Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATOTO WAWILI WATEKETEA KWA MOTO KIJIJI CHA MBELA, MWANZA

Muonekano wa nyumba baada ya kibatari kulipuka na kupelekea watoto wawili wa familia moja kufaliki dunia wakiwa ndani ya nyumba hiyo leo kijiji cha Mbela Wilayani, Misungwi mkoa wa Mwanza. Mmoja ya watoto hao baada ya kuteketea kwa moto.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Watoto wawili wateketea kwa moto

WATOTO wawili wa familia moja mjini Tabora, wamefariki dunia baada ya kuteketezwa kwa moto ndani ya nyumba walimokuwa wamelala. Tukio hilo lilitokea jana saa 1 asubuhi katika Mtaa wa Ulaya,...

 

9 years ago

Mwananchi

Bibi na wajukuu wawili wateketea kwa moto

Watu watatu wa familia moja wamefariki dunia wilayani Mbarali mkoani hapa baada ya nyumba yao ya nyasi walimokuwa wamelala, kuungua moto.

 

9 years ago

Mwananchi

Watoto wa familia moja wateketea kwa moto Mbeya

Watoto wawili wa familia moja wameteketea kwa moto huku mama yao akiungua sehemu kubwa ya mwili wake baada ya chumba walichokuwa wamelala kuungua kwa moto katika Mtaa wa Itiji jijini hapa usiku wa kuamkia leo.

 

9 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI ATOA ZAWADI ZA SIKUKUU YA KRISMASI KWA WATOTO WANAOISHI KWENYE KITUO CHA KUHUDUMIA WATOTO WA KIJIJI CHA MATUMAINI MKOANI DODOMA.

 Afisa Ustawi wa Jamii kutoka Sekretarieti ya Mkoa wa Dodoma Bi. Ziada Nkinda (Aliyebeba Mtoto) akikabidhi zawadi za siku kuu ya Noeli (Christmas) zilizotolewa na Mhe. Rais John Pombe Magufuli kwa watoto wanaoishi kwenye kituo cha kuhudumia watoto cha kijiji cha matumaini Mkoani Dodoma.Meneja wa kituo cha kuhudumia watoto cha kijiji cha matumaini kilichopo Dodoma  Padiri Vicent, kwa niaba ya watoto wa kituo hiko, akimshukuru Bi. ziada Nkinda kwa kukabidhi zawadi zilizotolewa na Mhe. Rais...

 

9 years ago

StarTV

Watoto wawili wafariki Dihombo Mvomero baada ya Nyumba kuteketea Kwa Moto

Watoto wawili wa familia moja wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa baada ya nyumba walimokuwa wakiishi kuteketea kwa moto katika kijiji cha Dihombo wilayani Mvomero mkoani Morogoro.

Tukio hilo limetokea  usiku wa kuamkia jana wakati watoto hao watatu wakiwa wamelala peke yao, mama yao mzazi akiwa ameenda kanisani.

Mmoja wa watoto hao aliwasha kibatari kwa lengo la kwenda kujisaidia lakini kwa bahati mbaya kibatari hicho kililipuka na moto kuanza kusambaa nyumba nzima.

Watoto waliofariki...

 

10 years ago

Mtanzania

Msikiti wa Mtambani wateketea kwa moto

Msikiti wa Mtambani ukiwaka moto

Msikiti wa Mtambani ukiwaka moto

Na Mwali Ibrahim, Dar es Salaam

MSIKITI wa Mtambani, uliopo Kinondoni, jijini Dar es Salaam umeteketea kwa moto.

Moto huo ulianza kuwaka kabla ya sala ya Magharibi katika sehemu ya madarasa ya Shule ya Msingi Mtambani, iliyopo katika majengo ya msikitini huo.

“Moto ulianza kuwaka katika eneo la mabweni ya wanafunzi yaliyopo katika shule hii, lakini kwa bahati nzuri juhudi kubwa zilifanywa ili kuokoa maisha yao.

“Ila kwa bahati mbaya vitu vyote vilivyokuwa...

 

10 years ago

GPL

MSIKITI WA HINDU DAR WATEKETEA KWA MOTO

Kikosi cha zima moto kikifanya juhudi za kuzima moto huo. Picha juu na chini ni sehemu ya chumba cha msikiti kilichoungua.…

 

10 years ago

Vijimambo

WATU SITA WATEKETEA KWA MOTO KIPUNGUNI, DAR

Watu sita wameuawa kwa moto baada ya nyumba inayomilikiwa na mzee David Mpili, kuteketea kwa moto huko Kipunguni Ukonga jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo Jumamosi Februari 7, 2015. Taarifa zinasema, familia hiyo ambayo ina uhusiano na waziri wa nchi ofisi ya rais kazi maalum, Profesa Mark Mwandosya iliokana na hitilafu ya umeme. profesa Mwandosya mwenyewe ni miongoni mwa wau waliofika kwenye eneo la tukio mapema leo hii Jumamosi, ili kuwapa pole na kujionea uharibifu na maafa...

 

9 years ago

Mwananchi

Watu tisa wa familia moja wateketea kwa moto Dar

Watu tisa wa familia moja wameteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo huko Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani