Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watoto wafa katika ajali ya basi

WATOTO wawili wamekufa papo hapo na watu wengine 53 wamejeruhiwa vibaya baada ya basi walilokuwa wanasafiria kuacha njia na kupinduka kijiji cha Pida, wilaya ya Butiama mkoani Mara.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wawili wafa, 40 wajeruhiwa ajali ya basi

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Geofrey KamwelaWATU wawili akiwemo mtoto wa miezi sita wamekufa na wengine 40 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani, iliyolihusisha basi la Zuberi katika eneo la Tumaini Nkuhi kwenye barabara kuu ya Singida - Dodoma.

 

9 years ago

Habarileo

12 wafa katika ajali

ABIRIA 12 wamefariki dunia na wengine 28 kujeruhiwa, wengine vibaya, baada ya basi walilopanda, mali ya kampuni ya New Force lililokuwa likitokea Dar es Salaam kulekea Tunduma Mbeya kugongana na roli lililokuwa likitokea Mafinga mkoani Iringa likielekea Dar es Salaam.

 

10 years ago

Dewji Blog

135 wafa katika ajali Singida

DSC01646

Kamanda wa Jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP, Thobias Sedoyeka ,akitoa taarifa ya utendaji kazi mkoani Singida kwa kipindi cha kuanzia Januari hadi Septemba mwaka huu.

DSC01655

DSC01658

Baadhi ya waandishi wa habari na askari polisi waliohudhuria hafla ya kamanda wa polisi mkoa wa Singida kwa ajili ya kutoa taarifa ya utendaji kazi kwa kipindi cha miezi tisa.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Singida

JUMLA ya ajali 89 za barabarani, zimetokea mkoani hapa na kusababisha vifo vya watu 135...

 

10 years ago

Habarileo

Sita wafa katika ajali, 45 wajeruhiwa Singida

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Thobias SedoyekaWATU sita wamekufa na wengine 45 kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti za barabarani zilizotokea juzi na jana mkoani Singida.

 

9 years ago

Mwananchi

Filikunjombe, rubani makada CCM wafa katika ajali ya helikopta

Mgombea ubunge jimbo la Ludewa kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Deogratius Filikunjombe, rubani na abiria wengine wote wamekufa baada ya helkopta kuanguka na kuteketea katika hifadhi Selou.

 

10 years ago

GPL

VIFO KATIKA AJALI YA BASI NA FUSO MORO VYAONGEZEKA

IDADI ya vifo vilivyosababishwa na ajali ya basi la Nganga baada ya kugongana uso kwa uso na fuso kisha kuteketea moto jana katika eneo la Iyovi, Ruaha wilayani Kilosa katika barabara ya Morogoro - Iringa imeongezeka na kufikia watu 19. Kamanda wa Polisi Mkoa wa morogoro, Lenard Paul amesema hadi sasa miili sita imetambaulika na mingine bado haijatambulika kutokana na kuharibika vibaya. ...

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA MAJERUHI KATIKA AJALI YA BASI LA BURUDANI, KOROGWE

Hospitali ya wilaya ya Korogwe. Majeruhi wakipatiwa matibabu. Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo ( kushoto)…

 

10 years ago

GPL

WAWILI WAFARIKI KATIKA AJALI YA BASI NA LORI RUAHA

WATU kadhaa wanasemekana wamekufa leo asubuhi baada ya basi la Nganga kugongana uso kwa uso na lori aina ya Fuso maeneo ya mlimani kilometa kadhaa kutoka Ruaha-Mbuyuni katika barabara ya Iringa-Morogoro ambapo magari yote mawili yameteketea kwa moto.   Habari kutoka eneo la tukio zinasema kwamba mmoja wa watu waliofariki ni dereva wa Fuso ambao wanasemekana waliteketea kwa moto huo ulioyaharibu magari… ...

 

10 years ago

GPL

WATU KADHAA WAFARIKI KATIKA AJALI YA BASI KAHAMA

WATU kadhaa wamepoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa asubuhi hii kwenye ajali ya basi la Wibonela lililokuwa likitoka Kahama kwenda Dar lililopinduka eneo la kona ya Phantom, Kahama. Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi uliopelekea dereva wa basi kushindwa kulimudu lilipofika kwenye kona ya Phantom na kupelekea kuingia mtaroni na kupinduka. Idadi kamili ya waliopoteza maisha na majeruhi kwenye ajali hiyo bado...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani