Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Filamu ya Kusisimua Kuhusu Mauaji ya Albino "Firigisi" , Sasa Iko Jikoni

Filamu ya kusisimua inayohusu ukatili wa watu wenye ulemavu wa ngozi(Albino) inatarajia kuzinduliwa mwezi April Mwaka huu.Filamu hiyo iliyopewa jina la “FIRIGISI” imefanywa na wasanii kutoka mkoa wa Shinyanga( Bongo Movie Shinyanga) na msanii Denice Sweya maarufu Dino kutoka Bongo Movie Dar es salaam.

Dino ameigiza na kuongoza Filamu hiyo ambayo imebeba maudhui kuhusu Ukatili wanaofanyiwa watu wenye Albinism nchini Tanzania huku watu mbalimbali wakitajwa kuhusika katika ukatili huo wakiwemo...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Filamu kupinga mauaji ya albino kuandaliwa

albinoNA JOHN MADUHU, MWANZA
WAIGIZAJI wa filamu nchini, wanatarajia kuungana katika filamu moja itakayokuwa ikipinga mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino).
Mwigizaji Jacob Steven ‘JB’, alizungumza na MTANZANIA hivi karibuni, wakati wa kongamano la amani lililoandaliwa na maaskofu na masheikh wa Mkoa wa Mwanza.
JB ambaye alikuwa ameongozana na wasanii wengine kama Mzee Majuto na Mrisho Mpoto, alisema mchakato wa kuandaa filamu hiyo umeanza.
“Tumeguswa na mauaji ya walemavu wa ngozi,...

 

10 years ago

Bongo Movies

Filamu ya 'Sio Dili' Inayoongelea Tatizo la Mauaji ya Albino Kuingia Sokoni

Kampuni ya K Films Production ya jijini Dar es Salaam inatarajia kuachia filamu kali na ya kusisimua ya Sio Dili inayoongelea tatizo la mauaju ya Albino Tanzania ambayo yanatikisa nchi nzima, akiongea na FC amesema kuwa sinema hiyo ni funzo.

“Filamu ya Sio Dili ni kazi yangu katika harakati za kupambana na mauaji ya Albino ambayo yanahusisha imani ya kishirikina ni kazi nzuri inayoelimisha jamii kuachana na imani potofu,”anasema Kinye Mkali.

Sinema hiyo inawashirikisha wasanii nyota kama...

 

10 years ago

GPL

10 years ago

Michuzi

WaTanzania wa Houston Texas kurekodi kipindi kuhusu mauaji ya Albino Tanzania

Timu ya Vijimambo ikishiriana na Kwanza Production inapenda kwanza kutoa pongezi kwa Watanzania Houston kwa jitihada zao za kupambana na mauaji ya ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi Pia inaandaa kipindi cha video kuongelea hili swala kwa mapana zaidi na kuangalia jinsi gani ya kukomesha mauaji haya ambayo yanaleta fedheha na aibu  ikiwemo ukiukaji wa haki za binadamu.
Kipindi kitarekodiwa siku ya Jumampili saa 8 mchana (2pm) mahali ni Extended Stay America chumba namba 224 anuani ni 2424 West...

 

10 years ago

Mwananchi

MAUAJI ALBINO: Albino: Adhabu ya kifo sawa

>Mbunge wa Lindi Mjini, Salum Barwany amemwomba Rais Jakaya Kikwete kusaini hukumu ya kunyongwa hadi kufa inayowakabili watu wanne waliopatikana na hatia ya kumuua mtu mwenye ulemavu wa ngozi.

 

5 years ago

Michuzi

LIGI KUBWA KABISA ZIMEREJEA HAPA MERIDIANBET–MUENDELEZO WA KUSISIMUA WA MSIMU WA SOKA, SASA MTANDAONI!

Mpira umerejea tena, mechi zinaendelea hapa Meridianbet!

Sasa Unaweza kufurahia ligi kubwa zaidi za soka barani Ulaya na tumekuwekea Odds kubwa kwa ajili yako mtandaoni. 
Sherehe za soka zinaendelea kama kawaida na unaweza kubashiri mechi zilizosalia za msimu huu kwa namna nyingine. 
Mechi zipo katika mpangilio ule ule ambao mechi za kawaida zilipaswa kuchezwa, tarehe zile zile, siku zile zile za wiki ambazo unazijua na kuzipenda, ni kazi kwako kufurahia mchezo unaoupenda mtandaoni ukiwa na...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA HABARI YAKAMILISHA UBORESHAJI TOVUTI YA WANANCHI, SASA IKO HEWANI


WIZARA ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kupitia Idara ya Habari- MAELEZO, imekamilisha kazi ya kuboresha Tovuti ya Wananchi na sasa iko hewani. Akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi za Wizara hiyo, Mkurugenzi wa MAELEZO Assah Mwambene,(Pichani) aliwataka wananchi kuitumia tovuti hiyo kupitia anuani ya www.wananchi.go.tz kuwasilisha hoja zao Serikalini ili ziweze kupatiwa majibu .
“Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kupitia Idara ya Habari- MAELEZO, imekamilisha...

 

10 years ago

Michuzi

FRORA MBASHA: DVD MPYA YA NIPE NGUVU YA KUSHIDA SASA IKO MADUKANI

Mungu amekuwa mwema kwangu tangia nilipomkubali kuwa mwokozi wangu na nguzo yangu. Nimeona Mungu akinishindia na magumu ninayopitia na niliyoyapitia katika maisha yangu. Nimeona Mungu huyu unayemwabudu kila siku akinivusha na kunitia moyo pale ninapoona akili yangukufikiri jinsi ya kutatua yale yaliyombele yangu. Mungu huyu ni waajabu kwangu, kaniwezesha katika uaandaji wa albamu hii mpya ya "NIPE NGUVU YA KUSHINDA". Nazidi kumshangaa Mungu huruma zake na fadhili zake kwangu - Flora Mbasha

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani