Msaidizi wa IGP na familia yake wafa maji, basi laua wawili
Watu wanane akiwamo msaidizi wa Mkuu wa Jeshi la Polisi, Mkaguzi wa Polisi, Gerald Ryoba na familia yake wamekufa baada ya kusombwa na maji katika eneo la Kibaigwa wilayani Kongwa baada ya mvua kubwa iliyonyesha katika eneo hilo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo04 Jan
Uthibitisho wa ajali ya msaidizi wa IGP Mangu pamoja na familia yake.. (+Audio) #RIP
Huenda bado haijakufikia taarifa kuhusu ajali ya Askari mmoja ambaye ni msaidizi wa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Ernest Mangu, kilichonifikia ni taarifa kuhusu mazingira ya tukio la ajali hiyo. Hii ni nukuu ya sentensi ya Kamanda wa Polisi Dodoma >>> ‘Tulimpata mke wa mkaguzi wa Polisi, Gerard Rioba ambaye ni msaidizi wa IGP, […]
The post Uthibitisho wa ajali ya msaidizi wa IGP Mangu pamoja na familia yake.. (+Audio) #RIP appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
Mwananchi06 Feb
Basi laua wawili, kujeruhi 40
11 years ago
Habarileo06 Feb
Wawili wafa, 40 wajeruhiwa ajali ya basi
WATU wawili akiwemo mtoto wa miezi sita wamekufa na wengine 40 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani, iliyolihusisha basi la Zuberi katika eneo la Tumaini Nkuhi kwenye barabara kuu ya Singida - Dodoma.
10 years ago
Dewji Blog19 Feb
Basi la Kidia Express laua wawili Dodoma leo
Na Mwandishi wetu wa modewjiblog, Dodoma
Habari zilizotufikia kutoka Mkoani Dodoma: Basi la Kidia One Express lagongana na lori na kudaiwa kusababisha vifo vya watu wawili huku likijeruhi abiria kadhaa. Taarifa hiyo ilieleza kuwa ajali hiyo iliyotokea leo majira ya saa Saba mchana.
Taarifa kutoka chanzo cha ajali hizo zilieleza kuwa, ajali hiyo imetokea maeneo ya Mbande, njia ya kuelekea Dodoma kutoka Morogoro, ambapo basi la abiria la Kidia Express, limegongana na lori.
Imeelezwa kuwa,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OQbVc*b-KB-HNobtAIqsVI6AZ54HftAAo0ushB7sw3fMtSuJX1AX*ZO1l*Y7xPoNcDuaw-s12RuGzU8Rsbi8VhKgcwOjvyta/wqtoto.jpg?width=650)
WATOTO WAWILI FAMILIA MOJA WAFA PAMOJA
9 years ago
Global Publishers05 Jan
Watu 8 akiwemo Msaidizi wa IGP Wafariki Dunia Kwa Kusombwa na Maji Dodoma
Eneo la tukio, maaskari wakiukagua mwili wa marehemu.
Gari walilopata nalo ajali
WATU 8 wamefariki dunia katika ajali iliyosababishwa na gari kusombwa na maji huku watu 6 wakiwa wa familia moja.
Kwa mujibu wa Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma, Davidi Misime amesema majira ya saa tatu usiku Jumapili, wananchi wa Kibaigwa walitoa taarifa jeshi la polisi kwa madai kwamba kuna gari limesombwa na maji na limetumbukia katika mkondo wa maji.
Amesema baada ya jeshi kupata taarifa hizo polisi...
11 years ago
Tanzania Daima06 Jan
Wawili wafa maji Dar
MWANAFUNZI wa kidato cha tano katika Shule ya Sekondari Galanos, mkoani Tanga, Abdulrazaki Mziray (19), amekufa maji wakati akiogelea. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Englibert Kiondo, alisema tukio hilo...
11 years ago
Dewji Blog01 Jul
Basi la Lushanga laua mmoja na kujeruhi wawili Sengerema, Picha na habari ziko hapa!
Kijana ambaye ni dereva wa toroli la miguu minne jina lake halikuweza kupatikana mara moja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 32 amefariki dunia papo hapo na kupasuka Kichwa baada ya kugongwa na basi la abiria lililokuwa likitokea mkoa wa Geita kuelekea jijini Mwanza kwenye makutano ya barabara ya Kamanga na Busisi wilayani Sengerema mkoani Mwanza. Kijana huyo pia alikuwa akiendesha Pikipiki bila kuvaa “Helmet” huenda ingemsaidia asipasuke Kichwa.(Picha na Zainul Mzige).
Na MOblog,...
9 years ago
Mwananchi06 Jan
Dodoma wamuaga polisi aliyekufa maji na familia yake