135 wafa katika ajali Singida
Kamanda wa Jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP, Thobias Sedoyeka ,akitoa taarifa ya utendaji kazi mkoani Singida kwa kipindi cha kuanzia Januari hadi Septemba mwaka huu.
Baadhi ya waandishi wa habari na askari polisi waliohudhuria hafla ya kamanda wa polisi mkoa wa Singida kwa ajili ya kutoa taarifa ya utendaji kazi kwa kipindi cha miezi tisa.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
JUMLA ya ajali 89 za barabarani, zimetokea mkoani hapa na kusababisha vifo vya watu 135...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo13 Jun
Sita wafa katika ajali, 45 wajeruhiwa Singida
WATU sita wamekufa na wengine 45 kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti za barabarani zilizotokea juzi na jana mkoani Singida.
10 years ago
Dewji Blog04 Dec
Watu wawili wafa papo hapo katika ajali mkoani Singida baada ya bajaj kugongwa na Fuso
Kamanda wa Jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP, Thobias Sedoyeka akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani).
Na Nathaniel Limu, Singida
Watu wawili wamefariki dunia katika ajali mkoani Singida,baada ya bajaj waliokuwa wakisafiria kugongwa na gari aina mitsubishi fuso lenye namba za usajili T.641 AVA lililokuwa likiendeshwa na Modest Kisaka (27) mkazi wa Mughanga manispaa ya Singida.
Watu hao ni pamoja na derive wa bajaj hiyo yenye namba za usajili MC 866 ABW aina ya YVS, Thadei...
11 years ago
Dewji Blog11 Sep
Ajali yaua askari Magereza mkoa wa Singida, wengine watatu wafa kwenye matukio tofauti
Askari Magereza Ramadhan Mussa (54) enzi za uhai wake.
Na Hillary Shoo, SINGIDA.
WATU wanne wamefariki dunia Mkoani Singida katika matukio tofauti likiwemo la askari magereza mmoja wa Mkoa wa Singida kufa baada ya kupata ajali mbaya ya gari lake dogo kugongana uso kwa uso na lori usiku.
Kamanda wa polisi Mkoani hapa Geofrey Kamwela alisema askari magereza wa huyo ametambuliwa kuwa ni Staff Sagenti Ramadhan Mussa (54) alikufa papo hapo baada ya gari lake alilokuwa akiendesha kuacha njia na...
9 years ago
Habarileo19 Dec
12 wafa katika ajali
ABIRIA 12 wamefariki dunia na wengine 28 kujeruhiwa, wengine vibaya, baada ya basi walilopanda, mali ya kampuni ya New Force lililokuwa likitokea Dar es Salaam kulekea Tunduma Mbeya kugongana na roli lililokuwa likitokea Mafinga mkoani Iringa likielekea Dar es Salaam.
11 years ago
Dewji Blog02 Jul
Watano wafa katika matukio tofauti Singida
Kamanda wa polisi Mkoa wa Singida, SACP, Geofrey Kamwela.
Na Mwandishi wetu, Singida
Watu watano wakiwemo watatu wa familia moja,wameuawa katika matukio tofauti,likiwemo la wanafamilia hao kukatwa katwa kwa mapanga sehemu mbalimbali za miiili yao na watu wasiofahamika.
Tukio hilo la mauaji lililowahusisha wanandoa hao lilitokea siku tano baada ya kuuawa kikatili kwa wanandoa wengine wawili,Bwana Ramadhan Lyanga (80) na Bi Aziza Ali (62) wakazi wa wilayani Iramba.
Akielezea matukio hayo,...
9 years ago
Habarileo11 Nov
Watoto wafa katika ajali ya basi
WATOTO wawili wamekufa papo hapo na watu wengine 53 wamejeruhiwa vibaya baada ya basi walilokuwa wanasafiria kuacha njia na kupinduka kijiji cha Pida, wilaya ya Butiama mkoani Mara.
10 years ago
Mwananchi16 Oct
Filikunjombe, rubani makada CCM wafa katika ajali ya helikopta
11 years ago
GPL
13 WAFARIKI KATIKA AJALI ISUNA, SINGIDA
11 years ago
GPL
WATU 14 WAFARIKI KATIKA AJALI MKOANI SINGIDA USIKU HUU