Filamu kupinga mauaji ya albino kuandaliwa
NA JOHN MADUHU, MWANZA
WAIGIZAJI wa filamu nchini, wanatarajia kuungana katika filamu moja itakayokuwa ikipinga mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino).
Mwigizaji Jacob Steven ‘JB’, alizungumza na MTANZANIA hivi karibuni, wakati wa kongamano la amani lililoandaliwa na maaskofu na masheikh wa Mkoa wa Mwanza.
JB ambaye alikuwa ameongozana na wasanii wengine kama Mzee Majuto na Mrisho Mpoto, alisema mchakato wa kuandaa filamu hiyo umeanza.
“Tumeguswa na mauaji ya walemavu wa ngozi,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLT.F.S.C KUANDAA BONANZA KULAANI, KUPINGA MAUAJI YA ALBINO
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Bongo Movies09 Mar
Riyama na Keisha Mzigoni Kupinga Mauaji ya Albino!!
Takribani kwa wiki mzima sasa Staa wa Bongo Movies, Riyama amekuwa akitoa ujumbe mzito akiitaka jamii kuacha na kupinga mauaji huku akisisitiza upendo kwa ndugu zetu mwenye ulemavu wa ngozi (Albinos) kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram.
Siku ya jana Riyama alibandika picha hiyo hapo juu akiwa na mwanamziki Keisha ambae ni mlemavu wa ngozi na kuandika kuwa wapo kazini, kitu ambacho mashabiki wake wengi walijiongeza kuwa Riyama na Keisha watakuwa Lokeshani wakitengeneza...
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Dewji Blog21 Feb
Albino kuandamana kwenda Ikulu kupinga vitendo vya mauaji dhidi yao
Mjumbe wa Chama cha Maalbino Tanzania, Sophia Mhando (katikati), akizungumza kwa uchungu katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu vitendo vya kikatili wanavyofanyiwa pamoja na maandamano hayo ya amani ya kwenda Ikulu. Kushoto ni Mkurugenzi wa Action on Disability & Development (ADD), Mathew Kawongo na Ofisa Habari Mahusiano ya Umma wa Chama cha Albino Tanzania Josephat Torner.
Ofisa Habari Mahusiano ya Umma wa Chama cha Albino Tanzania Josephat Torner...
10 years ago
GPLALBINO KUANDAMANA KWENDA IKULU KUPINGA VITENDO VYA MAUAJI DHIDI YAO
10 years ago
Bongo528 Feb
Picha: Wasanii wa kike nchini waungana na kurekodi video ya wimbo ‘Simama Nami’ kupinga mauaji ya albino
10 years ago
Bongo Movies16 Mar
Filamu ya Kusisimua Kuhusu Mauaji ya Albino "Firigisi" , Sasa Iko Jikoni
Filamu ya kusisimua inayohusu ukatili wa watu wenye ulemavu wa ngozi(Albino) inatarajia kuzinduliwa mwezi April Mwaka huu.Filamu hiyo iliyopewa jina la “FIRIGISI” imefanywa na wasanii kutoka mkoa wa Shinyanga( Bongo Movie Shinyanga) na msanii Denice Sweya maarufu Dino kutoka Bongo Movie Dar es salaam.
Dino ameigiza na kuongoza Filamu hiyo ambayo imebeba maudhui kuhusu Ukatili wanaofanyiwa watu wenye Albinism nchini Tanzania huku watu mbalimbali wakitajwa kuhusika katika ukatili huo wakiwemo...
10 years ago
Bongo Movies18 May
Filamu ya 'Sio Dili' Inayoongelea Tatizo la Mauaji ya Albino Kuingia Sokoni
Kampuni ya K Films Production ya jijini Dar es Salaam inatarajia kuachia filamu kali na ya kusisimua ya Sio Dili inayoongelea tatizo la mauaju ya Albino Tanzania ambayo yanatikisa nchi nzima, akiongea na FC amesema kuwa sinema hiyo ni funzo.
“Filamu ya Sio Dili ni kazi yangu katika harakati za kupambana na mauaji ya Albino ambayo yanahusisha imani ya kishirikina ni kazi nzuri inayoelimisha jamii kuachana na imani potofu,”anasema Kinye Mkali.
Sinema hiyo inawashirikisha wasanii nyota kama...