Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DEREVA ALIYEUAWA KWA RISASI NA BOSI WAKE, ALIYESHUHUDIA ATOBOA SIRI

Na mwandishi wetu HAKUNA mauaji ya kikatili yaliyoacha machungu kwa ndugu na wananchi kama ya David Kalangula (36), dereva wa gari la kusafirisha mafuta ya petroli mikoani ambaye anadaiwa kupigwa risasi mbili na bosi wake aliyejulikana kwa jina la Hussein Jatta kwa madai ya kutokea kutoelewana kati yao. Marehemu David Kalangula enzi za uhai wake. Tukio hilo lililotetemesha nchi na kuacha gumzo kila mahali, lilijiri usiku wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Maalim Seif atoboa siri za ushindi wake

Mgombea Urais kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema kuwa mara tu baada ya kura kuhesabiwa watayapata matokeo ya uchaguzi mkuu na kuyatangaza kabla hata tume ya uchaguzi kuyapata. Amesema wameandaa system ya […]

The post Maalim Seif atoboa siri za ushindi wake appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

GPL

ALIYEUAWA KWA KUPIGWA RISASI HUYU HAPA

Na Makongoro Oging’ YULE mahabusu aliyeuawa kwa kupigwa risasi kwenye uzio wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Desemba 31, mwaka huu jijini Dar ni huyu ambaye anaonekana sura vizuri ukurasa wa kwanza wa gazeti hili. Abdul Koroma baada ya kupigwa risasi. Anaitwa Abdul Koroma ni raia wa Siera Leone. Mpaka siku ya kifo chake alikuwa na miaka 33. Koroma aliuawa na askari magereza akijaribu kutoroka kesi ya madai ya kukutwa...

 

11 years ago

GPL

BOSI ALIVYONUSURIKA KUUAWA KWA RISASI

Na Mwandishi Wetu, Kahama INASIKITISHA! Watu wasiojulikana wamemshambulia kwa risasi na mapanga Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu, Geita, Juma Kimisha na msafara wake na kusababisha kiongozi huyo kukimbizwa Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Mwanza ili kuokoa uhai wake. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu, Geita, Juma Kimisha akiwa Hospitali ya Wilaya ya Kahama Kitengo cha Bima. Akizungumza kwa shida katika...

 

10 years ago

Habarileo

Dereva wa OCD ajiua kwa risasi

Thobias SedoyekaASKARI aliyekuwa dereva wa Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) Manyoni mkoani hapa, Aloyce Alibinus amejiua kwa kujipiga risasi mdomoni na kutokea kisogoni.

 

5 years ago

BBCSwahili

Joshna Maharaj: Mpishi maarifu atoboa siri kuwa hakuwa na uwezo wa kunusa harufu yoyote kwa miaka mitano

Joshna Maharaj anaeleza namna alivyoikabili hali hii kwa miaka, baada ya kupoteza uwezo wa kunusa.

 

11 years ago

GPL

HAUSIGELI ATOBOA SIRI

Stori: Haruni Sanchawa
NYUMAya pazia! Yule msichana Yusta Lucas (20) mwenyeji wa Mkoa wa Tabora ambaye alifika jijini Dar kufanya kazi ya u-hausigeli na kufanyiwa ukatili wa kutisha na bosi wake kisha habari zake kuandikwa, ametoa siri nzito, Uwazi limemegewa. Yusta Lucas akionyesha majeraha ya meno aliyong'atwa na bosi yake. Akizungumza kwa uchungu na gazeti hili akiwa wodini kwenye Hospitali ya Mkoa wa Kitabibu Kinondoni,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Zitto atoboa siri

MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe, amemlipua Mbunge wa Kishapu mkoani Shinyanga, Suleimani Nchambi (CCM), kuwa ni kati ya waliohusika kugawa rushwa y ash milioni...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Ofisa Usalama kizimbani kwa mauaji ya bosi wake


NA FURAHA OMARY
OFISA Usalama wa Taifa, Mohammed Kazembe, anayetuhumiwa kumuua bosi wake, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa shitaka la mauaji, akiwa hoi hajiwezi.
Kazembe (33), alifikishwa mahakamani hapo jana asubuhi, akiwa amebebwa na watu wawili huku mguu wake wa kushoto ukiwa umefungwa bandeji kutoka kwenye kisigino hadi ugokoni na mkononi alikuwa na njia ya kuwekea dripu ya maji.
Mshitakiwa huyo, mkazi wa Mwananyamala, ambaye hakuwa na uwezo wowote wa...

 

9 years ago

Habarileo

Pluijm atoboa siri Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Pluijm amesema siri kubwa ya kikosi chake kufanikiwa kuvunja mwiko wa kuifunga Mtibwa Sugar ilitokana na wachezaji wake kucheza kwa nidhamu ya kiufundi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani