Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utoro shuleni Bukombe 50% - Kuendekeza ngono, machimbo ya dhahabu vyachangia

Mwajuma Mohamed, mkazi wa Ushirombo wilaya ya Bukombe (15) akiwa amempakata mtoto wake wa miezi 7.Pendo Sungu amepata ujauzito akiwa bado mwanafunziNa Mariam Mkumbaru, Bukombe
MATARAJIO ya wazazi wengi ni kuona watoto wanapoanza shule wanahitimu masomo yao kwa kufikia ngazi za juu za elimu. Hata hivyo, matarajio hayo hayafikiwi katika maeneo mengi hapa nchini kwani watoto wengi hushindwa kuhitimu kutokana na tatizo la utoro.
Tatizo la utoro shuleni ni changamoto kubwa katika sekta ya elimu nchini kwani shule nyingi katika maeneo mbalimbali zinakabiliwa na changamoto hiyo. Miongoni mwa wilaya ambazo tatizo hilo ni kubwa ni pamoja na...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Wanane wahofi wa kufukiwa machimbo ya dhahabu Kahama

kamugishaNA PAUL KAYANDA, KAHAMA

WATU zaidi ya wanane wanahofiwa kufa baada ya kufukiwa na kifusi cha udongo katika machimbo ya Nyangarata katika Kata ya Lunguya Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Justus Kamugisha alisema tukio hilo lilitokea juzi asubuhi baada ya watu wapatao 20 kuingia katika shimo la uchimbaji dhahabu na kifusi hicho kikaanguka wakiwa ndani.

Alisema ingawa idadi kamili juu ya waliokuwa ndani ya shimo inakadiriwa kuwa 20 lakini baada ya...

 

10 years ago

GPL

WATU 19 WAFARIKI KATIKA MACHIMBO YA DHAHABU KAHAMA

Wachimbaji wadogo wadogo 19 wa dhahabu wamefariki dunia baada ya kufunikwa na kifusi kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha na kusababisha kubomoka kwa mashimo hayo katika machimbo ya kijiji cha Karore, Kata ya Runguya, Tarafa ya Msalala mkoani Kahama. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoani humo, Justus Kamugisha, amesema usiku wa kuamkia leo kuna wachimbaji ambao walivavamia machimbo hayo ambayo yalishaachwa kuchimbwa muda...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Shinyanga yaongoza utoro wa watoto shuleni

MKOA wa Shinyanga umetajwa kuongoza kwa kuwa na watoto wengi wasiohudhuria shule ambapo hukimbilia katika uchimbaji wa madini. Ripoti iliyotolewa hivi karibuni na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu...

 

5 years ago

Michuzi

WAJUMBE BARAZA LA MADIWANI WILAYA YA ARUMERU WAKUBALIANA KUTOKOMEZA MIMBA ZA UTOTONI NA UTORO SHULENI

Na Woinde Shizza, ARUMERUWajumbe wa baraza la madiwani Halmashauri ya Meru, wilayani Arumeru, wamekubaliana kuwa na agenda ya kutokomeza mimba za utotoni na utoro shuleni kudumu kwenye vikao vya Vijiji na Kata kwa kujikita kuelimisha jamii kuanzia ngazi ya familia. Wajumbe hao wameadhimia hilo, mara baada ya, madiwani wa Kata kadhaa kuwasilishwa taarifa zinazoonesha changamoto ya mimba za utotoni zinazowaka bili wanafunzi katika kata zao. Awali taarifa hizo zimethibitishwa na Idara...

 

9 years ago

Vijimambo

COMRADE MWIGULU NCHEMBA ATUA BUKOMBE,SASA JIMBO LA BUKOMBE MIKONONI MWA CCM

    Mwigulu Nchemba akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita Ndg.Msukuma "KING" Mshindi wa nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Geita Bi.Vick Kamata akiwashukuru na kuomba kura kwa Wananchi wa Bukombe wampigie J.P.Magufuli ifikapo tar.25.10.2015 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita Ndg.Joseph Msukuma akizungumza na Wananchi wa Bukombe kuwa yupo tayari kuzunguka Nchi nzima kuinadi Ilani ya CCM,Pia kumnadi Mgombea Urais wa CCM Dk.J.P.Magufuli kwasababu ndiye Mgombea pekee mwenye dhamira...

 

11 years ago

Habarileo

Vipigo vyachangia wanawake kukimbia ndoa

VIPIGO ndani ya ndoa pamoja na udhalilishwaji ni mojwapo ya changamoto zinazowakabili baadhi ya wanawake na kulazimika kukimbia nyumba zao wengine wakiwa na watoto wao huku wengine wakiwaacha na baba zao.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Waride: Acheni kuendekeza makundi


NA ALLY NDOTA, ZANZIBAR
KATIBU wa Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa (NEC), Zanzibar wa Idara ya Itikadi na Uenezi, Waride Bakari Jabu, amewataka wana CCM kutoendeleza makundi kwani kufanya hivyo ni kudhoofisha nguvu za Chama hicho.
Alitoa onyo hilo wakati akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu za Majimbo ya Mtoni na Magogoni, Wilaya za Kichama za Mfenesini na Magharibi, Unguja.
Alisema viongozi wa CCM katika majimbo yote visiwani hapa, waache  kuendeleza makundi yaliyotokana...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbatia: Acheni kuendekeza ushabiki bungeni

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, James Mbatia, amewasihi wajumbe wa Bunge hilo kuweka mbele masilahi ya taifa na kuachana na ushabiki wa vyama vya siasa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani