Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWANZA YALAANI MAUWAJI YA WATU WAWILI

Na: Afisa habari- Mwanza.
Serikali mkoani Mwanza imelaani mauwaji yaliyofanywa na mfanyabiashara maarufu jijini humo Jumanne Mahende(J4) hivi karibuni katika eneo la Nyakato Sokoni katika Wilaya ya Ilemela mkoani humo.

Tamko hilo limetolewa na mkuu wa mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo wakati akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake mapema hivi leo, akitoa tamko hilo mbele ya waandishi wa habari, Mkuu wa mkoa wa Mwanza amesema sio kitendo kinacho kubalika wala kuhalalishwa na mtu yeyote...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

ajali yaua watu wawili na kujeruhi wawili mkoani lindi

Na Abdulaziz Ahmed, LindiWatu wawili wamekufa na wawili kujeruhiwa baada ya gari waliyokuwa wanasafiria kuacha njia na kupinduka katika kijiji cha Michenga, wilaya ya Ruangwa Ruangwa mkoani Lindi.Kamanda wa polisi wa mkoa wa Lindi, ACP Renatha Mzinga alisema gari hiyo aina ya Toyota Rava4 yenye namba za usaji T574CWC.Iliyokuwa inaendeshwa na Mohamed Mchalaganya(27) iliacha njia na kupinduka katika barabara ya Ruangwa-Nanganga, ilitokea jana saa 11.30 jioni.
Kamanda Mzinga aliwataja waliokufa...

 

10 years ago

Dewji Blog

THBUB yalaani mauaji na vitendo vya ukatili wa viungo vya watu wenye ulemavu wa ngozi!

1

Mtoto Mlemavu wa Ngozi (Albino) Adam Robert (13) wakati akiwa amelazwa hospitalini baada ya kujeruhiwa na kwa kukatwa mkono na kisha kunyofolewa Vidole sita vya mikono yote miwili,picha hii ilipigwa siku moja tu baada ya kufikishwa katika hospitali ya wilaya ya Geita. (Maktaba;Picha hii ilipigwa Oktoba 14 mwaka 2011).

Press Release_Albino Kukatwa Viungo by moblog

 

10 years ago

GPL

TAJIRI AWAPIGA RISASI WAWILI NA KUWAUA JIJINI MWANZA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Naibu Kamishna wa Polisi, Charles Mkumbo. Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia mkurugenzi wa kampuni ya mabasi ya J4 Express Juma Mahende mkazi wa Nyakato jijini Mwanza kwa tuhuma za kuwaua wakazi wawili wa jijini humo kwa kutumia bastola usiku wa kuamkia jana katika eneo la Nyakato Sokoni. Marehemu hao wawili wametambuliwa kuwa ni Ally Mohamed Abeid mkazi wa Igoma na Claude Sikalwanda...

 

9 years ago

BBCSwahili

Watu wawili wauawa Bujumbura

Watu wawili wameuawa katika mji mkuu wa Burundi, Bujumbura kufuatia makabiliano makali ya risasi Jumanne Usiku

 

9 years ago

BBCSwahili

Watu wawili wauawa Mandera

Watu wawili wamefariki na wengine watatu kujeruhiwa baada ya wanajeshi kufyatulia risasi gari moja mjini Mandera katika hali isiyoeleweka, ripoti zinasema.

 

10 years ago

Vijimambo

WATANZANIA HOUSTON MNAKARIBISHWA KUREKODI NA KUZUNGUMZIA MAUWAJI YA ALBINO TANZANIA


Wadau kutoka New York wakirekodi kipindi kimoja wapo.

Wadau wa North Carolina wakiwa kwenye kipindi wakirekodi.

Timu ya Vijimambo ikishiriana na Kwanza Production inapenda kwanza kutoa pongezi kwa Watanzania Houston kwa jitihada zao za kupambana na mauawaji ya ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi na pia ingependa kuandaa kipindi cha video ya kuongelea hili swala kwa mapana zaidi na kuangalia jinsi gani ya kukomesha mauaji haya ambayo yanaleta fedheza na aibu  ikiwemo ukiukaji wa haki za...

 

11 years ago

Habarileo

Ajali yaua watu wawili Bagamoyo

WATU wawili wamekufa na wengine wanne wamejeruhiwa baada ya magari waliyokuwa wakisafiria, kugongana eneo la Bwawani Kata ya Ubena Tarafa ya Chalinze wilayani Bagamoyo katika Mkoa wa Pwani.

 

10 years ago

GPL

WATOTO WAWILI WATEKETEA KWA MOTO KIJIJI CHA MBELA, MWANZA

Muonekano wa nyumba baada ya kibatari kulipuka na kupelekea watoto wawili wa familia moja kufaliki dunia wakiwa ndani ya nyumba hiyo leo kijiji cha Mbela Wilayani, Misungwi mkoa wa Mwanza. Mmoja ya watoto hao baada ya kuteketea kwa moto.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani