WATANZANIA HOUSTON MNAKARIBISHWA KUREKODI NA KUZUNGUMZIA MAUWAJI YA ALBINO TANZANIA
Wadau kutoka New York wakirekodi kipindi kimoja wapo.
Wadau wa North Carolina wakiwa kwenye kipindi wakirekodi.
Timu ya Vijimambo ikishiriana na Kwanza Production inapenda kwanza kutoa pongezi kwa Watanzania Houston kwa jitihada zao za kupambana na mauawaji ya ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi na pia ingependa kuandaa kipindi cha video ya kuongelea hili swala kwa mapana zaidi na kuangalia jinsi gani ya kukomesha mauaji haya ambayo yanaleta fedheza na aibu ikiwemo ukiukaji wa haki za...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWaTanzania wa Houston Texas kurekodi kipindi kuhusu mauaji ya Albino Tanzania
Kipindi kitarekodiwa siku ya Jumampili saa 8 mchana (2pm) mahali ni Extended Stay America chumba namba 224 anuani ni 2424 West...
10 years ago
Vijimambo16 Mar
HOUSTON, TEXAS NAO WASEMA "IMETOSHA" MAUAJI YA ALBINO TANZANIA
Ephaim (kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Jenga siku ya Pazi Reunion iliyofanyika Houston. Jenga akiwa amevaa fulana yenye picha ya Albino ikiwa ni ishala ya kupinga mauaji ya ndugu zetu hao mabayo yametikisa Dunia hivi sasa.
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-N-Vrm5bX074/UwZlmn4ohaI/AAAAAAAFOcg/4-2MPVrsxdc/s72-c/unnamed+(69).jpg)
WATANZANIA MNAKARIBISHWA KUHUDHURIA IBADA NA SHEREHE YA KUSIMIKWA {ORDINATION} KWA NDUGU YETU MOSES SHONGA JIJINI LONDON
![](http://4.bp.blogspot.com/-N-Vrm5bX074/UwZlmn4ohaI/AAAAAAAFOcg/4-2MPVrsxdc/s1600/unnamed+(69).jpg)
Sherehe itaanza saa nane mchana (2.00pm) na kufuatia na sherehe pamoja na vyakula na vinywaji baada ya ibada. Nyote mnakaribishwa.
Anuani ni: St Anne’s Lutheran church St Mary at Hill church
Lovat lane Eastcheap London EC3R 8EE
Kituo cha karibu ni monument tube station.
Mnakaribishwa.
10 years ago
Bongo528 Feb
Picha: Wasanii wa kike nchini waungana na kurekodi video ya wimbo ‘Simama Nami’ kupinga mauaji ya albino
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/n7Vr5lDn5dE/default.jpg)
10 years ago
VijimamboMWANZA YALAANI MAUWAJI YA WATU WAWILI
Serikali mkoani Mwanza imelaani mauwaji yaliyofanywa na mfanyabiashara maarufu jijini humo Jumanne Mahende(J4) hivi karibuni katika eneo la Nyakato Sokoni katika Wilaya ya Ilemela mkoani humo.
Tamko hilo limetolewa na mkuu wa mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo wakati akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake mapema hivi leo, akitoa tamko hilo mbele ya waandishi wa habari, Mkuu wa mkoa wa Mwanza amesema sio kitendo kinacho kubalika wala kuhalalishwa na mtu yeyote...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-0mBuDM0BGuI/UzEAabnb9uI/AAAAAAAFWGI/RTL1qsQ5xb0/s72-c/images.jpg)
JUMUIYA YA WATANZANIA HOUSTON: MH. BALOZI LIBERATA MULAMULA KUWA MGENI RASMI KATIKA SHEREHE YA KUSIMIKA VIONGOZI WAPYA WA JUMUIYA.
![](http://2.bp.blogspot.com/-0mBuDM0BGuI/UzEAabnb9uI/AAAAAAAFWGI/RTL1qsQ5xb0/s1600/images.jpg)
Mheshimiwa Balozi wa Tanzania hapa US na Mexico, Mh.Liberata Mulamula ndiye atakaekuwa mgeni rasmi wa tukio hili la kihistoria katika jumuiya yetu ya Houston. Wote mnakaribishwa ili tusherekee na tuweke...
10 years ago
Mwananchi20 Feb
UCHAMBUZI: Watanzania tuna uwezo wa kuwalinda albino wasiteketee
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-wKvSDsDr0RE/VYnTVAJVwaI/AAAAAAAAOS0/VTJyHBbgYug/s72-c/Edmund1.jpg)
MSIBA HOUSTON, TEXAS NA TANZANIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-wKvSDsDr0RE/VYnTVAJVwaI/AAAAAAAAOS0/VTJyHBbgYug/s400/Edmund1.jpg)
Kwa masikitiko makubwa, tunasikitika kutangaza kifo cha mwanajumuiya mwenzetu Bw. Edmund Mushi.
Ndugu yetu Edmund amefikwa na mauti usiku wa kuamkia leo June 23, 2015 katika hospital ya Houston Northwest Medical Center alipokuwa amelazwa.
Tunatoa wito kwa wanajumuiya kuwa na subira katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo. Taarifa zaidi za hatua itakayofuata zitatolewa mara tu baada ya kumalizika kwa kikao cha wanandugu wa karibu baadaye...