TAJIRI AWAPIGA RISASI WAWILI NA KUWAUA JIJINI MWANZA
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Naibu Kamishna wa Polisi, Charles Mkumbo. Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia mkurugenzi wa kampuni ya mabasi ya J4 Express Juma Mahende mkazi wa Nyakato jijini Mwanza kwa tuhuma za kuwaua wakazi wawili wa jijini humo kwa kutumia bastola usiku wa kuamkia jana katika eneo la Nyakato Sokoni. Marehemu hao wawili wametambuliwa kuwa ni Ally Mohamed Abeid mkazi wa Igoma na Claude Sikalwanda...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi02 Jul
Risasi zarindima jijini Mwanza
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nMkb-Djjb3d31H8i-xQqPjNe0DOE-qdPza2ujNCOBkjKvfJXujBzdj0OOT6T8CXwXK3Xf6IyfCIlYkHCJB922fMyaSVTOYZ2/BACKUWAZI.gif?width=650)
TAJIRI J4 MWANZA ABANWA
9 years ago
Raia Mwema02 Dec
Tajiri aidharau serikali Mwanza
KATIKA kitendo kinachoonyesha kuidharau serikali, mkazi wa Mtaa wa Nyasaka, Wilaya ya Ilemela mko
Mwandishi Wetu
9 years ago
Raia Mwema10 Dec
Tajiri apigwa ‘stop’ kuendelea na ujenzi Mwanza
HATIMAYE imebainika kuwa mmiliki wa majengo matatu ya gorofa yanayojengwa Nyasaka katika Halmasha
Mwandishi Wetu
10 years ago
Habarileo10 Apr
Wawili wafa kwa risasi
WATU wawili kati ya sita wanaoshikiliwa na polisi kwa tuhuma za mauaji ya watu mbalimbali wamekufa kutokana na majeraha ya risasi wakati wakijaribu kutoroka.
11 years ago
Tanzania Daima02 Jan
Wawili wafa kwa kupigwa risasi
WATU wawili wamefariki dunia kwa kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi baada ya kuvamia Tarafa ya Ingwe, Wilaya ya Tarime, Mkoa wa Mara. Kamanda wa Polisi Tarime na Rorya,...
11 years ago
Tanzania Daima06 Mar
Wavuvi wawili wauawa kwa risasi
WAVUVI wawili wilayani Mlele, Katavi wameuawa kwa kupigwa risasi na askari wa Game Reserve walipokuwa wakivua samaki ndani ya Hifadhi ya Pori la Akiba la Ugala na mwenzao mmoja kujeruhiwa ...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
WANACHAMA WAWILI WA CUF WAPIGWA RISASI ZANZIBAR
10 years ago
Mwananchi28 Oct
Majambazi yajeruhi polisi wawili kwa risasi