Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ALIYEUAWA KWA KUPIGWA RISASI HUYU HAPA

Na Makongoro Oging’ YULE mahabusu aliyeuawa kwa kupigwa risasi kwenye uzio wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Desemba 31, mwaka huu jijini Dar ni huyu ambaye anaonekana sura vizuri ukurasa wa kwanza wa gazeti hili. Abdul Koroma baada ya kupigwa risasi. Anaitwa Abdul Koroma ni raia wa Siera Leone. Mpaka siku ya kifo chake alikuwa na miaka 33. Koroma aliuawa na askari magereza akijaribu kutoroka kesi ya madai ya kukutwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

DEREVA ALIYEUAWA KWA RISASI NA BOSI WAKE, ALIYESHUHUDIA ATOBOA SIRI

Na mwandishi wetu HAKUNA mauaji ya kikatili yaliyoacha machungu kwa ndugu na wananchi kama ya David Kalangula (36), dereva wa gari la kusafirisha mafuta ya petroli mikoani ambaye anadaiwa kupigwa risasi mbili na bosi wake aliyejulikana kwa jina la Hussein Jatta kwa madai ya kutokea kutoelewana kati yao. Marehemu David Kalangula enzi za uhai wake. Tukio hilo lililotetemesha nchi na kuacha gumzo kila mahali, lilijiri usiku wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Auawa kwa kupigwa risasi

MKAZI wa Kijiji cha Masuguru, Kata ya Masagala, wilayani Kishapu, Juma Masalu (25), ameuawa kwa kupigwa risasi baada ya kuingia katika mgodi wa Almasi unaomilikiwa na Wiliamson Diamond. Kaimu Kamanda...

 

11 years ago

Habarileo

Wanandoa wauawa kwa kupigwa risasi

MUME na mke wakazi wa kijiji cha Ndurumo kilichomo ndani ya makazi ya kambi ya wakimbizi ya Katumba wilayani Mlele, mkoani Katavi, wameuawa kwa kufyatuliwa risasi za moto wakiwa wamelala nyumbani mwao na mtu ambaye hajaweza kufahamika.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wawili wafa kwa kupigwa risasi

WATU wawili wamefariki dunia kwa kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi baada ya kuvamia Tarafa ya Ingwe, Wilaya ya Tarime, Mkoa wa Mara. Kamanda wa Polisi Tarime na Rorya,...

 

10 years ago

GPL

MARAIS WALIOUAWA KWA KUPIGWA RISASI

BAADA ya wiki iliyopita kuwaletea marais wa Afrika waliofia madarakani. Yaani walikuwa wakiongoza nchi zao wakakumbwa na mauti. Wiki hii tunawaletea marais waliouawa kwa kupigwa risasi wakiwa madarakani.

ABRAHAM Lincoln; alikuwa Rais wa 16 wa Marekani. Aliuawa mwaka 1865 jijini Washington kwa kupigwa risasi kichwani kwa nyuma na John Wilkes. Alikuwa amekaa na mkewe. Bastola iliyotumika inaitwa Deringer.

INDIRA...

 

10 years ago

Vijimambo

Mwanamke auawa kwa kupigwa risasi na polisi

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Geofrey Kamwela
Mwanamke mmoja mkazi wa Kijiji cha Iglansoni, ameuawa kwa kupigwa risasi kichwani kwa bahati mbaya na askari polisi waliokuwa katika jitihada za kumkamata mtuhumiwa wa ujambazi.

Aliyeuawa ni Joyce Maragabu (65), ambaye anadaiwa kupigwa risasi na askari hao waliokuwa wakijihami na kundi la watu waliotaka kuwavamia ili wasimkamate mhalifu.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Geofrey Kamwela, alisema askari hao walikuwa wanataka kumkamata, Nkida...

 

9 years ago

Mwananchi

Mfanyakazi wa Zantel auawa kwa kupigwa risasi

Meneja wa operesheni wa kampuni ya huduma za simu za mkononi ya Zantel, Gabriel Rafael ameuawa kwa kupigwa risasi na majambazi.

 

10 years ago

GPL

MEYA AUAWA KWA KUPIGWA RISASI NA MKEWE

Daniel Crespo enzi za uhai wake. MEYA wa Bell Gardens, California nchini Marekani, Daniel Crespo ameuawa jana kwa kupigwa risasi na mkewe nyumbani kwake. Crespo alipigwa risasi wakati wa mzozo baina yake na mkewe ambapo mtoto wao wa kiume mwenye miaka 19 alijaribu kuingilia na kusukumwa na baba yake ndipo mtuhumiwa alipofyatua risasi. Marehemu alipoteza maisha akiwa njiani kupelekwa katika hospitali iliyo karibu na nyumbani...

 

11 years ago

GPL

MFANYABIASHARA AUAWA KWA KUPIGWA RISASI MOMBASA, KENYA

Mwili wa marehemu Ahmed Bakhshuwein baada ya kupigwa risasi. Mfanyabiashara, Ahmed Bakhshuwein ameuawa kwa kupigwa risasi tatu kichwani akiwa kwenye gari eneo la Malindi, Mombasa karibu na Al-R azaak Stores nchini Kenya. CREDIT: Michuzi Issa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani