Wawili wafa, 40 wajeruhiwa ajali ya basi
WATU wawili akiwemo mtoto wa miezi sita wamekufa na wengine 40 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani, iliyolihusisha basi la Zuberi katika eneo la Tumaini Nkuhi kwenye barabara kuu ya Singida - Dodoma.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog22 Aug
Wawili wapoteza maisha na 52 wajeruhiwa ajali ya basi Singida
Askari wa usalama barabarani wilaya ya Ikungi, akikagua basi la kampuni ya KISBO, T.534 CHX baada ya kupinduka katika eneo la kijiji cha Kambi ya mkaa kata ya Issuna wilaya ya Ikungi na kusababisha vifo vya watu wawili na kujeruhi wengine 52.
Na Nathaniel Limu, Singida
ABIRIA wawili wamefariki dunia na wengine 52 kujeruhiwa vibaya baada ya basi walilokuwa wakisafiria kupasuka tairi la mbele kulia na kuacha barabara na kisha kupinduka.
Basi lililohusika na ajali hiyo ni T.534 CHX aina ya...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jan
Wawili wafa, wengine wajeruhiwa
WATU wawili wamefariki dunia akiwamo mtoto na wengine kujeruhiwa kwa mapanga katika matukio tofauti yaliyotokea katika Wilaya za Tarime na Rorya mkoani Mara. Akielezea matukio hayo jana, Kaimu Kamanda wa...
10 years ago
Habarileo13 Jun
Sita wafa katika ajali, 45 wajeruhiwa Singida
WATU sita wamekufa na wengine 45 kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti za barabarani zilizotokea juzi na jana mkoani Singida.
11 years ago
Mwananchi13 Dec
Watu 11 wafariki ajali ya basi, 55 wajeruhiwa
10 years ago
Mwananchi13 Nov
Ajali ya basi yaua wanne, wengine 40 wajeruhiwa
9 years ago
Mwananchi05 Jan
Msaidizi wa IGP na familia yake wafa maji, basi laua wawili
9 years ago
StarTV21 Dec
Ajali ya basi igunga Mtu mmoja afariki, 38 wajeruhiwa
Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 38 kujeruhiwa baada ya Basi la Allys Coach lenye namba za usajili T 560 AKM lililokuwa likitokea Igunga kuelekea Mwanza kuyumba na kuanguka katika kijiji cha Igogo kata ya Nanga wilayani Igunga Mkoani Tabora.
Ajali hiyo imetokea majira ya saa 12 na nusu asubuhi na chanzo chake kikidaiwa kuwa ni mwendo kasi wa dereva kutaka kulipita gari la mizigo.
Ajali hizi zimekuwa zikigharimu maisha ya watu na wengine kuwaachia ulemavu wa kudumu,sababu zikielezwa ni...
9 years ago
Habarileo11 Nov
Watoto wafa katika ajali ya basi
WATOTO wawili wamekufa papo hapo na watu wengine 53 wamejeruhiwa vibaya baada ya basi walilokuwa wanasafiria kuacha njia na kupinduka kijiji cha Pida, wilaya ya Butiama mkoani Mara.
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-eAs32y6M0bU/U9kzuOOIuEI/AAAAAAAF76E/IS2iYZVMgdc/s72-c/unnamed+(8).jpg)
17 wapoteza maisha na 56 wajeruhiwa katika ajali ya basi la morobest dodoma
![](http://1.bp.blogspot.com/-eAs32y6M0bU/U9kzuOOIuEI/AAAAAAAF76E/IS2iYZVMgdc/s1600/unnamed+(8).jpg)