Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSIKITI WA HINDU DAR WATEKETEA KWA MOTO

Kikosi cha zima moto kikifanya juhudi za kuzima moto huo. Picha juu na chini ni sehemu ya chumba cha msikiti kilichoungua.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MSIKITI WA HINDU, DAR WANUSURIKA KUTEKETEA KWA MOTO

MSIKITI wa Hindu uliopo mtaa wa Kibasila eneo la Posta jijini Dar es Salaam, umenusurika kuteketea kwa moto baada ya kushika moto uliounguza baadhi ya vitu katika msikiti huo. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, chanzo cha moto huo ni hitilafu katika umeme.  

 

10 years ago

Mtanzania

Msikiti wa Mtambani wateketea kwa moto

Msikiti wa Mtambani ukiwaka moto

Msikiti wa Mtambani ukiwaka moto

Na Mwali Ibrahim, Dar es Salaam

MSIKITI wa Mtambani, uliopo Kinondoni, jijini Dar es Salaam umeteketea kwa moto.

Moto huo ulianza kuwaka kabla ya sala ya Magharibi katika sehemu ya madarasa ya Shule ya Msingi Mtambani, iliyopo katika majengo ya msikitini huo.

“Moto ulianza kuwaka katika eneo la mabweni ya wanafunzi yaliyopo katika shule hii, lakini kwa bahati nzuri juhudi kubwa zilifanywa ili kuokoa maisha yao.

“Ila kwa bahati mbaya vitu vyote vilivyokuwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Moto wateketeza msikiti wa Hindu

MOTO umezuka juzi maeneo ya Olimpio kata ya Upanga na kuteketeza jengo la msikiti wa dhahabu la hindu ulioko katika mtaa huo na kuunguza vitu mbalimbali vilivyomo ndani yake. Akizungumza...

 

10 years ago

Vijimambo

WATU SITA WATEKETEA KWA MOTO KIPUNGUNI, DAR

Watu sita wameuawa kwa moto baada ya nyumba inayomilikiwa na mzee David Mpili, kuteketea kwa moto huko Kipunguni Ukonga jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo Jumamosi Februari 7, 2015. Taarifa zinasema, familia hiyo ambayo ina uhusiano na waziri wa nchi ofisi ya rais kazi maalum, Profesa Mark Mwandosya iliokana na hitilafu ya umeme. profesa Mwandosya mwenyewe ni miongoni mwa wau waliofika kwenye eneo la tukio mapema leo hii Jumamosi, ili kuwapa pole na kujionea uharibifu na maafa...

 

9 years ago

Mwananchi

Watu tisa wa familia moja wateketea kwa moto Dar

Watu tisa wa familia moja wameteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo huko Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watoto wawili wateketea kwa moto

WATOTO wawili wa familia moja mjini Tabora, wamefariki dunia baada ya kuteketezwa kwa moto ndani ya nyumba walimokuwa wamelala. Tukio hilo lilitokea jana saa 1 asubuhi katika Mtaa wa Ulaya,...

 

9 years ago

Mwananchi

Bibi na wajukuu wawili wateketea kwa moto

Watu watatu wa familia moja wamefariki dunia wilayani Mbarali mkoani hapa baada ya nyumba yao ya nyasi walimokuwa wamelala, kuungua moto.

 

9 years ago

Mwananchi

Watoto wa familia moja wateketea kwa moto Mbeya

Watoto wawili wa familia moja wameteketea kwa moto huku mama yao akiungua sehemu kubwa ya mwili wake baada ya chumba walichokuwa wamelala kuungua kwa moto katika Mtaa wa Itiji jijini hapa usiku wa kuamkia leo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani