WaTanzania wa Houston Texas kurekodi kipindi kuhusu mauaji ya Albino Tanzania
Timu ya Vijimambo ikishiriana na Kwanza Production inapenda kwanza kutoa pongezi kwa Watanzania Houston kwa jitihada zao za kupambana na mauaji ya ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi Pia inaandaa kipindi cha video kuongelea hili swala kwa mapana zaidi na kuangalia jinsi gani ya kukomesha mauaji haya ambayo yanaleta fedheha na aibu ikiwemo ukiukaji wa haki za binadamu.
Kipindi kitarekodiwa siku ya Jumampili saa 8 mchana (2pm) mahali ni Extended Stay America chumba namba 224 anuani ni 2424 West...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboWATANZANIA HOUSTON MNAKARIBISHWA KUREKODI NA KUZUNGUMZIA MAUWAJI YA ALBINO TANZANIA
![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2013/11/DSC_9912.jpg)
Wadau kutoka New York wakirekodi kipindi kimoja wapo.
Wadau wa North Carolina wakiwa kwenye kipindi wakirekodi.
Timu ya Vijimambo ikishiriana na Kwanza Production inapenda kwanza kutoa pongezi kwa Watanzania Houston kwa jitihada zao za kupambana na mauawaji ya ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi na pia ingependa kuandaa kipindi cha video ya kuongelea hili swala kwa mapana zaidi na kuangalia jinsi gani ya kukomesha mauaji haya ambayo yanaleta fedheza na aibu ikiwemo ukiukaji wa haki za...
10 years ago
Vijimambo16 Mar
HOUSTON, TEXAS NAO WASEMA "IMETOSHA" MAUAJI YA ALBINO TANZANIA
Ephaim (kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Jenga siku ya Pazi Reunion iliyofanyika Houston. Jenga akiwa amevaa fulana yenye picha ya Albino ikiwa ni ishala ya kupinga mauaji ya ndugu zetu hao mabayo yametikisa Dunia hivi sasa.
10 years ago
Bongo528 Feb
Picha: Wasanii wa kike nchini waungana na kurekodi video ya wimbo ‘Simama Nami’ kupinga mauaji ya albino
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-wKvSDsDr0RE/VYnTVAJVwaI/AAAAAAAAOS0/VTJyHBbgYug/s72-c/Edmund1.jpg)
MSIBA HOUSTON, TEXAS NA TANZANIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-wKvSDsDr0RE/VYnTVAJVwaI/AAAAAAAAOS0/VTJyHBbgYug/s400/Edmund1.jpg)
Kwa masikitiko makubwa, tunasikitika kutangaza kifo cha mwanajumuiya mwenzetu Bw. Edmund Mushi.
Ndugu yetu Edmund amefikwa na mauti usiku wa kuamkia leo June 23, 2015 katika hospital ya Houston Northwest Medical Center alipokuwa amelazwa.
Tunatoa wito kwa wanajumuiya kuwa na subira katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo. Taarifa zaidi za hatua itakayofuata zitatolewa mara tu baada ya kumalizika kwa kikao cha wanandugu wa karibu baadaye...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-vQ8tM-JYLc0/VTTkXbtlebI/AAAAAAAHSGI/7SHPDIdQAqU/s72-c/unnamed%2B(74).jpg)
Semina ya Texas Karate Black Belts yafanyika Houston, Texas
![](http://3.bp.blogspot.com/-vQ8tM-JYLc0/VTTkXbtlebI/AAAAAAAHSGI/7SHPDIdQAqU/s1600/unnamed%2B(74).jpg)
Sensei Rumadha Fundi, ni mmoja ya wawakilishi wa Goju Ryu Jundokan, atayoiwakilisha Tanzania kwenye msafara huo.. Baada ya takriban...
10 years ago
VijimamboTexas Karate Black Belts Seminar Houston. Texas
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-wKvSDsDr0RE/VYnTVAJVwaI/AAAAAAAAOS0/VTJyHBbgYug/s72-c/Edmund1.jpg)
HARAMBEE YA MSIBA HOUSTON, TEXAS NA TANZANIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-wKvSDsDr0RE/VYnTVAJVwaI/AAAAAAAAOS0/VTJyHBbgYug/s400/Edmund1.jpg)
9423 Highway 6 Houston, TX 77083. Muda ni kuanzia saa 10 alasiri mpaka saa 2 jioni.
Kwa wale ambao hawataweza kufika ukumbini au waliokuwa nje ya mji wa Houston tunaomba msaada wa michango yenu katika accout...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/n7Vr5lDn5dE/default.jpg)
10 years ago
GPL20 Feb