Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakulima waanza kuandaliwa hatimiliki

WIZARA ya Kilimo, Chakula na Ushirika imesema hatimiliki za mashamba kwa ajili ya wakulima wadogo zimeanza kuandaliwa kwa lengo la kuwawezesha kupata mikopo katika taasisi za kibenki. Akizungumza na waandishi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wakulima wa mkonge wapatiwa hatimiliki

Baada ya kusota kwa miaka takribani 15 tangu mashamba ya mkonge kubinafsishwa na kuanzishwa kwa kilimo cha mkonge, wakulima wadogo jana wameanza kupata ahueni baada ya mchakato wa kuwakabidhi hati miliki kuanza.

 

9 years ago

StarTV

Baadhi ya wakulima waanza kuzalisha asali

Mabadiliko ya tabia ya nchi yanayosababisha ukame yamekuwa changamoto kwa wakulima mkoani Manyara hali iliyowalazimu baadhi yao kuanza kujikita katika uzalishaji wa asali.

Uzalishaji wa asali  ni moja ya njia mbadala ya kutotegema kilimo cha kibiashara ambacho kinaelekea kutokua na manufaa zaidi kwa wafugaji wa nyuki.

 

Vijiji vya Endagaw wilayani Hanang na Bashay Mbulu ni miongoni mwa maeneo mkoani Manyara ambayo yameanza uzalishaji wa asali kama njia mbadala baada ya mazao ya kibiashara...

 

10 years ago

Mwananchi

Wakulima wa Pareto waanza kutembea kifua mbele

>Kampuni ya Pareto Tanzania (PCT), imewalipa zaidi ya Sh4.4 bilioni  wakulima wa pareto katika mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa na Arusha kuanzia Agosti mwaka jana hadi Machi mwaka huu baada ya kununua tani 2,300 za zao hilo, imeelezwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Walima miwa kupewa hatimiliki

Wakulima wa miwa wa vijiji 10 vya Wilaya za Kilosa na Kilombero mkoani Morogoro, wameanza kupimiwa mashamba yao ili wapatiwe hatimilki za kimila.

 

10 years ago

Habarileo

Aagiza halmashauri kuwezesha hatimiliki

HALMASHAURI zote nchini zimetakiwa kutenga fedha katika bajeti zake kwa ajili ya kutoa Hatimiliki za kimila kwa wananchi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hatimiliki zilinde vyanzo vya maji — DC

MKUU wa Wilaya (DC) ya Arumeru, Nyirembe Munasa, ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Arusha (Auwsa) kuhakikisha inayawekea hatimiliki maeneo yote ya vyanzo vya maji yaliyopo wilayani hapa ili kuyalinda...

 

9 years ago

BBCSwahili

Michezo ya Jumuiya ya madola kuandaliwa AK

Mji wa Durban nchini Afrika Kusini utakuwa mji wa kwanza barani Afrika kuandaa mashindano ya Jumuiya ya Madola mwaka wa 2022

 

5 years ago

Mwananchi

Wanasayansi wachanga watakiwa kuandaliwa

Wakati Serikali ya awamu ya tano ikiweka mkazo  kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda wadau wameshauri nguvu hiyo pia itumike kuwaandaa wanasayansi wachanga.

 

10 years ago

Mtanzania

Filamu kupinga mauaji ya albino kuandaliwa

albinoNA JOHN MADUHU, MWANZA
WAIGIZAJI wa filamu nchini, wanatarajia kuungana katika filamu moja itakayokuwa ikipinga mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino).
Mwigizaji Jacob Steven ‘JB’, alizungumza na MTANZANIA hivi karibuni, wakati wa kongamano la amani lililoandaliwa na maaskofu na masheikh wa Mkoa wa Mwanza.
JB ambaye alikuwa ameongozana na wasanii wengine kama Mzee Majuto na Mrisho Mpoto, alisema mchakato wa kuandaa filamu hiyo umeanza.
“Tumeguswa na mauaji ya walemavu wa ngozi,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani