Wakulima wa mkonge wapatiwa hatimiliki
Baada ya kusota kwa miaka takribani 15 tangu mashamba ya mkonge kubinafsishwa na kuanzishwa kwa kilimo cha mkonge, wakulima wadogo jana wameanza kupata ahueni baada ya mchakato wa kuwakabidhi hati miliki kuanza.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima25 Feb
Wakulima waanza kuandaliwa hatimiliki
WIZARA ya Kilimo, Chakula na Ushirika imesema hatimiliki za mashamba kwa ajili ya wakulima wadogo zimeanza kuandaliwa kwa lengo la kuwawezesha kupata mikopo katika taasisi za kibenki. Akizungumza na waandishi...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-GRAfkYuCHW4/XtVI0h_TgpI/AAAAAAALsQ4/3owZndX7p9wnA3hsalI49wdMovZUuKzgwCLcBGAsYHQ/s72-c/PMO_1737-768x503.jpg)
MALI ZOTE ZA WAKULIMA WA MKONGE KURUDISHWA-WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-GRAfkYuCHW4/XtVI0h_TgpI/AAAAAAALsQ4/3owZndX7p9wnA3hsalI49wdMovZUuKzgwCLcBGAsYHQ/s640/PMO_1737-768x503.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/PMO_1801AAA-1024x631.jpg)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Naibu Waziri...
10 years ago
Habarileo16 May
Aagiza halmashauri kuwezesha hatimiliki
HALMASHAURI zote nchini zimetakiwa kutenga fedha katika bajeti zake kwa ajili ya kutoa Hatimiliki za kimila kwa wananchi.
11 years ago
Mwananchi15 Apr
Walima miwa kupewa hatimiliki
11 years ago
Tanzania Daima20 Mar
Hatimiliki zilinde vyanzo vya maji — DC
MKUU wa Wilaya (DC) ya Arumeru, Nyirembe Munasa, ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Arusha (Auwsa) kuhakikisha inayawekea hatimiliki maeneo yote ya vyanzo vya maji yaliyopo wilayani hapa ili kuyalinda...
11 years ago
Tanzania Daima09 Mar
Watoto wa vigogo ndio wenye hatimiliki pekee CCM?
HIVI sasa kuna hekaheka za uchaguzi ndogo wa ubunge katika majimbo mawili ya uchaguzi; Kalenga (Iringa) na Chalinze (Pwani). Miongoni mwa wanaowania ubunge katika majimbo hayo ni watoto wa vigogo,...
11 years ago
Habarileo31 May
Upimaji mashamba ya mkonge wakamilika
SERIKALI imekamilisha awamu ya kwanza ya upimaji mashamba ya wakulima wadogo wa mkonge ili kuwapatia hati miliki zitakazowezesha kupata mikopo katika taasisi za fedha kwa ajili ya kuendeleza zao la mkonge.
11 years ago
Tanzania Daima31 May
Mbunge ahoji hatma zao la mkonge
MBUNGE wa Korogwe Mjini, Yusufu Nassir (CCM), ameitaka serikali ieleze ni hatua gani zimechukuliwa juu ya kauli iliyotolewa kuhusu hatma ya zao la mkonge na wafanyakazi wa mashamba kuhusu mafao...
11 years ago
Mwananchi29 May
‘Tunazalisha bidhaa za mkonge, hakuna soko’