WATU KADHAA WAFARIKI KATIKA AJALI YA BASI KAHAMA
![](http://api.ning.com:80/files/HwqJujqzkWgpbgkwXgPDJ0xDhwyfx29mxDwhjEg4uiCzYo0eXr0w9xaBFAXYQydZEeD5QpWpU8HzKxtUlRigc9Sxv9BvQ9z*/BREAKINGNEWS.gif)
WATU kadhaa wamepoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa asubuhi hii kwenye ajali ya basi la Wibonela lililokuwa likitoka Kahama kwenda Dar lililopinduka eneo la kona ya Phantom, Kahama. Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi uliopelekea dereva wa basi kushindwa kulimudu lilipofika kwenye kona ya Phantom na kupelekea kuingia mtaroni na kupinduka. Idadi kamili ya waliopoteza maisha na majeruhi kwenye ajali hiyo bado...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/OX-i6slHCw0/default.jpg)
10 years ago
Dewji Blog22 Apr
Breaking News: Watu 10 wafariki dunia katika ajali ya basi Shinyanga na 51 wajeruhiwa
Kamanda wa jeshi la polisi mkoani Shinyanga kamishina msaidizi, Justus Kamugisha.
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Habari zilizotufikia hivi punde katika chumba cha Modewji blog ni kuwa bado jeshi la Polisi na wasamaria wema wanaendelea kuokoa majeruhi na maiti wa ajali ya gari iliyotokea muda wa masaa mawili yaliyopita kwa kuuhusisha basi la Unique namba za usajili T148 BKK likitokea jijini Mwanza kwenda Tabora kugongana na lori katika kijiji cha Ibingo kata ya Samuye...
10 years ago
Michuzi01 Jul
NEWS ALERT: WATU WANNE WAFARIKI KATIKA AJALI YA BASI NA TRENI MKOANI MOROGORO LEO ALFAJIRI
11 years ago
Mwananchi13 Dec
Watu 11 wafariki ajali ya basi, 55 wajeruhiwa
11 years ago
CloudsFM09 Jun
WATU SITA WAFARIKI KWA AJALI YA BASI NANYALA MBEYA
Watu Sita wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni Ndejela Express lenye namba za usajili T 257 CMP aina ya TATA likiendeshwa na Dereva wa kike Vailet Mbinda(31) mkazi wa Sokomatola kugongwa kwa nyuma na roli la mizigo kisha kupinduka Kijiji cha Nanyala Kata ya Nanyala wilaya ya Mbozi Mkoani Mbeya.
Ajali hiyo imetokea majira ya saa tisa alasiri barabara ya Tunduma/Mbeya ambapo roli lenye namba T 369 AWM aina ya SCANIA likendeshwa na Dereva asiyefahamika likiwa katika...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rhqcRsJl7aTKgMOlzGah*BW26rJP2HUnoxwtIxXULHMr53nYJhksWaLzJi6EtxgJ9kL*vccuGcNs-RzqwgvyTOFTZIVXLf1b/breakingnews.gif)
WATU 19 WAFARIKI KATIKA MACHIMBO YA DHAHABU KAHAMA
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-6sPDK3ZU7To/VDqgPu31jRI/AAAAAAAGplQ/3ROVHiOA9tk/s72-c/unnamed.jpg)
NEWS ALERT:AJALI MBAYA YA BASI LA HAPPY NATION NA GARI NDOGO,WATU KADHAA WADAIWA KUPOTEZA MAISHA HEDARU.
![](http://4.bp.blogspot.com/-6sPDK3ZU7To/VDqgPu31jRI/AAAAAAAGplQ/3ROVHiOA9tk/s1600/unnamed.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Ivqc90arWEg/VDqgPzhXpyI/AAAAAAAGplU/Ox7GMVj8muI/s1600/unnamed.jpgq.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qk*MmDQsK7pf2AeHwPjAF2REkF6HY-kBkfN5MY85f9E9yquPDoKmdoBU244VY8KHRHBzjM0MrCpATv6ccR*srBRp34qmr-nR/1428826223737.jpg?width=650)
WAWILI WAFARIKI KATIKA AJALI YA BASI NA LORI RUAHA
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-qBhMF00X2eM/VTfR9P-ys1I/AAAAAAAHSl8/WI1Qs9Kgv3Q/s72-c/unnamed%2B(50).jpg)
WATU 10 WAFARIKI NA WENGINE ZAIDI YA 40 WAJERUHIWA KWENYE AJALI YA BASI LA UNIQUE NA LORI MKOANI SHINYANGA
![](http://2.bp.blogspot.com/-qBhMF00X2eM/VTfR9P-ys1I/AAAAAAAHSl8/WI1Qs9Kgv3Q/s1600/unnamed%2B(50).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-5bGr1KIgJi4/VTfR8zRXf0I/AAAAAAAHSmA/wHU8MN9jFSE/s1600/unnamed%2B(51).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-CG4w-P4hD20/VTfR-N6C-3I/AAAAAAAHSmM/o4Z-1NVjGTQ/s1600/unnamed%2B(53).jpg)
CHANZO: MICHUZI BLOG