaa na baadae kufungua rasmi Msikiti huo, uliyojengwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA, KASSIM MAJALIWA AHUTUBIA RUANGWA

rua1Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikabidhiwa zawadi ya shati la asili la  Wamwera  na Mzee Saidi Issa Hanga katika mkutano wa hadhara aliouhutubia  mjini Ruangwa Desemba 20, 2015. rua2Waziri Mkuu, Kassim Majliwa na Mkewe Mary wakisalimiana na wazee wa Ruangwa kabla ya mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu mjini Ruangwa Desemba 20, 2015. rua3Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha na kufurahia  silaha  za asili alizokabidhiwa na wazee wa Ruangwa kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara...

 

5 years ago

Michuzi

MALI ZOTE ZA WAKULIMA WA MKONGE KURUDISHWA-WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia mti wa mkonge uliopandwa nje ya Jengo la Mamlaka ya Mkonge Mkoani Tanga, baada ya kuzindua rasmi Jengo la Mamlaka hiyo, kutoka kushoto ni Naibu Waziri Wizara ya Kilimo Mhe. Omar Mgumba, Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martin Shigella na Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mkonge Tanzania Saad Kambona, akiwa katika ziara ya siku moja ya Mkoa huo, kukagua maendeleo ya zao la mkonge, Juni, 1, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Naibu Waziri...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHUDIA VIONGOZI WA TAASISI ZA DINI WAKITIA SAINI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Spika wa bunge, Job Ndugai (wa pili kushoto ) wakishuhudia wakati viongozi wa dini walipotia saini Tamko Rasmi la Viongozi wa Juu wa Taasisi za Dini kuhusu ushiriki wao katika mwitikio wa UMKIMWI nchini, wakati Waziri Mkuu alipozindua kampeni ya kitaifa ya viongozi wa dini na bunge katika kupunguza unyanyapaa dhidi ya UKIMWI kwenye ukumbi wa Msekwa bungeni jijini Dodoma, Machi 10, 2020. Viongozi waliotia saini kutoka kushoto ni Mufti na Sheikh Mkuu wa...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA CHETI CHA UHALISI WA MADINI YA BATI...AELEZEA UMUHIMU WAKE KWA TAIFA

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kasim Majaliwa amezindua cheti cha Uhalisi wa madini ya Bati ambapo amesema uzinduzi huo ni muhimu kwa Taifa letu pamoja na nchi za maziwa makuu.

Amezidua cheti hicho cha uhalisi wakati wa mkutano wa wawekezaji katika sekta ya madini hapa nchini mkutano uliofanyika leo Februari 23,mwaka 2020 katika Kituo cha Mikutano cha Mwalimu Nyerere jijini Dar ea Salaam.

Nchi mbalimbali zimepata Cheti cha halisi wa madini ya Bati ambazo ni Uganda, Burundi,...

 

9 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa afungua soko la kimataifa la Samaki Mkoani Kigoma leo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipiga makofi na kufurahia baada ya kuzindua rasmi soko la kisasa la samaki na dagaa katika mwalo wa Kibirizi, Mkoani Kigoma leo. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua dagaa walioanikwa kisasa katika mwalo wa kibirizi baada ya kufungua rasmi soko la kimataifa la Samaki lililopo Kibirizi, Mkoani Kigoma leo.Mbunge wa Jimbo la Kigoma mjini Zitto kabwe akiongea na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya mwalo wa kibirizi. Waziri Mkuu Kassim...

 

9 years ago

CCM Blog

PICHA RASMI ZA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA NA MKEWE MAMA MARY MAJALIWA

 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa
Mke wa waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa

 

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Waziri Mkuu mteule ni Kassim Majaliwa Kassim!

BRAEKI

kasim

Kassim Majaliwa

Tayari dakika chache zilizopita kutoka ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Dk, John Pombe Magufuli ametuma jina la Waziri Mkuu,  ambaye  ni Kassim Majaliwa aliyekuwa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).

Jina hilo limefikishwa kwa mbwembwe likiwa ndani ya bahasha tatu huku likiwa limeandikwa kwa mkono. Kwa hatua hiyo sasa  Bunge limeenda mapumziko na dakika chache kutoka sasa litarejea kwa ajili ya kupigia kura na wabunge...

 

9 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu Mteule Mheshimiwa Majaliwa Kassim Majaliwa kuapishwa kesho


Sherehe za kumuapisha Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa (pichani), Waziri Mkuu Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zitafanyika katika Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Novemba, 2015 kuanzia saa   4.00 Asubuhi. Sherehe hizo zinafanyika siku moja  baada ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitisha jina lake kwa kura nyingi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia uteuzi uliofanywa na Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani