NYUMBA YA UNGUA MOTO NA KUUA WATOTO 7 WA FAMILIA MOJA BROOKLYN. NY
Chombo hiki ndiyo kilichosababisha nyumba kuungua moto na kuua watoto 7 Brooklyn New York watoto wa kike wa 3 na wakiume wa 4 wote ni wa familia moja wakiwa wame lala usiku na chombo hiki kukiacha kikiwa na moto baada ya kusahau kukizima. Chombo hiki utumiwa na Wajewish wakati wa kipindi cha Sabbath yani kama kwarezma kwa wakristo.Moto ulikuwa mkubwa na uliteketeza vitu vyote vya ndani na kwenye nyumba yenye paa 3na kuua watoto hao, Mama wa watoto alikimbia kupitia dirishani na mtoto mdogo...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania28 Aug
Nyumba yateketea kwa moto na kuua tisa wa familia moja
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
MOTO ulioteketeza nyumba na kuua watu tisa wa familia moja, umeacha simanzi baada ya kuelezwa kwamba mmoja wa waliopoteza maisha ni bibi aliyefariki akiwa amekumbatia wajukuu zake watatu na mama aliyemkumbatia mwanawe.
Katika tukio hilo lililotokea usiku wa kuamkia jana eneo la Buguruni Malapa, Ilala jijini Dar es Salaam, baba mwenye nyumba hiyo, Masoud Mattar, ndiye aliyesalimika kwa sababu alikuwa kazini.
Moto huo unadaiwa kutokea saa 9 usiku wa kuamkia...
10 years ago
Mwananchi06 Oct
Watoto wa familia moja wateketea kwa moto Mbeya
11 years ago
Mwananchi20 Feb
Nyumba 24 zachomwa moto wakituhumiwa kuua watu 5
10 years ago
Mzalendo Zanzibar29 Aug
Wazanzibari 9 wa familia moja wafa kwa moto.
WATU tisa wa familia moja wenye asili ya Ziwani, Pemba wamekufa kwenye ajali ya moto ulioteketeza nyumba yao jijini Dar es Salaam, huku baba wa familia akinusurika kwa kuwa alikuwa amekwenda msikitini kuswali. Nyumba hiyo iliyoteketea […]
The post Wazanzibari 9 wa familia moja wafa kwa moto. appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Mwananchi27 Aug
Watu tisa wa familia moja wateketea kwa moto Dar
11 years ago
GPL
WATOTO WAWILI FAMILIA MOJA WAFA PAMOJA
11 years ago
Habarileo12 Apr
Polisi waokoa watoto 4 wa familia moja waliotekwa
VITENDO vya utekaji nyara watu vimeibuka jijini Dar es Salaam baada ya watu watano wenye asili ya kiarabu kutekwa wakiwemo watoto wanne wa familia moja na baadaye kuokolewa na polisi.
10 years ago
Habarileo08 Sep
Watoto familia moja wafia majini wakivua samaki
WA T O T O wawili wa f a m i l i a moja wilayani hapa, wamekufa maji baada ya mtumbwi waliokuwa wakitumia kuvulia samaki, kugonga mwamba na kuzama katika Ziwa Victoria.
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS AONGOZA MAELFU KATIKA MAZISHI YA WATU SITA WA FAMILIA MOJA WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA MOTO
Baba wa watoto wawili waliokufa katika ajali ya moto, Emmanuel Mpila akiweka shada la maua katika kaburi la mmoja wa watoto wake, Pauline.