Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watu tisa wa familia moja wateketea kwa moto Dar

Watu tisa wa familia moja wameteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo huko Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Watoto wa familia moja wateketea kwa moto Mbeya

Watoto wawili wa familia moja wameteketea kwa moto huku mama yao akiungua sehemu kubwa ya mwili wake baada ya chumba walichokuwa wamelala kuungua kwa moto katika Mtaa wa Itiji jijini hapa usiku wa kuamkia leo.

 

9 years ago

Mtanzania

Nyumba yateketea kwa moto na kuua tisa wa familia moja

Pg 2NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

MOTO ulioteketeza nyumba na kuua watu tisa wa familia moja, umeacha simanzi baada ya kuelezwa kwamba mmoja wa waliopoteza maisha ni bibi aliyefariki akiwa amekumbatia wajukuu zake watatu na mama aliyemkumbatia mwanawe.

Katika tukio hilo lililotokea usiku wa kuamkia jana eneo la Buguruni Malapa, Ilala jijini Dar es Salaam, baba mwenye nyumba hiyo, Masoud Mattar, ndiye aliyesalimika kwa sababu alikuwa kazini.

Moto huo unadaiwa kutokea saa 9 usiku wa kuamkia...

 

10 years ago

Vijimambo

WATU SITA WATEKETEA KWA MOTO KIPUNGUNI, DAR

Watu sita wameuawa kwa moto baada ya nyumba inayomilikiwa na mzee David Mpili, kuteketea kwa moto huko Kipunguni Ukonga jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo Jumamosi Februari 7, 2015. Taarifa zinasema, familia hiyo ambayo ina uhusiano na waziri wa nchi ofisi ya rais kazi maalum, Profesa Mark Mwandosya iliokana na hitilafu ya umeme. profesa Mwandosya mwenyewe ni miongoni mwa wau waliofika kwenye eneo la tukio mapema leo hii Jumamosi, ili kuwapa pole na kujionea uharibifu na maafa...

 

9 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF AITEMBELEA NA KUIFARIJI FAMILIA ILIYOPOTEZA WATU TISA KATIKA AJALI YA MOTO BUGURUNI JIJINI DAR ES SALAAM

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akimsalimia na kumpa pole Bw. Massoud Matta aliyepoteza familia yake ya watu tisa akiwemo mkewe na watoto wake wanne kutokana na ajali ya moto iliyotokea Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akimsalimia na mmoja wa wanafamilia ya Bw. Massoud Matta aliyepoteza familia yake ya watu tisa akiwemo mkewe na watoto wake wanne kutokana na ajali ya moto iliyotokea...

 

10 years ago

GPL

MSIKITI WA HINDU DAR WATEKETEA KWA MOTO

Kikosi cha zima moto kikifanya juhudi za kuzima moto huo. Picha juu na chini ni sehemu ya chumba cha msikiti kilichoungua.…

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Wazanzibari 9 wa familia moja wafa kwa moto.

WATU tisa wa familia moja wenye asili ya Ziwani, Pemba wamekufa kwenye ajali ya moto ulioteketeza nyumba yao jijini Dar es Salaam, huku baba wa familia akinusurika kwa kuwa alikuwa amekwenda msikitini kuswali. Nyumba hiyo iliyoteketea […]

The post Wazanzibari 9 wa familia moja wafa kwa moto. appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AONGOZA MAELFU KATIKA MAZISHI YA WATU SITA WA FAMILIA MOJA WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA MOTO



 Baba wa watoto wawili waliokufa katika ajali ya moto, Emmanuel Mpila akiweka shada la maua katika kaburi la mmoja wa watoto wake, Pauline.
 Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akiweka shada la maua. Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akiweka shada la maua. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Mark Mwandosya akiweka shada la maua. Jaji Mkuu mstaafu, Agustino Ramadhani akiweka shada la maua.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

KwanzaJamii

WATU WANNE WA FAMILIA MOJA WAUAWA KWA KUKUTWA NA BHANGI

Familia ya wanne kuuawa Saudia kwa kupatikana na Hashish Utawala wa Saudi Arabia umeagiza kuuawa kwa watu wanne kutoka kwa familia moja kwa kosa la kumiliki dawa za kulevya. kaka hao waliokuwa katika makundi mawili waliuliwa Jumatatu katika mji wa Najran ulio kusini mashariki baada ya kuhukumiwa kwa kupokea kiasi kikubwa cha hashish. Mahakama ya taifa hilo imetoa adhabu za kifo kwa watu 17 katika wiki mbili zilizopita ikilinganishwa na 17 katika miezi sita ambayo imepita. Mwaka wa 2013...

 

10 years ago

GPL

MAKAMU WA RAIS, DK. BILAL AONGOZA MAMIA KWENYE MAZISHI YA WATU SITA WA FAMILIA MOJA DAR

Makamu wa Rais, Dk. Gharib Bilal akiweka shada la maua katika mojawapo ya makaburi ya wanafamilia. Mojawapo ya jeneza likishushwa kaburini.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani