Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAWILI WAFARIKI KATIKA AJALI YA BASI NA LORI RUAHA

WATU kadhaa wanasemekana wamekufa leo asubuhi baada ya basi la Nganga kugongana uso kwa uso na lori aina ya Fuso maeneo ya mlimani kilometa kadhaa kutoka Ruaha-Mbuyuni katika barabara ya Iringa-Morogoro ambapo magari yote mawili yameteketea kwa moto.   Habari kutoka eneo la tukio zinasema kwamba mmoja wa watu waliofariki ni dereva wa Fuso ambao wanasemekana waliteketea kwa moto huo ulioyaharibu magari… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

ajali ya basi la abiria na lori la Fuso Ruaha Mbuyuni leo

Habari zilizotufikia punde zinasema watu kadhaa ambao idadi yao bado haijafahamika wanasemekana wamepoteza maisha baada ya basi la abiria liitwalo Nganga linalofanya safari zake kati ya Iringa na Kilombero kugongana uso kwa  uso na lori aina ya Fuso na kisha magari hayo kuteketea kwa moto  maeneo ya milimani kilomita  kadhaa kutoka Ruaha Mbuyuni kuelekea Morogoro, majira ya saa mbili asubuhi leo. Pichani ni basi hilo la Nganga wakati na bada ya kuteketea kwa moto. Picha ya Fuzo bado...

 

10 years ago

Vijimambo

WATU 10 WAFARIKI NA WENGINE ZAIDI YA 40 WAJERUHIWA KWENYE AJALI YA BASI LA UNIQUE NA LORI MKOANI SHINYANGA

 Winchi likinyanyua basi baada ya ajali ambapo watu 10 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 40 kujeruhiwa kutokana na ajali ya basi la Unique na lori kugongana uso kwa uso  mkoani Shinyanga leo. Zoezi la kunyanyua mabaki ya basi hilo likiendeleaWinchi likiwa kazini huku wanahabari wkirekodi tukio la kunyanyuliwa basi hilo.

CHANZO: MICHUZI BLOG

 

9 years ago

GPL

WAWILI WAFARIKI KATIKA AJALI IRINGA

Gari aina ya Toyota Harrier likitolewa eneo la ajali. Wananchi wakishuhudia gari hilo wakati likiondolewa eneo la ajali. Wanausalama wakiwa eneo la ajali. Toyota Harrier…

 

10 years ago

Michuzi

WATU WAWILI WAMEFARIKI DUNIA PAPO HAPO BAADA YA AJALI YA BASI KUGONGANA USO KWA USO NA LORI

Na: Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma
Watu wawili wamefariki dunia papo hapo katika ajali ya Basi kugongana na Lori ajali iliyotokea tarehe 19/02/2015 majira ya saa 13:15hrs huko eneo la Vikonje Kata ya Mtumba Barabara ya Dodoma – Morogoro.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema ajali hiyo imehusisha Basi lenye namba za usajili T. 663 AXL aina ya SCANIA Kampuni ya KIDIA ONE lililokuwa litokea Dar es Salaam kwenda Mwanza...

 

10 years ago

GPL

WATU KADHAA WAFARIKI KATIKA AJALI YA BASI KAHAMA

WATU kadhaa wamepoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa asubuhi hii kwenye ajali ya basi la Wibonela lililokuwa likitoka Kahama kwenda Dar lililopinduka eneo la kona ya Phantom, Kahama. Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi uliopelekea dereva wa basi kushindwa kulimudu lilipofika kwenye kona ya Phantom na kupelekea kuingia mtaroni na kupinduka. Idadi kamili ya waliopoteza maisha na majeruhi kwenye ajali hiyo bado...

 

10 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Watu 10 wafariki dunia katika ajali ya basi Shinyanga na 51 wajeruhiwa

vpo

Kamanda wa jeshi la polisi mkoani Shinyanga kamishina msaidizi, Justus Kamugisha.

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Habari zilizotufikia hivi punde katika chumba cha Modewji blog ni kuwa bado jeshi la Polisi na wasamaria wema wanaendelea kuokoa majeruhi na maiti wa ajali ya gari iliyotokea muda wa masaa mawili yaliyopita kwa kuuhusisha basi la Unique namba za usajili T148 BKK likitokea jijini Mwanza kwenda Tabora kugongana na lori katika kijiji cha Ibingo kata ya Samuye...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: WATU WANNE WAFARIKI KATIKA AJALI YA BASI NA TRENI MKOANI MOROGORO LEO ALFAJIRI

Watu wanne wamefariki dunia na 21 kujeruhiwa baada ya basi aina ya Isuzu  kugonga treni ya abiria iendayo bara katika  kilomita 276/0 kati ya Stesheni  za Kimamba na Kilosa mkoani Morogoro saa 11:25 asubuhi leo Julai 01, 2015. Wahanga walipakiwa katika  treni hiyo na kukimbizwa katika Hospitali ya Wilaya ya Kilosa.Basi lilohusika ni lenye namba za usajili T837CTM Isuzu Coaster linalomilikiwa na Feisal  A. Khuwel wa Kilosa.Taarifa kutoka eneo la tukio  limefafanua kuwa waliofariki ni wanaume...

 

11 years ago

Michuzi

WAWILI WAPOTEZA MAISHA NA SABA WAMEJERUHIWWA KATIKA AJALI YA BASI NA BODABODA MKOANI LINDI LEO

Watu wawili wamefariki dunia leo baada ya bodaboda yenye usajili namba T 293 ARM kugongwa na basi la abiria la kampuni ya Maning Nice lenye usajili namba T624 CQD ambalo nalo lilipinduka baada ya ajali hiyo katika kijiji cha Ngongo mkoani Lindi  na abiria saba walijeruhiwa. Majina ya marehemu na ya majeruhi hayakuweza kupatikana mara moja. Picha na Abdulaziz Video.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani