WATOTO WAWILI FAMILIA MOJA WAFA PAMOJA
![](http://api.ning.com:80/files/OQbVc*b-KB-HNobtAIqsVI6AZ54HftAAo0ushB7sw3fMtSuJX1AX*ZO1l*Y7xPoNcDuaw-s12RuGzU8Rsbi8VhKgcwOjvyta/wqtoto.jpg?width=650)
Stori: Juma Kapipi, Tabora INAUMA sana! Watoto wawili wa kiume wa familia moja, Daniel Paul (8) na mdogo wake, Emmanuel Paul (3), wamepoteza maisha wakiwa pamoja baada ya kuteketea kwa moto ndani ya nyumba. Miili ya watoto wawili, Daniel Paul na mdogo wake, Emmanuel Paul ikitolewa eneo la tukio. Katika tukio lililojiri majira ya saa 1:00 asubuhi, maeneo ya Mtaa wa Rufita, Mwanza-Road mjini hapa baada ya nyumba waliyokuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima10 Jan
Watatu wa familia moja wafa ajalini
WATU watatu wa familia moja wamefariki dunia baada ya pikipiki waliyokuwa wamepanda kugongwa na basi la Kampuni ya Mtei Express katika Kijiji cha Kisasida, nje kidogo ya Manispaa ya Singida....
9 years ago
Habarileo30 Sep
5 wa familia moja wafa kwa kukatwa mapanga
WATU watano wa familia moja akiwemo mtoto wa miezi tisa, wameuawa kwa kukatwa mapanga kutokana na ugomvi unaodaiwa kua wa mgogoro wa ardhi katika kijiji cha Kisesa katika Kata ya Bugarama, wilayani Maswa, Mkoani Simiyu.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar29 Aug
Wazanzibari 9 wa familia moja wafa kwa moto.
WATU tisa wa familia moja wenye asili ya Ziwani, Pemba wamekufa kwenye ajali ya moto ulioteketeza nyumba yao jijini Dar es Salaam, huku baba wa familia akinusurika kwa kuwa alikuwa amekwenda msikitini kuswali. Nyumba hiyo iliyoteketea […]
The post Wazanzibari 9 wa familia moja wafa kwa moto. appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Mwananchi05 Jan
Msaidizi wa IGP na familia yake wafa maji, basi laua wawili
9 years ago
BBCSwahili01 Jan
Familia Uchina zaruhusiwa watoto wawili
11 years ago
Habarileo12 Apr
Polisi waokoa watoto 4 wa familia moja waliotekwa
VITENDO vya utekaji nyara watu vimeibuka jijini Dar es Salaam baada ya watu watano wenye asili ya kiarabu kutekwa wakiwemo watoto wanne wa familia moja na baadaye kuokolewa na polisi.
9 years ago
Habarileo08 Sep
Watoto familia moja wafia majini wakivua samaki
WA T O T O wawili wa f a m i l i a moja wilayani hapa, wamekufa maji baada ya mtumbwi waliokuwa wakitumia kuvulia samaki, kugonga mwamba na kuzama katika Ziwa Victoria.
9 years ago
Mwananchi06 Oct
Watoto wa familia moja wateketea kwa moto Mbeya
10 years ago
Vijimambo22 Mar
NYUMBA YA UNGUA MOTO NA KUUA WATOTO 7 WA FAMILIA MOJA BROOKLYN. NY
![](http://ecx.images-amazon.com/images/I/41CeHuhTi3L._SX425_.jpg)
Chombo hiki ndiyo kilichosababisha nyumba kuungua moto na kuua watoto 7 Brooklyn New York watoto wa kike wa 3 na wakiume wa 4 wote ni wa familia moja wakiwa wame lala usiku na chombo hiki kukiacha kikiwa na moto baada ya kusahau kukizima. Chombo hiki utumiwa na Wajewish wakati wa kipindi cha Sabbath yani kama kwarezma kwa wakristo.
![](http://i.ytimg.com/vi/q4FGuLQDV_c/0.jpg)