Serikali yasisitiza kufutwa hati mashamba ya mkonge
SERIKALI imesisitiza kufuta baadhi ya hati miliki za mashamba ya mkonge katika Mkoa wa Tanga na kugawia wananchi. Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher Chiza, aliliambia Bunge jana kuwa tayari baadhi ya mashamba yamepelekwa Ofisi ya Rais kwa ajili ya kufutiwa hati miliki.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo31 May
Upimaji mashamba ya mkonge wakamilika
SERIKALI imekamilisha awamu ya kwanza ya upimaji mashamba ya wakulima wadogo wa mkonge ili kuwapatia hati miliki zitakazowezesha kupata mikopo katika taasisi za fedha kwa ajili ya kuendeleza zao la mkonge.
10 years ago
GPL
KOROGWE VIJIJINI WANANCHI: TUPEWE MASHAMBA YA MKONGE TUYAENDELEZE
5 years ago
Michuzi
Serikali Imerudisha Heshima ya Zao la Mkonge- Waziri mkuu

Katika ziara hiyo Waziri Mkuu amesema kuwa, Tanzania ni moja ya nchi ambayo ilikuwa mzalishaji mzuri wa zao hilo katika kipindi cha miaka 60 iliyopita ambapo ilikuwa inazalisha tani zaidi ya 235,000 ikiwa ni nchi ya...
11 years ago
Habarileo18 Feb
CCM yasisitiza Serikali mbili
WAKATI Bunge Maalumu la Katiba likianza leo mjini hapa, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesisitiza kuwa msimamo wa kuwapo kwa Serikali mbili na kuunga mkono maoni ya wengi, lakini ikaonya kuwa si vyema kutishana na kuburuzana.
10 years ago
Mwananchi09 Jun
Serikali yafuta umiliki wa mashamba ya wawekezaji
9 years ago
Mwananchi19 Nov
Serikali kuwabana waliohodhi viwanda, mashamba
10 years ago
Dewji Blog19 Feb
Serikali yasisitiza matumizi ya takwimu sahihi
Kaimu Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Ofisi Bw. Michael Madembwe akizungumza na wazalishaji na watumiaji wa takwimu leo jijini Dar es salaam. Warsha hiyo imewakutanisha wadau hao kutoka maeneo mbalimbali nchini, kubadilishana uzoefu na kuangalia changamoto mbalimbali zinazojitokeza katika usambazaji na ukusanyaji wa takwimu nchini.
Na Aron Msigwa
SERIKALI imetoa wito kwa watafiti na wataalam kutoka vyuo vikuu, taasisi za elimu na mashirika binafsi kushiriki kikamilifu kuhamasisha jamii...
10 years ago
Mtanzania04 Jun
Serikali yasisitiza ujenzi Bandari ya Mwambani
NA OSCAR ASSENGA
SERIKALI imesema mpango wa ujenzi wa bandari mpya ya Mwambani mkoani Tanga upo kama ulivyopangwa.
Kujengwa kwa bandari hiyo, imeelezwa itakuwa ni kichocheo cha mabadiliko ya kiuchumi ndani ya Mkoa wa Tanga ambapo shehena za mizigo zitaongezeka mara dufu kuliko ilivyo sasa.
Hayo yalibainishwa na Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta, wakati akizungumza na wafanyakazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) Mkoa wa Tanga katika ziara yake ya kikazi ya kukagua bandari hiyo na eneo...
5 years ago
Michuzi
Serikali yasisitiza matumizi sahihi ya Kiswahili
Na Eleuteri Mangi, WHUSM, Dodoma.
Katika hali ya kawaida herufi huunda neno na maneno huunda sentensi nayo sentensi huunda kikundi cha maneno. Kwa kawaida neno ni tamko mojawapo miongoni mwa mengi ambalo mtu hulitamka katika mchakato wa mazungumzo unaopelekea iwepo misemo ambayo ni fungu la maneno yenye maana mahususi ili kutoa fundisho kwa jamii.
Kwa mantiki hiyo, semi ni maneno yanayozungumzwa na watu yanayoleta maana mahususi katika lugha inayozungumzwa katika eneo fulani. Kiswahili ikiwa...