Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATU 19 WAFARIKI KATIKA MACHIMBO YA DHAHABU KAHAMA

Wachimbaji wadogo wadogo 19 wa dhahabu wamefariki dunia baada ya kufunikwa na kifusi kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha na kusababisha kubomoka kwa mashimo hayo katika machimbo ya kijiji cha Karore, Kata ya Runguya, Tarafa ya Msalala mkoani Kahama. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoani humo, Justus Kamugisha, amesema usiku wa kuamkia leo kuna wachimbaji ambao walivavamia machimbo hayo ambayo yalishaachwa kuchimbwa muda...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Wanane wahofi wa kufukiwa machimbo ya dhahabu Kahama

kamugishaNA PAUL KAYANDA, KAHAMA

WATU zaidi ya wanane wanahofiwa kufa baada ya kufukiwa na kifusi cha udongo katika machimbo ya Nyangarata katika Kata ya Lunguya Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Justus Kamugisha alisema tukio hilo lilitokea juzi asubuhi baada ya watu wapatao 20 kuingia katika shimo la uchimbaji dhahabu na kifusi hicho kikaanguka wakiwa ndani.

Alisema ingawa idadi kamili juu ya waliokuwa ndani ya shimo inakadiriwa kuwa 20 lakini baada ya...

 

10 years ago

GPL

WATU KADHAA WAFARIKI KATIKA AJALI YA BASI KAHAMA

WATU kadhaa wamepoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa asubuhi hii kwenye ajali ya basi la Wibonela lililokuwa likitoka Kahama kwenda Dar lililopinduka eneo la kona ya Phantom, Kahama. Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi uliopelekea dereva wa basi kushindwa kulimudu lilipofika kwenye kona ya Phantom na kupelekea kuingia mtaroni na kupinduka. Idadi kamili ya waliopoteza maisha na majeruhi kwenye ajali hiyo bado...

 

10 years ago

Mtanzania

Utoro shuleni Bukombe 50% - Kuendekeza ngono, machimbo ya dhahabu vyachangia

Mwajuma Mohamed, mkazi wa Ushirombo wilaya ya Bukombe (15) akiwa amempakata mtoto wake wa miezi 7.Pendo Sungu amepata ujauzito akiwa bado mwanafunziNa Mariam Mkumbaru, Bukombe
MATARAJIO ya wazazi wengi ni kuona watoto wanapoanza shule wanahitimu masomo yao kwa kufikia ngazi za juu za elimu. Hata hivyo, matarajio hayo hayafikiwi katika maeneo mengi hapa nchini kwani watoto wengi hushindwa kuhitimu kutokana na tatizo la utoro.
Tatizo la utoro shuleni ni changamoto kubwa katika sekta ya elimu nchini kwani shule nyingi katika maeneo mbalimbali zinakabiliwa na changamoto hiyo. Miongoni mwa wilaya ambazo tatizo hilo ni kubwa ni pamoja na...

 

10 years ago

Mwananchi

Watu 38 wafariki katika ajali

Kahama/Mbeya. Msiba mwingine mzito umelikumba taifa baada ya watu 38 kupoteza maisha katika matukio mawili tofauti, likiwamo la ajali ya basi dogo aina ya Toyota Hiace iliyoua watu 19 wakati ikifanya safari ya wizi mkoani Mbeya.

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu 36 wafariki katika ajali Tanzania

Takriban Watu 36 wamefariki na wengine 79 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari matatu eneo la Saba Saba wilaya ya Butiama

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu 10 wafariki katika milipuko Nigeria

Ripoti kutoka Nigeria zinasema kuwa milipuko miwili, imetokea katika mji wa Maiduguri, mji mkuu wa jimbo la Borno state,

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu 7 wafariki katika milipuko Somalia

Takriban watu saba wamefariki katika milipuko miwili ya kujitolea muhanga katika mji wa Baidoa kusini mwa Somali.

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu 5 wafariki katika shambulizi Baidoa

Alshabaab wamepigana na kufanikiwa kuingia katika makao makuu ya utawala wa jimbo katika mji wa eneo la kati wa Baidoa .

 

10 years ago

GPL

WATU ZAIDI YA 36 WAFARIKI KATIKA AJALI MUSOMA

Miili na majeruhi wakipokelewa katika Hospitali ya mkoa wa Mara. ...Baadhi ya maiti zikiwa zimefunikwa.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani