Vipigo vyachangia wanawake kukimbia ndoa
VIPIGO ndani ya ndoa pamoja na udhalilishwaji ni mojwapo ya changamoto zinazowakabili baadhi ya wanawake na kulazimika kukimbia nyumba zao wengine wakiwa na watoto wao huku wengine wakiwaacha na baba zao.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima08 Mar
SIKU YA WANAWAKE DUNIANI: Vipigo kwa wanawake vikomeshwe
IMEKUWA ni kawaida katika nchi nyingi za Kiafrika na Asia kutokana na mfumo dume ambao umejikita hasa katika nchi hizi wanaume kuwapiga wake zao. Vipigo hivi huwa havichagui elimu, na...
10 years ago
Tanzania Daima06 Nov
Vipigo huathiri wanawake kisaikolojia
LICHA ya kuwepo kwa sheria mbalimbali zinazowalinda wanawake lakini vitendo vya ukatili kwa wanawake vimekuwa vikiongezeka.Kuongezeka kwa vitendo hivyo kunachangiwa na kukosekana kwa elimu hasa katika baadhi ya maeneo ya...
10 years ago
Mtanzania16 Jan
Utoro shuleni Bukombe 50% - Kuendekeza ngono, machimbo ya dhahabu vyachangia
Na Mariam Mkumbaru, Bukombe
MATARAJIO ya wazazi wengi ni kuona watoto wanapoanza shule wanahitimu masomo yao kwa kufikia ngazi za juu za elimu. Hata hivyo, matarajio hayo hayafikiwi katika maeneo mengi hapa nchini kwani watoto wengi hushindwa kuhitimu kutokana na tatizo la utoro.
Tatizo la utoro shuleni ni changamoto kubwa katika sekta ya elimu nchini kwani shule nyingi katika maeneo mbalimbali zinakabiliwa na changamoto hiyo. Miongoni mwa wilaya ambazo tatizo hilo ni kubwa ni pamoja na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HbsRLQ*GNXYY2-NxpcApHSalSCrdvPeDZZteImH-A9ROQQFh56G1DD83WxaRmQwk83rCfLq6lKoRPrqB3PqSWmIhxwhME18Y/isabela.jpg)
ISABELA: WANAWAKE TUSHINIKIZE NDOA TUOLEWE
11 years ago
Tanzania Daima05 Apr
Wanawake hukumbana na ukatili lukuki katika ndoa
WAKATI mashirika na wadau mbalimbali wakifanya jitihada kuhakikisha haki za mtoto zinalindwa, baadhi ya familia zimekuwa zikikabiliwa na wakati mgumu, hasa kwa upande wa wanawake. Hilo linatokana na ukweli kuwa...
10 years ago
Vijimambo04 Dec
WANAUME ‘HANDSOME’, WANAWAKE WAREMBO NI SHIDA KWENYE NDOA
![](http://api.ning.com/files/R5SqbRTCmAGYjnOUuQRpVPlImGQK0pHT1lhec0*suztA7Z68gr*I0Au4qIv57rOms50CDYi7upi8h6A9695daQl9CoNfux*o/mog08.jpg?width=650)
Hata kwa wanawake nao huwa wanaangalia wanaume ‘handsome’ ambao hata wakiwa wanatembea pamoja mtaani watavuta macho ya watu na kusifiwa.
Mimi sidhani kama wanaoangalia vigezo hivyo wanakosea hasa kama wanatafuta wapenzi na wachumba watakaotengeneza njia ya kuelekea kwenye ndoa.
Naomba katika hili nieleweke...
11 years ago
Tanzania Daima08 Feb
SOPHIA MWAKAGENDA: Mwanasiasa anayeshauri wanawake masuala ya ndoa
SOPHIA Mwakagenda, ndie tunaemzungumzia leo katika safu hii ya Mwanamama inayokujia kila Jumamosi. Mwanamama huyu kijana ana kipaji cha kuongoza na kuwahudumia watu wengine. Pamoja na mapenzi anayoyaonyesha kwenye siasa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hpMD5afDfdbWnou1USV8fRfN4g1x0i1l4Aaedde4RF56KZMPt8D031*oLLkJLIJj3g23ihKYB31ApsY4qEXvZHsgIxoeswTU/MAAJABU7.jpg?width=650)
WANAWAKE WA-IRAN WAFUNGISHWA NDOA NA IMAM SHOGA SWEDEN
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/j2M1I3T7jzmVi8fXKz-lbponLKOyM2SIJxBLv-ttW6qgKg8cVKHHX4pHx*aylQhYdIJQIiNhygKiBFahD7OP**ZK21kMsNZt/how_to_deal_with_a_bad_break_up1024x685.jpg?width=650)
KWA NINI WANAWAKE WENGI WANAKOSA HAMU YA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA?-4