Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAWILI WAFARIKI KATIKA AJALI IRINGA

Gari aina ya Toyota Harrier likitolewa eneo la ajali. Wananchi wakishuhudia gari hilo wakati likiondolewa eneo la ajali. Wanausalama wakiwa eneo la ajali. Toyota Harrier…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WAWILI WAFARIKI KATIKA AJALI YA BASI NA LORI RUAHA

WATU kadhaa wanasemekana wamekufa leo asubuhi baada ya basi la Nganga kugongana uso kwa uso na lori aina ya Fuso maeneo ya mlimani kilometa kadhaa kutoka Ruaha-Mbuyuni katika barabara ya Iringa-Morogoro ambapo magari yote mawili yameteketea kwa moto.   Habari kutoka eneo la tukio zinasema kwamba mmoja wa watu waliofariki ni dereva wa Fuso ambao wanasemekana waliteketea kwa moto huo ulioyaharibu magari… ...

 

9 years ago

Michuzi

WAWILI WAFARIKI DUNIA PAPO HAPO LEO MKOANI IRINGA.

WATU wawili wamefariki dunia Papo hapo baada ya Gari walilokuwa wakisafiria lililobeba Magazeti ya Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti kwenda mkoani mkoani Mbeya kupata ajali Eneo la Kitonga Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa.

Ajali hiyo imetokea leo alfajiri baada ya dereva wa Gari hilo kujinusuru kugongana uso kwa uso na gari jingine, hivyo kulazimika kuingia nyuma ya lori na kupelekea kifo chao.
Kwa mujibu wa Wakala Afisa mauzo wa magazeti ya Mwananchi Mkoa wa Iringa Alex Kadea ambae alifika...

 

10 years ago

Mwananchi

Watu 38 wafariki katika ajali

Kahama/Mbeya. Msiba mwingine mzito umelikumba taifa baada ya watu 38 kupoteza maisha katika matukio mawili tofauti, likiwamo la ajali ya basi dogo aina ya Toyota Hiace iliyoua watu 19 wakati ikifanya safari ya wizi mkoani Mbeya.

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu 36 wafariki katika ajali Tanzania

Takriban Watu 36 wamefariki na wengine 79 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari matatu eneo la Saba Saba wilaya ya Butiama

 

11 years ago

GPL

13 WAFARIKI KATIKA AJALI ISUNA, SINGIDA

Habari zilizotufikia sasa hivi kutoka Singida zinasema watu 13 wamefariki dunia baada ya kutokea ajali ya magari mawili kugongana uso kwa uso eneo la Isuna mkoani humo. Habari zinasema ajali hiyo ilihusisha gari aina ya Toyota Noah na lori ambayo namba zake za usajili hazikupatikana mara moja. Watu 13 waliofariki walikuwa katika Noah iliyokuwa ikitokea Itigi na maiti zao zimehifadhiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Singida.  ...

 

11 years ago

BBCSwahili

63 wafariki katika ajali ya treni DRC

Takriban watu 63 wamefariki baada ya treni iliyokuwa imewabeba kupoteza mwelekeo Kusini Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Watu 7 wafariki katika ajali ya ndege N Zealand

Polisi wa New Zealand wanasema kuwa watu wote saba walioabiri ndege iloanguka katika kisiwa cha South Island wamefariki.

 

10 years ago

GPL

WATU ZAIDI YA 36 WAFARIKI KATIKA AJALI MUSOMA

Miili na majeruhi wakipokelewa katika Hospitali ya mkoa wa Mara. ...Baadhi ya maiti zikiwa zimefunikwa.…

 

10 years ago

GPL

WATU KADHAA WAFARIKI KATIKA AJALI YA BASI KAHAMA

WATU kadhaa wamepoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa asubuhi hii kwenye ajali ya basi la Wibonela lililokuwa likitoka Kahama kwenda Dar lililopinduka eneo la kona ya Phantom, Kahama. Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi uliopelekea dereva wa basi kushindwa kulimudu lilipofika kwenye kona ya Phantom na kupelekea kuingia mtaroni na kupinduka. Idadi kamili ya waliopoteza maisha na majeruhi kwenye ajali hiyo bado...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani