Wawili wafa kwa risasi
WATU wawili kati ya sita wanaoshikiliwa na polisi kwa tuhuma za mauaji ya watu mbalimbali wamekufa kutokana na majeraha ya risasi wakati wakijaribu kutoroka.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima02 Jan
Wawili wafa kwa kupigwa risasi
WATU wawili wamefariki dunia kwa kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi baada ya kuvamia Tarafa ya Ingwe, Wilaya ya Tarime, Mkoa wa Mara. Kamanda wa Polisi Tarime na Rorya,...
10 years ago
Habarileo27 Jan
Wawili wafa kwa kula uyoga
WATU wawili wa familia moja wamefariki dunia katika Kijiji cha Masyalele, Wilaya ya Nanyumbu Mkoa wa Mtwara baada ya kula uyoga unaosadikiwa kuwa sumu. Pia wengine wanne walazwa akiwamo mtoto wa miaka mitatu katika kituo cha afya cha Mangaka.
11 years ago
Mwananchi11 Aug
Wawili wafa kwa kuchomwa moto
10 years ago
BBCSwahili25 Aug
DRC: Watu wawili wafa kwa Ebola
5 years ago
CCM Blog10 Apr
WANAUME WAWILI WAFA KWA CORONA TANZANIA
![HABARI ZA HIVI PUNDE](https://ichef.bbci.co.uk/news/660/cpsprodpb/D626/production/_97722845_b464b65c-eaac-418d-acd3-6b97bf8ce4d3.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima06 Mar
Wavuvi wawili wauawa kwa risasi
WAVUVI wawili wilayani Mlele, Katavi wameuawa kwa kupigwa risasi na askari wa Game Reserve walipokuwa wakivua samaki ndani ya Hifadhi ya Pori la Akiba la Ugala na mwenzao mmoja kujeruhiwa ...
10 years ago
Mwananchi28 Oct
Majambazi yajeruhi polisi wawili kwa risasi
10 years ago
VijimamboMAJAMBAZI WAKIZUNGU WAWILI KUTOKA ITALI WAKIONA CHA MOTO KWA KUPIGWA NA RISASI
11 years ago
Tanzania Daima09 Jan
Wawili wafa mgodini
WATU wawili wamefariki dunia na mwingine kujeruhiwa baada ya kuporomoka na kuanguka ndani ya shimo la kuchimba dhahabu la Gokona la mgodi wa dhahabu wa North Mara uliopo katika Kijiji...