Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nyumba yateketea kwa moto na kuua tisa wa familia moja

Pg 2NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

MOTO ulioteketeza nyumba na kuua watu tisa wa familia moja, umeacha simanzi baada ya kuelezwa kwamba mmoja wa waliopoteza maisha ni bibi aliyefariki akiwa amekumbatia wajukuu zake watatu na mama aliyemkumbatia mwanawe.

Katika tukio hilo lililotokea usiku wa kuamkia jana eneo la Buguruni Malapa, Ilala jijini Dar es Salaam, baba mwenye nyumba hiyo, Masoud Mattar, ndiye aliyesalimika kwa sababu alikuwa kazini.

Moto huo unadaiwa kutokea saa 9 usiku wa kuamkia...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

NYUMBA YA UNGUA MOTO NA KUUA WATOTO 7 WA FAMILIA MOJA BROOKLYN. NY



Chombo hiki ndiyo kilichosababisha nyumba kuungua moto na kuua watoto 7 Brooklyn New York watoto wa kike wa 3 na wakiume wa 4 wote ni wa familia moja wakiwa wame lala usiku na chombo hiki kukiacha kikiwa na moto baada ya kusahau kukizima. Chombo hiki utumiwa na Wajewish wakati wa kipindi cha Sabbath yani kama kwarezma kwa wakristo.Moto ulikuwa mkubwa na uliteketeza vitu vyote vya ndani na kwenye nyumba yenye paa 3na kuua watoto hao, Mama wa watoto alikimbia kupitia dirishani na mtoto mdogo...

 

9 years ago

Mwananchi

Watu tisa wa familia moja wateketea kwa moto Dar

Watu tisa wa familia moja wameteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo huko Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Mwananchi

Familia yateketea kwa moto Dar

Watu tisa wa familia moja wameteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo huko Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Familia yateketea kwa moto jijini Dar

 “Yesu tuokoe, Yesu tuokoe”. Ndiyo sauti ya mwisho iliyosikia toka kwenye nyumba ya vyumba vitatu na sebule iliyoteketea kwa moto na kusababisha watu sita wa familia moja kupoteza maisha, huku miili ya baba na mama wa familia hiyo ikikutwa pamoja imekumbatiana, ikiwa ni ishara ya kufa pamoja.

 

9 years ago

Mwananchi

Familia yateketea kwa moto ikiwa imeshikana chumbani

Watu tisa wa familia moja wameteketea kwa moto baada ya nyumba yao kuungua usiku wa kuamkia jana jijini Dar es Salaam, huku mashuhuda wakisema walikuta miili yao ikiwa imeshikana.

 

9 years ago

Bongo5

Nyumba ya Batuli yateketea kwa moto

Nyumba ya muigizaji wa filamu, Batuli imetekea kwa moto. Nyumba hiyo ipo maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. “Nilikuwa saluni najiandaa ili niende kwenye fainali za TMT ndipo nilipopigiwa simu na majirani majira ya saa tatu usiku kuwa nyumba yangu inaungua na imeteketea yote kwa moto,” Batuli aliiambia Clouds FM. “Iliniuma sana vitu […]

 

10 years ago

GPL

NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO KIJITONYAMA, DAR

Nyumba moja iliyopo eneo la Kijitonyama Mpakani 'A' jirani na Kituo cha Polisi Kijitonyama 'Mabatini' jijini Dar imeteketea kwa moto Septemba 14, 2014. Chanzo cha moto huo kinadaiwa kuwa ni kulipuka kwa mtungi wa gesi.

 

10 years ago

GPL

NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO MWANANYAMALA, DAR

Nyumba iliyoteketea kwa moto. Mashuhuda wa tukio wakitazama nyumba iliyoungua.…

 

11 years ago

GPL

NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO JIJINI MBEYA

Wakazi wa eneo la Makunguru jijini Mbeya wakiwa wamesimama nje nyumba iliopo kwenye eneo hilo ambayo imepatwa na dhahma ya kuungua moto na kuteketea kwa mali zote zilizokuwemo ndani ya nyumba hiyo, kutokana na kinachosadikiwa kuwa ni hitilafu ya umeme. Bado haijadhibitika mpaka sasa kama kuna mtu yeyote aliedhurika kwenye tukio hilo lililotokea mchana wa jana jijini humo.…
...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani