MAJAMBAZI WAKIZUNGU WAWILI KUTOKA ITALI WAKIONA CHA MOTO KWA KUPIGWA NA RISASI
SEHEMU YA KITI ALIPOKAA NA KUPIGWA RISASI,Habari zinasema kuwa polisi mkoani dar es salaam jana mchana walifanikiwa kuwatia mbaroni majambazi wawili ambao inasemekana ni raia wa italia baada ya kupora kiasi cha dola elfu kumi kwa mwananchi ndipo polisi walipoanza mapambano nao na hadi kuwatia nguvuni baada ya luwadhibiti na risasi.PICHA ZOTE KWA MSAADA WA http://jijiletublog.blogspot.com/
WAKIWA NJE YA APARTMENT YAO WALIKOKIMBILIA
GARI WALIYOTUMIA KUPORA
POLISI WAKIWATIA KWENYE GARI MARA BAADA...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima02 Jan
Wawili wafa kwa kupigwa risasi
WATU wawili wamefariki dunia kwa kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi baada ya kuvamia Tarafa ya Ingwe, Wilaya ya Tarime, Mkoa wa Mara. Kamanda wa Polisi Tarime na Rorya,...
10 years ago
Mwananchi28 Oct
Majambazi yajeruhi polisi wawili kwa risasi
10 years ago
Habarileo20 Jul
Madereva walevi wa mabasi wakiona cha moto
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA), imefungia kwa miezi sita leseni za udereva za madereva sita wa mabasi wa mkoani Arusha na kuwafikisha mahakamani kwa tuhuma ya ulevi.
10 years ago
Mwananchi19 Sep
Wauzaji mbolea Mbeya wakiona cha moto
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eHhH0wF8G5BCdUyK6QlOmW-Dtyr5x7Gd8uoh27csJ7JagI7-SdpExDIAhzYZqpzOt2BZZaKr4LrYlTR8KYODFqcLqwEYVYt7/MOTOMWANZA5.jpg?width=750)
WATOTO WAWILI WATEKETEA KWA MOTO KIJIJI CHA MBELA, MWANZA
11 years ago
Tanzania Daima19 Jun
Auawa kwa kupigwa risasi
MKAZI wa Kijiji cha Masuguru, Kata ya Masagala, wilayani Kishapu, Juma Masalu (25), ameuawa kwa kupigwa risasi baada ya kuingia katika mgodi wa Almasi unaomilikiwa na Wiliamson Diamond. Kaimu Kamanda...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/knSjhwKOr7vdk52AymDIq4KwyMPC8hRtJ6tmlceWsxX9ReLcKGizEWPvlmBR-iAkTQXE25mjt7Png72xHALIjtPRNXPHVrwh/marais.jpg)
MARAIS WALIOUAWA KWA KUPIGWA RISASI
11 years ago
Habarileo12 Feb
Wanandoa wauawa kwa kupigwa risasi
MUME na mke wakazi wa kijiji cha Ndurumo kilichomo ndani ya makazi ya kambi ya wakimbizi ya Katumba wilayani Mlele, mkoani Katavi, wameuawa kwa kufyatuliwa risasi za moto wakiwa wamelala nyumbani mwao na mtu ambaye hajaweza kufahamika.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9nG191KtIdhfGPiQDobepOIxwQgRLOx1YQOux4XJF1ENxTxAdBgcuL9TXKB0VkO-hpcIgeSjYobuZYJREhV*FpL7nTCjVAcP/FRONTUWAZI60.jpg?width=650)
ALIYEUAWA KWA KUPIGWA RISASI HUYU HAPA