13 WAFARIKI KATIKA AJALI ISUNA, SINGIDA
![](http://api.ning.com:80/files/bdOTGlbNKtq64PAXgCPuOI-UOSt0nl2Jb5TM1ZMgp6aRHVOOGUgGPNczP1moW5nIvyCJNOyCbC9KweSO33W2UnOmp2P2edXI/13.gif)
Habari zilizotufikia sasa hivi kutoka Singida zinasema watu 13 wamefariki dunia baada ya kutokea ajali ya magari mawili kugongana uso kwa uso eneo la Isuna mkoani humo. Habari zinasema ajali hiyo ilihusisha gari aina ya Toyota Noah na lori ambayo namba zake za usajili hazikupatikana mara moja. Watu 13 waliofariki walikuwa katika Noah iliyokuwa ikitokea Itigi na maiti zao zimehifadhiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Singida. ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mL7vEimd6q0V4XgPSL*zSekycJ5Ar3UOfug1rLRjM*Rfoyff51eW6fIRz70ej2CGjxgc5uh*5N4L*APJQd47bxqLVQuRf30C/BREAKINGNEWS.gif)
WATU 14 WAFARIKI KATIKA AJALI MKOANI SINGIDA USIKU HUU
10 years ago
Mwananchi18 Apr
Watu 38 wafariki katika ajali
11 years ago
BBCSwahili23 Apr
63 wafariki katika ajali ya treni DRC
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/ajali-mbeya-1.jpg)
WAWILI WAFARIKI KATIKA AJALI IRINGA
10 years ago
BBCSwahili05 Sep
Watu 36 wafariki katika ajali Tanzania
11 years ago
Dewji Blog13 Jul
Watu wanne wafariki dunia katika matukio tofauti Singida
Kamanda wa polisi mkoa wa Singida, SACP, Geofrey Kamwela.
Na Nathaniel Limu, Singida
WATU wanne mkoani Singida wamefariki dunia katika matukio tofauti,likiwemo la mwanafunzi wa kidato cha kwanza sekondari ya Eldersgate Manyara kujinyonga kwa kutumia kamba ya manila.
Kamanda wa polisi mkoa wa Singida, SACP, Geofrey Kamwela,alisema kuwa mwanafunzi huyo Uswile Lazaro (15) mkazi wa kijiji cha Ulemo tarafa ya Kinampanda wilaya ya Iramba,amejinyinga juzi jioni huko katika kijiji cha...
10 years ago
Dewji Blog05 Sep
Watatu wafariki dunia katika matukio tofauti mkoani Singida
Kamanda wa jeshi la polisi mkoani Singida, SACP Geofrey Kamwela.
Na Nathaniel Limu, Singida
WATU watatu mkoani Singida, wamefariki dunia katika matukio tofauti likiwemo la mkulima moja kupigwa vibaya na askari mgambo akituhumiwa kuvunja mlango wa ofisi ya afisa mtendaji wa kijiji.
Kamanda wa jeshi la polisi mkoani Singida, SACP Geofrey Kamwela alisema katika tukio la kwanza,mkulima mkazi wa kijiji cha Milade tarafa ya Kinyangiri wilaya ya Mkalama,Salum Abrahamani (42) amefariki dunia...
9 years ago
BBCSwahili21 Nov
Watu 7 wafariki katika ajali ya ndege N Zealand
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/iRGkQSu08cuF3qInhReyuht5Eors1Od90bxtd8kEuiotnZnzw3eWvrb4LY5oaAUD9SI*5ehVVuVVxKYhOyK7Ph03vrWqAM1P/IMG20140905WA0000.jpg?width=650)
WATU ZAIDI YA 36 WAFARIKI KATIKA AJALI MUSOMA